Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mtoto mrembo, mtoto jojo, mtoto chocolate mtoto, mtoto lepe lepe, Yoda kama Yoda usikimbie kama jana.... Njoo tukupige msasa hilo fuvu lishaota kutu.

Niko na wewe sms zingine leo sisomi... tueleze hizo Opium zina thaman gani ya kuweza kuhimili world largest economy vitani miaka 20, yet wakashinda.
 
Leta hizo data za mauzo ya Opium zilizoweza kumuhenyesha US miaka 20, yes anasambaza 80%, wingi wa asilimia sio wingi wa thamani. Kama unazo hata chembe weka data kamili ya thamani ya mauzo kiasi kadhaa afu utwambir hio amount inajilinganisha wapi na gharama alizotumia mmarekani bado akavuliwa pichu miaka 20.
Mkuu Galip Vrl na Mtoto wa nzi huyu jamaa mmemweka kwenye kona. Sio size yenu. Achaneni nae. Pigeni spana kwenye maeneo mengine ya huu mtanange.
 
Ukraine, with the help of the United States, is carrying out cyberattacks on Russia's critical infrastructure, the Foreign Ministry said.

The ministry warned that if the provocations continue, Russia's response will be firm and decisive.
20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
India intends to double the import of Russian oil through supplies from Rosneft.

Bloomberg writes about this, citing sources. According to the agency, questions about specific fuel volumes and prices are still being discussed.

From late February to early May, India bought more than 40 million barrels of Russian oil, about 20% more than in all of 2021, the publication said.

At the end of May, Bloomberg reported that Asia for the first time overtook Europe in terms of oil purchases from Russia. Basically, exports increased just at the expense of India.

20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
Mkuu bado unaamini Russia ni maskini?? Ulaya ni kama watoto wake anawahudumia, Dunia inapata shida kwa sasa sababu ya Russia.

Russia ni nchi tajir achaneni na propaganda. Russia ni taifa lenya nguvu na linaloogopwa na west.

Na hili suala la Ukraine ni kama anawapa onyo wasimsogelee. Russia ndo taifa lenye majasusi hatari duniani lakn mtaambiwa wale mashoga wa CIA na FBI[emoji28][emoji28].
Hesabu hua hazidanganyi.
Ukitaka kujua uwezo wa majasusi wa Urusi angalia idadi ya majasusi wanaokabiliana nae na uwezo wao.
Kwa miaka yote Urusi anakabiliana na majasusi wa nchi kubwa zote na kwa pamoja lakini anawamudu.
Urusi anakabiliana na CIA,MI6,majasusi wa Ufaransa,German,iltaly, Belgium,Poland,Denmark,Norway, Turkey,Japan, Australia,Ukraine,Spain,n.k.
Au kwa kifupi sana anakabiliana na majususi wote wa NATO na maswahiba zao wa west.
Bila kusahau Mossad.
Hii wala sijiongelei TU,Bali ndio Hali halisi.

Kwa Russia kuhimili na kuwamudu majasusi wa nchi za west,sio bahati mbaya ni uwezo wake TU
 
“Serbia is proud that it is not part of the anti-Russian hysteria, and those countries that have joined it will be ashamed of it.”

The Serbian Ministry of Internal Affairs said that the states that prevented Lavrov from visiting Belgrade dream of the defeat of Russia and do not want peace.

“I deeply regret the impossibility of the visit of Serbia’s great and trusted friend, Russian Foreign Minister Sergei Lavrov. A world in which diplomats cannot fight for peace is becoming a world without peace,” said the head of the department, Alexander Vulin.

Lavrov himself previously called the decision of Bulgaria, North Macedonia and Montenegro to close the airspace for his aircraft depriving a sovereign state of the right to pursue foreign policy.

20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
Majususi wa magharibi wanakabiliana na Russia wanataka kuifanyaje Russia?
Ili tujue Russia kaweza kuhimili na kuwamudu hao majasusi lazima utuambie tujue wana lengo gani, vingenevyo ni porojo za vijiweni tu za kupuuzwa.

Hesabu hua hazidanganyi.
Ukitaka kujua uwezo wa majasusi wa Urusi angalia idadi ya majasusi wanaokabiliana nae na uwezo wao.
Kwa miaka yote Urusi anakabiliana na majasusi wa nchi kubwa zote na kwa pamoja lakini anawamudu.
Urusi anakabiliana na CIA,MI6,majasusi wa Ufaransa,German,iltaly, Belgium,Poland,Denmark,Norway, Turkey,Japan, Australia,Ukraine,Spain,n.k.
Au kwa kifupi sana anakabiliana na majususi wote wa NATO na maswahiba zao wa west.
Bila kusahau Mossad.
Hii wala sijiongelei TU,Bali ndio Hali halisi.

