Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kumbe!
Prince au Princes nani anategemewa kumrithi Putin?
Prince au Princes nani anategemewa kumrithi Putin?
Kama UK
Kama UK
Hapana acha upotoshaji na utoto. Majenerali wengi wa Russia wameuwawa vitani kwa sababu wanalazimika kwenda mstari wa mbele kwenda kuhamasisha wapiganaji ambao wengi hawaungi mkono uvamizi wa nchi yao dhidi ya Ukraine.Hao ni wengi sana huko Russia sio wa kuhesabika kama mataifa yetu madogo. Tanzania vs Uganda tulienda na majenerali wachache sana hawakuzidi watano lakini tuliporudi ndio tukapandisha idadi. Kwaiyo ukiona jenerali kauwawa frontline jua hilo jeshi si la mchezo maana halifugi majenerali wa kutoa amri wakiwa mbali na uwanja wa vita . Sasa hao Ukraine hajafa jenerali wala kanali wala askari yeyote wanakufa raia tu na maeneo yanatekwa
Unachanganyikiwa wewe. Una manufaa gani na huu mgogoro kuliko migogoro ya kwenu Africa.Kumbe!
Prince au Princes nani anategemewa kumrithi Putin?
Duh! Dingi ana hasira nao😬😬😬Medvedev 😃
View attachment 2253571
Medvedev: I am often asked why my Telegram posts are so harsh.
The answer is I hate them. They are bastards and geeks. They want death for us, Russia. And as long as I'm alive, I will do everything to make them disappear.
Unachanganyikiwa wewe. Una manufaa gani na huu mgogoro kuliko migogoro ya kwenu Africa.
My point inakuuma nini kuwa ni nchi ya kifalme ilihali unaoeashabikia ndiio wenye huo mfumo.
Tema nondo Mkuu Jesus MlokoziELIMU KUHUSU MLIPUKO WA NUCLEAR
Leo nataka kutoa elimu kidogo kuhusu matokea ya mlipuko utokanao na nuclear warhead.
Kwanza kabisa mlipuko unapotokea unazalia energy(Nishati). Nishati hiyo hupimwa kwa kipimo kinachoitwa TNT.
Sitaki kueleza zaidi kuhusu TNT maana yake lakini kirefu cha TNT ni Trinitrotoluene. Hapa ni elimu ya chemistry sitaki niongee zaidi.
Kishati hiyo hupimwa na kulinganishwa na vipimo vingine vya nishati.
1 TNT ni sawa na 1162 KwH. Yaani 1 TNT ni sawa na unit za umeme 1162.
Tukichukulia umeme wa nyumbani kwamba unatumia kwa siku unit 10 basi umeme unaozalishwa na 1TNT utaweza kutumia kwa siku 116.2
Lakini vipimo hivyo huwa vinapimwa kwa mega TNT maana yake ni 1000TNT.
Kwa mahesabu ni sawa na unit za umeme 1,162,000. Au tunaweza kusema kuwa kuwa ni 1,162 MW.
Kwa sasa nchi ya Tanzania inazalisha umeme usiozidi 1,800 MW. Sasa ukiwa na 2 megatons of TNT ni zaidi ya umeme unaozalishwa na TANESCO. Vilevile ni zaidi ya Umeme tunaotarajia kuzalisha bwawa la Nyerere.
Avangard missile ya Urusi
Hii ni silaha ya urusi yenye uwezo wa kubeba nuclear warhead. Uwezo wake ni 2 megatons of TNT. NI sawa na 2,325MW ukilinganisha na umeme. Yaani ni zaidi ya umeme unaotegemea kuzalishwa na bwawa la nyerere.
Kwa kutumia NUKEMAP simulation bomb hilo linaweza kuathili eneo lenye ukubwa wa eneo la duara 652km square. Hii ni thermal effect. Maana yake kunakuwa na joto kali vitu vilivyondani ya eneo hilo vinaungua.
Machester ukubwa wake ni 115.6 km². Kwahiyo one Bomb of Avangard inateketeza Machester yote.
RS-28 Sarmat ICBM
Hii kitu ni tishio kubwa sana hapa dunia maana inauwezo wa kubeba war head zaidi ya 20. Na ikiwa na uwezo wa kubeba Avangard 15.
Sasa piga hesabu Avangard moja ni sawa na umeme wa 2324MW ukichukua mara 15. Maana yake miji 15 inateketea kwa wakati mmoja.
