Hizo ndio wanaziita Controlled Conflicts, Kitu kinasukwa kuanzia A hadi Z. Hizo 8 trillions dola kwa miaka 20 ni wastani wa dola Bil 160 kwa mwaka.
Sasa tizama hii Graph kisha fikirisha akili yako ela nyingi za defense budget zilikuwa zinaenda wapi. Hadi wanafikia hatua ya kutoa majeshi yao huko hali tete...
View attachment 2252385
Ukumbuke pia Afghanistan ni land locked country...
View attachment 2252397
Kuna njia za aina mbili za kufanya malipo, either Cash mkononi ama kupitia banking system.
Ukifatilia wanadai waliwatoa wataleban madarakani toka 2001, ina maana control ya nini kinaingia na kutoka ilikuwa kwao. So option ya banking system unaitoa.
Njoo kwe option ya pili angalia hizo nchi zinazoizunguka Afghanistan bila kusahau sheria zao zilivo kali. Jiulize iliwezekana vipi kwa kikundi cha wachunga mbuzi kuambaa na US pa1 na kundi lake miaka 20 yote na hivi sasa wako madarakani.
Nje ya topic Kama kumbukumbu zangu ziko sawa wakati Putin wanapambana na hao ISIS, alisema wazi japo kwa mtindo wa swali, Mnajua nani amewatengeneza hawa ISIS? akaishia hapo.
Yes bro! Kuna huyu mzee aliwaambia kabla na baada juu ya Iraqi, na walichomfanya the Almighty anawaona... Msikilize namna anavyoongea kwa uchungu!
View attachment 2252403
Huyo mzee sio mwarabu wala Mrusi bali muingereza Pure, alikuwa MP.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivyo vyombo vyao vinasubiri kifaru kilipuke.
Katika Western MSM ambao wamechange mwelekeo kurudi kwenye professional zao mojawapo ni Bloomberg, wamepunguza Bias waliyokua nayo mwanzo. Kuna taarifa wanazitoa hadi unashtuka, unajiuliza ni wao kweli au [emoji848]
Maana wamezoeleka kudanganya mfano kama hii,
View attachment 2252406
Taarifa ambayo BBC hata uwaogeshe maji ya "mchele" hawawezi thubutu kuizungumzia.