Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vijana wangu wa Jf , Russia sio Tanzania ambayo majenerali hawajai sebuleni . Russia ni taifa kubwa kijeshi hivyo jenerali anakuwa frontline kabisa na hawa majenerali sio mamia ni maelfu sasa ukiua mmoja usidhani kuna ulichopunguza . Wataalamu bado ni wengi mno na baada ya vita wengi watapewa hivyo vyeo na wengine wanapewa hukohuko vitani.
 
Tofauti ya Russia na US ni kwamba katika vita US ikipoteza askari kadhaa wanaanza kuwaza kuachana na hiyo vita na ndio maana Russia anamtambia US kwa maana huwezi pigana vita kubwa bila kupoteza askari . Kesi ya Somalia Black hawk ni mfano , Iraq na Afghanistan.
 
Nimesahau jina wa aliokuwa kiongozi KGB mwengine ambaye na anatazamiwa kumrithi Putin na yeye ni noma sana sio kitoto endapo Putin atatoka madarakani kwa kumaliza mda wake au kwa namna yoyote basi jueni kuwa khna mwamba mwengine wa KGB nyuma yake
Anaitwa Nikolai Patrushev, Picha hiyo chini hapo...
images (11).jpg
Ni secretary wa security council of Russia. Huyu alikuwa second Most powerful man after Putin ndani ya Russia kabla katiba haijabadilishwa majuzi juzi hapo.

Hivi sasa ni Medvedev ndio yupo Second to Putin kisha huyu mdau.
I mean rank hii
1. Chairman Vlad. Putin
2. Deputy Chairman Medvedev
3. Secretary Nikolai Patrushev
4. Chairman of Government (ambaye ni waziri Mkuu) Mikhail

Before 2020, ilikuwa hivi
1. Chairman V Putin
2. Secretary Nikolai Patrushev
3. Chairman of Government Medvedev

So to sum up the second most powerful man in Russia hivi sasa baada ya Putin ni Medvedev. Kitendo cha Putin kukianzisha hicho cheo cha deputy kisha kumpa Medvedev inaonesha ni jinsi gani anavyomwamini kijana wake.

Na as long as hiyo taarifa kuhusu huyu jamaa (Patroshev) kukaimu nafasi ya Putin imetoka kwenye vyombo vya habari vya magharibi vilivyotwambia Russia wameishiwa chakula sitokaa niiamini 😂

Western Media hata wakitangaza leo Samia ndio Rais wa Tanzania hadi nimtafute mswahili mmoja au wawili kama PD_Magumba au lee van cliff niwaulize nithibitishe 🤗... Hupaswi kumwamini mwongo hata kama akisema kweli.

Mwisho maoni yangu ya kwanini napingana na hiyo Taarifa.
1. Hadi sasa Russia imeongozwa na Marais watatu tu tangu kuvunjika kwa USSR, kati yao hakuna kiongozi aliyeingia madarakani mzee kiasi hicho.

🔸Yeltsin aliingia madarakani akiwa na 60yrs
🔸V. Putin aliingia madarakani akiwa na 48yrs
🔸Medvedev aliingia madarakani akiwa na 43yrs

Sasa huyu mdau kwanza mkubwa kuliko Putin, anatafuta 71yrs hivi.

2. Russia is unpredictable, na hii ndio Point kubwa na yenye nguvu zaidi kuliko zote.

My take: Ukiuangalia mtiririko wa namna Putin alivohama vitengo toka 1990 hadi 2000 anakuwa Prezdaa haikupi kigugumizi kumtizama Medvedev kama Ujio mpya baada ya Putin.

Naamini Putin hajamtoa kutoka mtu wa 3 baada yake hadi pili wa baada yake bure...

