Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Once a Genius always a Genius, fumbo mfumbe mjinga mwerevu atalitambua. Umekita pale pale nilipokua nimekusudia mdau.Haina tabu Jomba, kwa heshima nafanya kama ulivyoelekeza naachana nae!
Ila naomba nihitimishe kwa haya machache...
1. Tunapojadiliana tusikijikite katika kushinda majadiliano bali kujifunza kupitia majadiliano.
2. Kundi la huyu dogo wanasumbuliwa na Ego, they pretend to know much while they know nothing.
3. Akili fupi sana ya kupambanua mambo yet kila post wanadandia kureply utafikiri wanalipwa manina.
4. Na mie huwa sina mtindo wa kujadiliana nao mara kwa mara ila ile hoja ya Opium ika break my patient.
5. Kwa faida ya wengi wanaojielewa... Swali la Ask-Q lilikuwa zito, Gumu na fikirishi kwa wanaojielewa bahati mbaya likaangukia kwa akili kisoda, Mrembo Yoda akakurupuka kutoa mashudu yaliyomo kichwani mwake.
Ile hoja ya Ask-Q inafanana na jambo ambalo nilishawahi kulisema huko nyuma. Kua dunia tunavyoitizama haipok vile inavoeleweka kwa walio wengi. Iko tofauti kabisa.
Em fikirieni tunaishi katika dunia, Dunia ambayo most sector ambazo ni muhim zipo under control.
Leo hii hata apo mbagala, fungua kiwanda kimya kimya hazipiti nukta utakamatwa. Na utakamatwa kupitia supply chain ya vifaa utakavyohitaji kuvitumia ili uzalishe ulichokusudia.
Je vipi kwenye ulimwengu wa silaha? Leo hii Intelligence zote kubwa dunian zinatizama kila ujio wa techonology mpya inashindwa kujua kweli supplier wa silaha za magendo ni nani?
Miaka 20, US aliyokua hapo Afghanistan alishindwa kujua anaesambaza silaha kwa Wataleban ni nani?
Afghanistan GDP kwa sasa ni 19.81US dollar, yani ile total GDP haijafikia hata ile Nusu ya kiasi alichopewa Ukraine in term of cash and Aid. Na ieleweke kua GDP ni Pato la Nchi wala sio kiasi cha matumizi ya nchi husika.
Hizo Opium zinazodaiwa kuwasaidia Taleban, ni hivi, Annual export ya Opium Afghanistan iko around 1.7$ to 2.4$ billions. Na hapa yadaiwa kuongezeka tofauti na miaka 20 hiyo hapo nyuma. Chukulia maxium hata ya 5Billion dola kwa mwaka. Zidisha mara 20 utapata around 100$ billions linganisha na Cost iliyotumika kwa US ya 8 Trillion dollar.
Kwa kifupi alichokua anak'point Ask-Q kwenye kile alichokizungumza ni watu kuelewa tofauti ya "Real War" na "Fake War", ndani yake kwa wenye akili tu huwa wanapata majibu ya kwanini kwanini kwa Ukraine imeleta attention kubwa kulizo zile za nyuma.
Na hilo mtu hawezi kulielewa kama ni mla chips zege nijazie jazie za kushiba, NEVER EVER.
Tofauti kati ya Real war na Fake war, Curious mind always huwa wana question kila neno katika sentence. Most people fail to grasp kwanini mercenaries wanaoenda Ukraine wanalalamika na kudai hali iliyopo sio kama Afghanistan. "Ukraine is Hell", Why?
Mind you, Russia alichotangaza ni just Military Operation not a War,
So how a large country like Ukraine (Yes it's large compared to Afghanistan) run out of everything kujilinda wenyewe in the so called Operation ikiwa vita kamili itakuaje?
And how did a poor country like Afghanistan, Oh no wait, kikundi cha wachunga mbuzi ndani ya Afghanistan kuweza kusurvive miaka 20 bila msaada dhidi ya World largest economy na wapambe wake?
As you said... Hizo mambo kwa wala Chips zege nijazie jazie bado sana kuweza kuzielewa.