Kwa Russia kuhimili na kuwamudu majasusi wa nchi za west,sio bahati mbaya ni uwezo wake TU
 
Huko Poland mambo "mazuri" tu as now Citizen allowed "kusanya" kuni kwa ajili ya matumizi yao. Mdogo mdogo safari ya kurudi zama za B.C imeanza hivo.

🇵🇱 Poles were allowed to gather firewood in the forest. But you will have to pay for it (30 zlotys per cubic meter).

The procedure should be performed only with the permission and under the supervision of a forester. This should help in conditions of high energy prices.

Zlotys 30 wadau ni kama 16k hivi za kibongo.
Dah Urusi noma,kawarudisha wazungu kule walikotoka miaka 200 iliyopita.
 
Mkuu Galip Vrl na Mtoto wa nzi huyu jamaa mmemweka kwenye kona. Sio size yenu. Achaneni nae. Pigeni spana kwenye maeneo mengine ya huu mtanange.
Haina tabu Jomba, kwa heshima nafanya kama ulivyoelekeza naachana nae!

Ila naomba nihitimishe kwa haya machache...

1. Tunapojadiliana tusikijikite katika kushinda majadiliano bali kujifunza kupitia majadiliano.

2. Kundi la huyu dogo wanasumbuliwa na Ego, they pretend to know much while they know nothing.

3. Akili fupi sana ya kupambanua mambo yet kila post wanadandia kureply utafikiri wanalipwa manina.

4. Na mie huwa sina mtindo wa kujadiliana nao mara kwa mara ila ile hoja ya Opium ika break my patient.

5. Kwa faida ya wengi wanaojielewa... Swali la Ask-Q lilikuwa zito, Gumu na fikirishi kwa wanaojielewa bahati mbaya likaangukia kwa akili kisoda, Mrembo Yoda akakurupuka kutoa mashudu yaliyomo kichwani mwake.

Ile hoja ya Ask-Q inafanana na jambo ambalo nilishawahi kulisema huko nyuma. Kua dunia tunavyoitizama haipok vile inavoeleweka kwa walio wengi. Iko tofauti kabisa.

Em fikirieni tunaishi katika dunia, Dunia ambayo most sector ambazo ni muhim zipo under control.

Leo hii hata apo mbagala, fungua kiwanda kimya kimya hazipiti nukta utakamatwa. Na utakamatwa kupitia supply chain ya vifaa utakavyohitaji kuvitumia ili uzalishe ulichokusudia.

Je vipi kwenye ulimwengu wa silaha? Leo hii Intelligence zote kubwa dunian zinatizama kila ujio wa techonology mpya inashindwa kujua kweli supplier wa silaha za magendo ni nani?

Miaka 20, US aliyokua hapo Afghanistan alishindwa kujua anaesambaza silaha kwa Wataleban ni nani?

Afghanistan GDP kwa sasa ni 19.81Billions US dollar, yani ile total GDP haijafikia hata ile Nusu ya kiasi alichopewa Ukraine in term of cash and Aid. Na ieleweke kua GDP ni Pato la Nchi wala sio kiasi cha matumizi ya nchi husika.

Hizo Opium zinazodaiwa kuwasaidia Taleban, ni hivi, Annual export ya Opium Afghanistan iko around 1.7$ to 2.4$ billions. Na hapa yadaiwa kuongezeka tofauti na miaka 20 hiyo hapo nyuma. Chukulia maxium hata ya 5Billion dola kwa mwaka. Zidisha mara 20 utapata around 100$ billions linganisha na Cost iliyotumika kwa US ya 8 Trillion dollar.

Kwa kifupi alichokua anak'point Ask-Q kwenye kile alichokizungumza ni watu kuelewa tofauti ya "Real War" na "Fake War", ndani yake kwa wenye akili tu huwa wanapata majibu ya kwanini kwanini kwa Ukraine imeleta attention kubwa kulizo zile za nyuma.

Na hilo mtu hawezi kulielewa kama ni mla chips zege nijazie jazie za kushiba, NEVER EVER.
 
Aisee nimecheka sana peke yangu.
Wewe jamaa una vituko sana.
Kwa hiyo umemkamata mbaya wako..
Aisee ,Kuwa "enhee we kima njoo hapa Jana ukanitoroka".
Dah.JF raha sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ha ha ha noma sana mwamba! Jana nilikua na mzuka nako nikatoe wenge kakanitoroka na sasa kamenitoroka tena. Hakapendi kavu kanaumia [emoji41].
 
Mtoto mrembo, mtoto jojo, mtoto chocolate mtoto, mtoto lepe lepe, Yoda kama Yoda usikimbie kama jana.... Njoo tukupige msasa hilo fuvu lishaota kutu.