Kama kwa hapa East Africa. Dar, Nairobi, Bujumbura, Kigali, kampala, Kishasa, Juba na miji mingine yote inateketea kwa one sarmat.
Ngoja niishie hapa kwa sasa.
Makofi matatu kwako.👏👏👏Anaitwa Nikolai Patrushev, Picha hiyo chini hapo... View attachment 2253964Ni secretary wa security council of Russia. Huyu alikuwa second Most powerful man after Putin ndani ya Russia kabla katiba haijabadilishwa majuzi juzi hapo.
Hivi sasa ni Medvedev ndio yupo Second to Putin kisha huyu mdau.
I mean rank hii
1. Chairman Vlad. Putin
2. Deputy Chairman Medvedev
3. Secretary Nikolai Patrushev
4. Chairman of Government (ambaye ni waziri Mkuu) Mikhail
Before 2020, ilikuwa hivi
1. Chairman V Putin
2. Secretary Nikolai Patrushev
3. Chairman of Government Medvedev
So to sum up the second most powerful man in Russia hivi sasa baada ya Putin ni Medvedev. Kitendo cha Putin kukianzisha hicho cheo cha deputy kisha kumpa Medvedev inaonesha ni jinsi gani anavyomwamini kijana wake.
Na as long as hiyo taarifa kuhusu huyu jamaa (Patroshev) kukaimu nafasi ya Putin imetoka kwenye vyombo vya habari vya magharibi vilivyotwambia Russia wameishiwa chakula sitokaa niiamini 😂
Western Media hata wakitangaza leo Samia ndio Rais wa Tanzania hadi nimtafute mswahili mmoja au wawili kama PD_Magumba au lee van cliff niwaulize nithibitishe 🤗... Hupaswi kumwamini mwongo hata kama akisema kweli.
Mwisho maoni yangu ya kwanini napingana na hiyo Taarifa.
1. Hadi sasa Russia imeongozwa na Marais watatu tu tangu kuvunjika kwa USSR, kati yao hakuna kiongozi aliyeingia madarakani mzee kiasi hicho.
🔸Yeltsin aliingia madarakani akiwa na 60yrs
🔸V. Putin aliingia madarakani akiwa na 48yrs
🔸Medvedev aliingia madarakani akiwa na 43yrs
Sasa huyu mdau kwanza mkubwa kuliko Putin, anatafuta 71yrs hivi.
2. Russia is unpredictable, na hii ndio Point kubwa na yenye nguvu zaidi kuliko zote.
My take: Ukiuangalia mtiririko wa namna Putin alivohama vitengo toka 1990 hadi 2000 anakuwa Prezdaa haikupi kigugumizi kumtizama Medvedev kama Ujio mpya baada ya Putin.
Naamini Putin hajamtoa kutoka mtu wa 3 baada yake hadi pili wa baada yake bure...
Chukulia mfano hapa TZ, inafahamika baada ya Rais ni Makam wa Rais. Ibadilishwe mfumo wa Uongozi kianzishwe cheo X ambacho ni Most Powerful kuliko makam wa Rais na Only second to President inakupa picha gani? 😃
Au labda wao wakimtizama huyu Mzee Patroshev kwamba alikuwa KGB, akawa Director of Federal Security Service kisha sasa Secretary of Security Council. Vyeo ambavyo Putin kavishika kabla ya kua Raisi wanafikiri basi nae itakua hivyo hivyo. Ila wanasahau kabla hicho cheo cha Deputy Chairman alichonacho Medvedev hivi sasa hakikuepo enzi hizo.
Yani Kama Bongo tulivyokariri enzi za nyuma kua Raisi anaandaliwa kwa kua waziri wa mambo ya nje so wakategemea Membe atakua Prezdaa baada ya Babu wa Chalinze... Lakini kwa Russia naandika kwa herufi kubwa kua RUSSIA IS UNPREDICTABLE.
Lastly, Russia ya kwenye vyombo vya habari hasa vya magharibi ni mbaya mno. Ila ukijipa mda wa kuifatilia na kuifaham vizuri. Hakuna taifa zuri na "tamu" kama Russia kwa sasa.
Ndio huyu tu mmoja ama kuna mwingine!?Glory to Ukraine
Nimeikuta sehemu, [emoji116]
General wa kwanza alivyopotezwa
Name:
Andrey Sukhovetsky
Rank:
Major general
Position:
Deputy Commander of the 41st Army.