Chukulia mfano hapa TZ, inafahamika baada ya Rais ni Makam wa Rais. Ibadilishwe mfumo wa Uongozi kianzishwe cheo X ambacho ni Most Powerful kuliko makam wa Rais na Only second to President inakupa picha gani? 😃

Au labda wao wakimtizama huyu Mzee Patroshev kwamba alikuwa KGB, akawa Director of Federal Security Service kisha sasa Secretary of Security Council. Vyeo ambavyo Putin kavishika kabla ya kua Raisi wanafikiri basi nae itakua hivyo hivyo. Ila wanasahau kabla hicho cheo cha Deputy Chairman alichonacho Medvedev hivi sasa hakikuepo enzi hizo.

Yani Kama Bongo tulivyokariri enzi za nyuma kua Raisi anaandaliwa kwa kua waziri wa mambo ya nje so wakategemea Membe atakua Prezdaa baada ya Babu wa Chalinze... Lakini kwa Russia naandika kwa herufi kubwa kua RUSSIA IS UNPREDICTABLE.

Lastly, Russia ya kwenye vyombo vya habari hasa vya magharibi ni mbaya mno. Ila ukijipa mda wa kuifatilia na kuifaham vizuri. Hakuna taifa zuri na "tamu" kama Russia kwa sasa.
 
Zachem Putin vvyazyval russkikh v voynu? on takoy egoistichnyy
 
Kwa habari za jana majenerali 2 akiwemo yule waliyemtoa kutoka Syria wamekula chuma
Hao ni wengi sana huko Russia sio wa kuhesabika kama mataifa yetu madogo. Tanzania vs Uganda tulienda na majenerali wachache sana hawakuzidi watano lakini tuliporudi ndio tukapandisha idadi. Kwaiyo ukiona jenerali kauwawa frontline jua hilo jeshi si la mchezo maana halifugi majenerali wa kutoa amri wakiwa mbali na uwanja wa vita . Sasa hao Ukraine hajafa jenerali wala kanali wala askari yeyote wanakufa raia tu na maeneo yanatekwa
 
Hacha kujifariji, wamepewa kipigo.
 
Mkuu kama unafuatilia vita vya nchi na nchi majenerali kwa tabu hufa 1 hadi 2 mpaka vita inaisha, sasa hii habari ya Russia kupoteza majenerali kila leo ni ishara Putin hana technic ya vita anabutwa butwa ovyo ovyo sana

Linki hii fuatilia hiyo habari ya hao 2 kwa jana
 
Heheee
Pesa walizokua wanampa kabla ya huu mgogoro zimeenda wapi au RUSSIA kazitupa kiasi kwamba hataweza kugharamia OP iendeleayo
Pesa wanazompa wakati huu OP inaendelea jamaa anazitupa ama zinaenda wapi mpaka jamaa washindwe kuendesha OP yao ama vita yenu
Wakishapata huo mbadala ndani ya muda mfupi muje mutwambie pia mkubaliane Pro NATO kwamba huo muda mfupi umeanza lini nautaisha lini kwawao kuachana na bidhaa za RUSSIA
Pia mkubaliane pro Ant RUSSIA kwamba mwishoni mwa uwezo wa RUSSIA kuiendesha hii OP au vita yenu kabla hajafilisika nakushindwa kuiendesha itakua lini ili tupate kukumbushana
mwishoni kabisa tunawakumbusha
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kumbe mna hasira za kipanda uso kama Putin .Hamjui hata mnachokitaka
 
Vijana wangu wa Jf , Russia sio Tanzania ambayo majenerali hawajai sebuleni . Russia ni taifa kubwa kijeshi hivyo jenerali anakuwa frontline kabisa na hawa majenerali sio mamia ni maelfu sasa ukiua mmoja usidhani kuna ulichopunguza . Wataalamu bado ni wengi mno na baada ya vita wengi watapewa hivyo vyeo na wengine wanapewa hukohuko vitani.
Vifo vya majenerali zaidi ya 10ni pigo kubwa fullstop,

Em tupe structure ya jeshi la urusi then uone army jenerali Yuko ranked no ngapi!
 
Russia ni nchi ya Kifalme?

Au ndio wanatumia msemo wa Joseph Stalin.
"It is enough that the people know there was an election. The people who cast the votes decide nothing. The people who count the votes decide everything"

Back
Top Bottom