Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Italian journalist from Bakhmut the morale of the Ukrainian troops is low[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
 
Huko Poland mambo "mazuri" tu as now Citizen allowed "kusanya" kuni kwa ajili ya matumizi yao. Mdogo mdogo safari ya kurudi zama za B.C imeanza hivo.

🇵🇱 Poles were allowed to gather firewood in the forest. But you will have to pay for it (30 zlotys per cubic meter).

The procedure should be performed only with the permission and under the supervision of a forester. This should help in conditions of high energy prices.


Zlotys 30 wadau ni kama 16k hivi za kibongo.
 
1.NATO haimpi Ukraine silaha. Ukraine inapewa Silaha na BAADHI ya wanachama wa NATO na nchi nyingine ambazo sio wanachama wa NATO kabisa kama Australia, Sweden na Finland.

2 Silaha anazopewa Ukraine ni sawa na silaha wanazopata kutoka nchi nyingine Saudi Arabia katika vita yake na Yemen, Au Kenya kwenye vita yake na Al Shabaab, au Msumbiji katika vita yake huko Cabinda. Tofauti ni kwamba Ukraine ni msaada wakati hawa wengine wanazinunua.
Kupata silaha kutoka taifa lingine sio hilo taifa kushiriki vita yako.
Huko cabinda msumbiji (Angola)

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Wales ni sehemu ya UK na UK ni NATO[emoji1787]
Ukraine imekua special Group hivi sasa hadi team ya mpira ukiifunga au kuwashinda hadi uwaombe radhi [emoji848]... Kongole kwa Wales kwa kutuondolea huu uchafu, World Cup ingekuwa ya kingese sana mwaka huu.

View attachment 2252336
[emoji1255][emoji1022]󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿There will be no apologies.

The captain of the Wales national football team said he would not apologize for the victory over Ukraine.

"As terrible as it sounds, no. Because this is a game of football, and this is a competition that we also want to get into," Gareth Bale said on the eve of the play—off match.

Yesterday, Wales beat the Ukrainians and reached the World Cup for the first time since 1958.
 
Hii habari ungeiwekea link unakuta ni tabloid kama ile ya mwanaharakati huru Cyprian Musiba. Ila bahati nzuri haina source yoyote.
Huko Poland mambo "mazuri" tu as now Citizen allowed "kusanya" kuni kwa ajili ya matumizi yao. Mdogo mdogo safari ya kurudi zama za B.C imeanza hivo.

[emoji1200] Poles were allowed to gather firewood in the forest. But you will have to pay for it (30 zlotys per cubic meter).

The procedure should be performed only with the permission and under the supervision of a forester. This should help in conditions of high energy prices.


Zlotys 30 wadau ni kama 16k hivi za kibongo.
 
Organisation ya kipepo ni ya kwenu mnaomshangilia Putin anayewaua raia wa Ukraine, kufanya ubakaji na wizi wa nafaka. Organisation inayopinga huo ushenzi haiwezi kuwa ya kipepo.

IMG_2560.jpg

Hii imekaaje?? Ndugu yetu
 
Ukraine imemchagua Rais wao katika uchaguzi huru na haki. Putin yeye huchaguliwa kwenye uchaguzi za aina ya jiwe.
Hawa Ukraine ni wapumbavu sana, wamechagua rais kilaza kachafua nchi yao hakuna anaewataka, hawa ndio waliotia dunia ktk chuki kubwa
 
Hawa Pro NATO Wanavunga hawajui, vita ni Russia Vs over 30 countries. Ila wanachapwa sana huko kwenye uwanja wa away(Ukraine)


Uliona wapi Jeshi lipo serious kumpiga adui likawa lina tangaza aina ya siraha linazokwenda kutumia? Huwa tunatangaza baada ya kukupiga.

Yani NATO wanatangaza siraha wanazo peleka Ukraine kabla hata hazijafika, kwa nini?

