Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Mimi nafahamu cold War iliisha, wewe kama nani unasema cold haikuisha ikiwa Ukomunisti wa Mashariki chini ya USSR ulianguka rasmi mwaka 1990 na ubepari wa magharibi uka take over Ulaya ya Mashariki?
Sipendagi kujibizana na wewe,naona ni kupoteza muda TU.
Unajua cold war?
Basi kama unaijua hakuisha bado.
Na kama haikuisha maana yake masusi wa NATO wako kazini Kila siku kuchunguza Russia anafanya Nini.
Nao Russia wako makini kujua NATO wanafanya Nini na kuwazuia.
Nakukumbusha TU ni kazi ya majasusi wa Russia ndio iliyomuweka Trump madarakani.
Nao west walijaribu kutaka kumtoa Putin madarakani lakini walikutana na mkono wa majasusi wa Urusi.
Naishia hapo.