Date reported:
1st March
Status:
Confirmed
Kifo:
Alipigwa risasi na sniper wa Ukraine, hostomel tarehe 28 Februari 2022.
Hapo awali alikuwa amehusika katika uingiliaji wa kijeshi wa Urusi katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Syria, na pia alihusika kunyakua kwa Urusi Crimea 2014.
Kifo chake kiliripotiwa na afisa mstaafu wa ujasusi wa Urusi kwenye Twitter tarehe 1 Machi[4] na jarida la mtandaoni la Urusi Pravda.ru mnamo tarehe 3 Machi 2022.
Fununu:
Maafisa wakuu wa Marekani walidai kuwa Marekani imetoa taarifa za kijasusi za kijeshi ambazo zimewaruhusu Waukraine kuwalenga na kuwaua majenerali wengi wa Urusi ambao wamefariki wakiwa kazini katika mzozo huo.
Vita alizopigana:
✓russo-georgian war
✓ syrian civil war
✓ annexation of crimea
✓ 2022 russian invasion of ukraine.
Awards:
Sukhovetsky was a highly decorated soldier, having been awarded 14 medals.
End.
View attachment 2254182View attachment 2254183
View attachment 2254229
We unashabikia makalio?Mpuuzi mwenyewe unayeshabikia vita.Wewe unafurahia wenzio kufa (iwe Russia au Ukraine) watu kama nyie ndio mnaroho ya kisadist huwa mnakufa na magonjwa mengi sana msipojikagua kwa sabbu most of time baadala ya kufikiria amani mnachelkelea ugomvi.
Kwani Hiroshima Ukraine ndio walitupa bomu.Yaani watanzania kwa ku compare vitu hawajambo simama na kitu kilichopo.Maprofessor na wasomi wamebaki na references mpaka hawawezi kuwa innovativeAmani ipi? Kwa hiyo ile ya hiroshima ilikuwa amani?
Kilichopo ni kuwa Ukraine anatiwa adabu kwa kujipendekeza kwa NAZI na kushadadia zile itikadi.Kwani Hiroshima Ukraine ndio walitupa bomu.Yaani watanzania kwa ku compare vitu hawajambo simama na kitu kilichopo.Maprofessor na wasomi wamebaki na references mpaka hawawezi kuwa innovative
Rusia anarudisha majimbo yake ya zamani kabla ya vita ya kwanza ya dunia majimbo yote ya mashariki MWA Ukrein na kusini pamoja na bahari ya Azov zote zilikuwa za Rusia Ila watawala WA Rusia Kwa kipindi tofauti walizitoa Kwa Ukrein sababu walikuwa kama ndugu na ili kuboresha mahusiano Yao walikuwa wanaichukulia Ukrein kama ndugu kwao Ila Ukrein naona pembe zimeota wanasahau historia Yao ya kale na uhusiano wao wa tangu kale ndyo manaa Urusi kaona liwalo na liwe ayarudishe kinguvuHivi lengo la Russia kushika shika miji hivi ya Ukraine nin mwisho wake? Anakamata mji mmoja baada ya mwingine hadi nchi nzima? au anakamata baadhi tu ili aikalie na kuinyonya kiuchumi baaas?
Nin lengo lake hasa
Ukraine ilikuwepo kabla ya RussiaRusia anarudisha majimbo yake ya zamani kabla ya vita ya kwanza ya dunia majimbo yote ya mashariki MWA Ukrein na kusini pamoja na bahari ya Azov zote zilikuwa za Rusia Ila watawala WA Rusia Kwa kipindi tofauti walizitoa Kwa Ukrein sababu walikuwa kama ndugu na ili kuboresha mahusiano Yao walikuwa wanaichukulia Ukrein kama ndugu kwao Ila Ukrein naona pembe zimeota wanasahau historia Yao ya kale na uhusiano wao wa tangu kale ndyo manaa Urusi kaona liwalo na liwe ayarudishe kinguvu
urusi ilikuwa wapi wakati huo? au ilikuwa angani inaelea!!!Ukraine ilikuwepo kabla ya Russia
ana rudisha majimbo ya donbass (Luhansk na Donetsk) hapo kuna watu wa asili ya Urusi na wanataka kujitenga na ukraine toka zamani.Hivi lengo la Russia kushika shika miji hivi ya Ukraine nin mwisho wake? Anakamata mji mmoja baada ya mwingine hadi nchi nzima? au anakamata baadhi tu ili aikalie na kuinyonya kiuchumi baaas?
Nin lengo lake hasa