Amini nakwambia hawa walishapeleka silaha nzito sikunyingi na zika haribiwa na Russia. Sasa wanabweka na kumtengenezea deni Ukraine la millennium.
Yani mkuu huko Ukraine siraha wanakopeswa na USA na nchi zingine za alaya , sasa hii Ni hatari, maranyingi nchi ikiwa inasiraha zakwao wanazo ziamini hua hawazitoi hivi hivi.
Siraha zinazoenda Ukraine Ni kawaida Sana coz Kwanza wanahofia kutekwa na urusi na kwenda kuzichunguza na kujua zimetengenezwaje.
Inakuwa Ni hasara kwao.
 
Ni hivi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

RUSSIAN FOREIGN MINISTER LAVROV SAYS THE LONGER THE RANGE OF WEAPONS SENT TO UKRAINE BY THE WEST, THE FURTHER RUSSIA WILL MOVE AWAY FROM ITS BORDER THE LINE FROM WHICH 'NEO-NAZIS' CAN LAUNCH STRIKES

Russia wameshindikana kwakweli wapi Poland?? Sahv wameambiwa waokote kuni kweli ulaya ya kuokota kuni?? Huko ulaya maandamano yameanza ila huji sikia media zinatangaza never. Ndugu zangu nitakuja na uchambuzi kinachoendelea Europe kwa sasa hasa kwa zile unfriendly countries ni hatr
 
Ukraine imekua special Group hivi sasa hadi team ya mpira ukiifunga au kuwashinda hadi uwaombe radhi 🤔... Kongole kwa Wales kwa kutuondolea huu uchafu, World Cup ingekuwa ya kingese sana mwaka huu.

View attachment 2252336
🇺🇦🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿There will be no apologies.

The captain of the Wales national football team said he would not apologize for the victory over Ukraine.

"As terrible as it sounds, no. Because this is a game of football, and this is a competition that we also want to get into," Gareth Bale said on the eve of the play—off match.

Yesterday, Wales beat the Ukrainians and reached the World Cup for the first time since 1958.
itafikia hatua ukimgegeda binti kutoka slava ukraine utabidi umuombe radhi hata kama ameridhia kufanyiwa tendo hilo
 
Ukraine imekua special Group hivi sasa hadi team ya mpira ukiifunga au kuwashinda hadi uwaombe radhi [emoji848]... Kongole kwa Wales kwa kutuondolea huu uchafu, World Cup ingekuwa ya kingese sana mwaka huu.

View attachment 2252336
[emoji1255][emoji2529]There will be no apologies.

The captain of the Wales national football team said he would not apologize for the victory over Ukraine.

"As terrible as it sounds, no. Because this is a game of football, and this is a competition that we also want to get into," Gareth Bale said on the eve of the play—off match.

Yesterday, Wales beat the Ukrainians and reached the World Cup for the first time since 1958.

Wanajiona cake sana bora wametolewa aseee
 
‼️BREAKING NEWS‼️
🇲🇽❌🇺🇸⚠️ -Mexican President Lopez Obrador officially declines US President Joe Biden's invitation to the Summit of Americas, fulfilling the threat of boycott the summit if US didn't invited Venezuela, Cuba and Nicaragua
 
‼️Secretary of the Security Counsil (NSDC) of Ukraine Oleksiy Danilov said that he does not consider the retreat of the UAF in a number of directions in the Donbass a tragedy.

"The temporary loss of territories is not a tragedy.The loss of the country will be a tragedy,"‼️
he said in an interview with the British newspaper Financial Times. According to Danilov, it will be "very, very difficult" for Ukraine to achieve victory in the conflict with Russia, but the troops are ready to resist for a long time.
 
[emoji845]BREAKING NEWS[emoji845]
[emoji1166][emoji777][emoji631][emoji3544] -Mexican President Lopez Obrador officially declines US President Joe Biden's invitation to the Summit of Americas, fulfilling the threat of boycott the summit if US didn't invited Venezuela, Cuba and Nicaragua
US byebye
Yaani jamaa anazidi kupoteza ushawishi aseee
Sasa hv kila mtu anamvimbia huyu paper tiger
Soon naiona AU ikiagiza NGANO na NAFAKA nyengine tokea RUSSIA licha yakwamba jamaa kagongwa vikwazo nahao KENGE
Hii OP inaendelea vyema na inatakiwa iendelee kwamuda kidogo
Sasa jamaa atakubali matakwa ama atakaidi
Proved
Nyamizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom