The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Once a Genius always a Genius, fumbo mfumbe mjinga mwerevu atalitambua. Umekita pale pale nilipokua nimekusudia mdau.
Tofauti kati ya Real war na Fake war, Curious mind always huwa wana question kila neno katika sentence. Most people fail to grasp kwanini mercenaries wanaoenda Ukraine wanalalamika na kudai hali iliyopo sio kama Afghanistan. "Ukraine is Hell", Why?
Mind you, Russia alichotangaza ni just Military Operation not a War,
So how a large country like Ukraine (Yes it's large compared to Afghanistan) run out of everything kujilinda wenyewe in the so called Operation ikiwa vita kamili itakuaje?
And how did a poor country like Afghanistan, Oh no wait, kikundi cha wachunga mbuzi ndani ya Afghanistan kuweza kusurvive miaka 20 bila msaada dhidi ya World largest economy na wapambe wake?
As you said... Hizo mambo kwa wala Chips zege nijazie jazie bado sana kuweza kuzielewa.
Yani ukiingia YouTube ukiandia Ukraine, Unaweza kuona kwamba urusi Ukraine imeshakwisha, yani nimeamini Euro na USA wanaichukia Sana urusi.
Hakuna HABARI inayoandikwa kuhusu Ukraine imepoteza nn huko kwao kwenye mapigano.
Acha kukaza hilo komwe bro utaumbuka!Majususi wa magharibi wanakabiliana na Russia wanataka kuifanyaje Russia?
Ili tujue Russia kaweza kuhimili na kuwamudu hao majasusi lazima utuambie tujue wana lengo gani, vingenevyo ni porojo za vijiweni tu za kupuuzwa.
Jitahidini kuficha ujinga wenu hata mkiuliza maswali.Mimi nafahamu cold War iliisha, wewe kama nani unasema cold haikuisha ikiwa Ukomunisti wa Mashariki chini ya USSR ulianguka rasmi mwaka 1990 na ubepari wa magharibi uka take over Ulaya ya Mashariki?
Son of SatanPope to visit Ukr 👇
Mkuu hizo ni propaganda tu ambazo dunia iliaminishwa ila hii operation ndo imekuja kufunua ukweli wote,
☆Hakuna nchi masikini inayo ogopwa na USA, EU na NATO
☆Hakuna nchi masikin iliyo na uwezo wakuzionya jumuiya na nchi tajwa hapo juu.
☆Hakuna nchi masikini inayojitengenezea silaha zote za kivita tena zinazo ogopwa na super powers.
☆Hakuna nchi masikini ambayo mgogoro wake unaathili dunia nzima(e.g mfumuko wa bei na njaa)
☆Hakuna nchi masikini inayoweza kugeuza miji kuwa magofu huku dunia nzima ikiwa imeufyata hata kurusha jiwe ndani ya nchi hiyo.
☆Hakuna nchi masikini inayoenda kupigiwa magoti na UN, inayopigiwa simu na viongoz wa super power countries kuombwa isitishe operation.
☆Hakuna nchi masikin inayomiliki taasisi ya mambo ya anga za mbali(Roskosmos) na yenye uwezo wa kurusha satellites zake yenyewe bila msaada wa nchi yeyote. Satellites siyo Mitumbwi na anga siyo maji.
Mwisho: Twende mbele turudi nyuma Russia ni super power country na ni miongoni mwa nchi chache sana duniani iliyobarikiwa kuwa na utajiri wa asili(Mafuta, gesi, madini, utalii, nafaka, ardhi kubwa na n.k).
Umeongea kitu kikubwa Sana..watakubishiaHesabu hua hazidanganyi.
Ukitaka kujua uwezo wa majasusi wa Urusi angalia idadi ya majasusi wanaokabiliana nae na uwezo wao.
Kwa miaka yote Urusi anakabiliana na majasusi wa nchi kubwa zote na kwa pamoja lakini anawamudu.
Urusi anakabiliana na CIA,MI6,majasusi wa Ufaransa,German,iltaly, Belgium,Poland,Denmark,Norway, Turkey,Japan, Australia,Ukraine,Spain,n.k.
Au kwa kifupi sana anakabiliana na majususi wote wa NATO na maswahiba zao wa west.
Bila kusahau Mossad.
Hii wala sijiongelei TU,Bali ndio Hali halisi.
Kwa Russia kuhimili na kuwamudu majasusi wa nchi za west,sio bahati mbaya ni uwezo wake TU
Umenena vema....Russia ni superpower....Wengine wote ikiwemo USA , NATO sijui Nini watasubiri..Mkuu hizo ni propaganda tu ambazo dunia iliaminishwa ila hii operation ndo imekuja kufunua ukweli wote,
☆Hakuna nchi masikini inayo ogopwa na USA, EU na NATO
☆Hakuna nchi masikin iliyo na uwezo wakuzionya jumuiya na nchi tajwa hapo juu.
☆Hakuna nchi masikini inayojitengenezea silaha zote za kivita tena zinazo ogopwa na super powers.
☆Hakuna nchi masikini ambayo mgogoro wake unaathili dunia nzima(e.g mfumuko wa bei na njaa)
☆Hakuna nchi masikini inayoweza kugeuza miji kuwa magofu huku dunia nzima ikiwa imeufyata hata kurusha jiwe ndani ya nchi hiyo.
☆Hakuna nchi masikini inayoenda kupigiwa magoti na UN, inayopigiwa simu na viongoz wa super power countries kuombwa isitishe operation.
☆Hakuna nchi masikin inayomiliki taasisi ya mambo ya anga za mbali(Roskosmos) na yenye uwezo wa kurusha satellites zake yenyewe bila msaada wa nchi yeyote. Satellites siyo Mitumbwi na anga siyo maji.
Mwisho: Twende mbele turudi nyuma Russia ni super power country na ni miongoni mwa nchi chache sana duniani iliyobarikiwa kuwa na utajiri wa asili(Mafuta, gesi, madini, utalii, nafaka, ardhi kubwa na n.k).
Hesabu hua hazidanganyi.
Ukitaka kujua uwezo wa majasusi wa Urusi angalia idadi ya majasusi wanaokabiliana nae na uwezo wao.
Kwa miaka yote Urusi anakabiliana na majasusi wa nchi kubwa zote na kwa pamoja lakini anawamudu.
Urusi anakabiliana na CIA,MI6,majasusi wa Ufaransa,German,iltaly, Belgium,Poland,Denmark,Norway, Turkey,Japan, Australia,Ukraine,Spain,n.k.
Au kwa kifupi sana anakabiliana na majususi wote wa NATO na maswahiba zao wa west.
Bila kusahau Mossad.
Hii wala sijiongelei TU,Bali ndio Hali halisi.
Kwa Russia kuhimili na kuwamudu majasusi wa nchi za west,sio bahati mbaya ni uwezo wake TU
Kwani unataka akuaminishe ili iweje....Watu wengine bwana...Nyie mko huku halafu mnalalamika eti Putin aliwadanganya ...who are you for God's sake...Duh...Kama Putin alikana wiki kadhaa kabla ya kuivamia Ukraine kwamba hataivamia kwa nini tuamini anaposemea huu uvamizi wake anaoutumia hadi hypersonic na wanajeshi laki moja ni military operation na sio vita ?
Vita ni hadi angetumia silaha za nyuklia ambazo ndio pekee hajazitumia ??
Hizi akili zenu za kizombi Pro Russia.
Umenena vema....Russia ni superpower....Wengine wote ikiwemo USA , NATO sijui Nini watasubiri..
Russia in silaha za kutisha ambazo nyingi bado hajazitumia...ina watu vichwa Sana...Russia inaongoza kwa kuwa na mathematicians wazuri duniani...ndiyo hao ukichanganya na ma-physicists na ma-chemists wanna uwezo wa ku-design na kutengeneza silaha za kutisha...
Son of Satan
Sipendagi kujibizana na wewe,naona ni kupoteza muda TU.
Unajua cold war?
Basi kama unaijua hakuisha bado.
Na kama haikuisha maana yake masusi wa NATO wako kazini Kila siku kuchunguza Russia anafanya Nini.
Nao Russia wako makini kujua NATO wanafanya Nini na kuwazuia.
Nakukumbusha TU ni kazi ya majasusi wa Russia ndio iliyomuweka Trump madarakani.
Nao west walijaribu kutaka kumtoa Putin madarakani lakini walikutana na mkono wa majasusi wa Urusi.
Naishia hapo.
Sikirimimimasikini hua anapote,ukiona kapotea ujue Yuko chimbo.Frontline kabisa.
Akija kuibuka anaibuka na breaking news ya kufa mtu.
Anaamsha jukwaa Zima.
Mkuu hizo ni propaganda tu ambazo dunia iliaminishwa ila hii operation ndo imekuja kufunua ukweli wote,
☆Hakuna nchi masikini inayo ogopwa na USA, EU na NATO
☆Hakuna nchi masikin iliyo na uwezo wakuzionya jumuiya na nchi tajwa hapo juu.
☆Hakuna nchi masikini inayojitengenezea silaha zote za kivita tena zinazo ogopwa na super powers.
☆Hakuna nchi masikini ambayo mgogoro wake unaathili dunia nzima(e.g mfumuko wa bei na njaa)
☆Hakuna nchi masikini inayoweza kugeuza miji kuwa magofu huku dunia nzima ikiwa imeufyata hata kurusha jiwe ndani ya nchi hiyo.
☆Hakuna nchi masikini inayoenda kupigiwa magoti na UN, inayopigiwa simu na viongoz wa super power countries kuombwa isitishe operation.
☆Hakuna nchi masikin inayomiliki taasisi ya mambo ya anga za mbali(Roskosmos) na yenye uwezo wa kurusha satellites zake yenyewe bila msaada wa nchi yeyote. Satellites siyo Mitumbwi na anga siyo maji.
Mwisho: Twende mbele turudi nyuma Russia ni super power country na ni miongoni mwa nchi chache sana duniani iliyobarikiwa kuwa na utajiri wa asili(Mafuta, gesi, madini, utalii, nafaka, ardhi kubwa na n.k).
Namna ulivyouliza swali tu mtu unapata picha kuhusu uwezo wako wa uelewa wa Mambo mbalimbali...Sina Shaka yoyote ile uwezo wako katika uelewa ni wa chini mno...unauliza eti niliziona wapi silaha hizo?!?!!!! Duh...maswali Kama haya huwa wanaulizana kwenye vijiwe vya wanywa kahawa mitaani...kwenye jukwaa hili maswali ni: Tupatie source, na kadhalika na siyo uliziona wapi silaha hizo...Russia ana silaha za kutisha zaidi ya hypersonic??
Hembu tuambie hizo ambazo hajazitumia mpaka sasa uliziona wapi na zinafanyaje kazi?