Niko na wewe sms zingine leo sisomi... tueleze hizo Opium zina thaman gani ya kuweza kuhimili world largest economy vitani miaka 20, yet wakashinda.
Huyo toto jojo Yoda anafaa kupelekewa moto
 
Nimekupandisha vyeo sasa una nyota 🌟🌟🌟 tatu wewe ni mkurungwa hasa pamoja na pro Russia wote .
Haina tabu Jomba, kwa heshima nafanya kama ulivyoelekeza naachana nae!

Ila naomba nihitimishe kwa haya machache...

1. Tunapojadiliana tusikijikite katika kushinda majadiliano bali kujifunza kupitia majadiliano.

2. Kundi la huyu dogo wanasumbuliwa na Ego, they pretend to know much while they know nothing.

3. Akili fupi sana ya kupambanua mambo yet kila post wanadandia kureply utafikiri wanalipwa manina.

4. Na mie huwa sina mtindo wa kujadiliana nao mara kwa mara ila ile hoja ya Opium ika break my patient.

5. Kwa faida ya wengi wanaojielewa... Swali la Ask-Q lilikuwa zito, Gumu na fikirishi kwa wanaojielewa bahati mbaya likaangukia kwa akili kisoda, Mrembo Yoda akakurupuka kutoa mashudu yaliyomo kichwani mwake.

Ile hoja ya Ask-Q inafanana na jambo ambalo nilishawahi kulisema huko nyuma. Kua dunia tunavyoitizama haipok vile inavoeleweka kwa walio wengi. Iko tofauti kabisa.

Em fikirieni tunaishi katika dunia, Dunia ambayo most sector ambazo ni muhim zipo under control.

Leo hii hata apo mbagala, fungua kiwanda kimya kimya hazipiti nukta utakamatwa. Na utakamatwa kupitia supply chain ya vifaa utakavyohitaji kuvitumia ili uzalishe ulichokusudia.

Je vipi kwenye ulimwengu wa silaha? Leo hii Intelligence zote kubwa dunian zinatizama kila ujio wa techonology mpya inashindwa kujua kweli supplier wa silaha za magendo ni nani?

Miaka 20, US aliyokua hapo Afghanistan alishindwa kujua anaesambaza silaha kwa Wataleban ni nani?

Afghanistan GDP kwa sasa ni 19.81US dollar, yani ile total GDP haijafikia hata ile Nusu ya kiasi alichopewa Ukraine in term of cash and Aid. Na ieleweke kua GDP ni Pato la Nchi wala sio kiasi cha matumizi ya nchi husika.

Hizo Opium zinazodaiwa kuwasaidia Taleban, ni hivi, Annual export ya Opium Afghanistan iko around 1.7$ to 2.4$ billions. Na hapa yadaiwa kuongezeka tofauti na miaka 20 hiyo hapo nyuma. Chukulia maxium hata ya 5Billion dola kwa mwaka. Zidisha mara 20 utapata around 100$ billions linganisha na Cost iliyotumika kwa US ya 8 Trillion dollar.

Kwa kifupi alichokua anak'point Ask-Q kwenye kile alichokizungumza ni watu kuelewa tofauti ya "Real War" na "Fake War", ndani yake kwa wenye akili tu huwa wanapata majibu ya kwanini kwanini kwa Ukraine imeleta attention kubwa kulizo zile za nyuma.

Na hilo mtu hawezi kulielewa kama ni mla chips zege nijazie jazie za kushiba, NEVER EVER.
 
Majususi wa magharibi wanakabiliana na Russia wanataka kuifanyaje Russia?
Ili tujue Russia kaweza kuhimili na kuwamudu hao majasusi lazima utuambie tujue wana lengo gani, vingenevyo ni porojo za vijiweni tu za kupuuzwa.
Sipendagi kujibizana na wewe,naona ni kupoteza muda TU.

Unajua cold war?
Basi kama unaijua haikuisha bado.
Na kama haikuisha maana yake majasusi wa NATO wako kazini Kila siku kuchunguza Russia anafanya Nini.
Nao Russia wako makini kujua NATO wanafanya Nini na kuwazuia.
Nakukumbusha TU ni kazi ya majasusi wa Russia ndio iliyomuweka Trump madarakani.
Nao west walijaribu kutaka kumtoa Putin madarakani lakini walikutana na mkono wa majasusi wa Urusi.
Naishia hapo.
 
Majususi wa magharibi wanakabiliana na Russia wanataka kuifanyaje Russia?
Ili tujue Russia kaweza kuhimili na kuwamudu hao majasusi lazima utuambie tujue wana lengo gani, vingenevyo ni porojo za vijiweni tu za kupuuzwa.
Kama wewe na ubishi wako wote huu hujui vita visivyoisha baina ya Russia na west basi ntapata taabu sana.
Sasa nakuuliza NATO IPO kwa ajili ya kujilinda dhidi ya nani?
 
Back
Top Bottom