Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama unachukia sana mbona huachi kuangalia EPL au UEFA ambao wanahubiri kila mechi na wamewatimua Warusi wenu pia?
Halafu Mbona Urusi haijaivamia Finland ambapo katiba kabisa inaruhusu ndoa za jinsia moja na badala yake wameivamia Ukraine ambapo ndoa za jinsia moja hazitambuliki kikatiba??
Mengi sana.
I don't like hizo value zenu mnazohubiri [emoji304] ndio zimewatia ukichaa mnaona ndio ubinadamu kuliko maangamizi yenu Iraq Libya, Syria Na kwingineko.
Destruction ya family values .etc
Mwisho hii italeta adabu duniani sio kuwa na mbabe anayejali pesa tu bila utu.
 
Kwaiyo ukiona jenerali kauwawa frontline jua hilo jeshi si la mchezo maana halifugi majenerali wa kutoa amri
😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 naona kama unaongea kinyume: Kumbuka kuwa mapaka mtu afike kwenye u jenerali atakuwa amehudumu muda mrefu, huwezi kumuweka mzee front line haiwagi hivyo. Huu ni mfumo wa kizembe
 
Hapana acha upotoshaji na utoto. Majenerali wengi wa Russia wameuwawa vitani kwa sababu wanalazimika kwenda mstari wa mbele kwenda kuhamasisha wapiganaji ambao wengi hawaungi mkono uvamizi wa nchi yao dhidi ya Ukraine.
Huo ndio ukweli hayo mengine ni porojo tu.
Huu ndio ukweli
 
Hao ni wengi sana huko Russia sio wa kuhesabika kama mataifa yetu madogo. Tanzania vs Uganda tulienda na majenerali wachache sana hawakuzidi watano lakini tuliporudi ndio tukapandisha idadi. Kwaiyo ukiona jenerali kauwawa frontline jua hilo jeshi si la mchezo maana halifugi majenerali wa kutoa amri wakiwa mbali na uwanja wa vita . Sasa hao Ukraine hajafa jenerali wala kanali wala askari yeyote wanakufa raia tu na maeneo yanatekwa
Hii comment ya kibabe sana Mrusi mwenzangu 🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 
Mwanajeshi analalama anapigana vita katika mazingira magumu?

Kwani vita inapiganwa katika mazingira gani
Kwao vita zinzpiganwa kwa viwango, mfano - muda maalum wa kukaa front, kiwango kiasi na ubora wa chakula, vifaa vya kukinga mwili dhidi ya adverse weather and climate. Kutokana na na ukraine kuwa na ,mbinu bora, askari wa urusi walio mbele hawawezi kuwa replaced na ni vigumu kupata supplies mara kwa mara
 

The Congolese student fighting with pro-Russia separatists in Ukraine​


Fighting alongside pro-Russia separatists as a part of Moscow’s unprovoked invasion of Ukraine wasn’t talked about in the brochures of Luhansk University when Jean Claude Sangwa, a 27-year-old student from the Democratic Republic of the Congo, moved to the breakaway area final 12 months to check economics.

But when the top of the Kremlin-controlled, self-declared Luhansk People’s Republic introduced a full army mobilisation of the area on 19 February, Sangwa, collectively with two associates and fellow college students from DRC and Central African Republic, determined to hitch the native militia and take up arms in opposition to Ukraine.
“I joined because the war came to our republic. What should I have done? I am a man and have to fight,” Sangwa stated in damaged Russian. “The whole world is fighting against Russia,” he added when requested why he had determined to hitch the militia.
Sangwa moved to Russia two years in the past to check in Rostov, a metropolis near the Ukrainian border, after which moved to Luhansk, which had been captured by separatists backed by the Russian military in 2014.

Source:The Guardian
 

​

The NWO Elite want you to eat Bugs so as to achieve their NET ZERO carbon emission agenda!​


Still believe the NWO Elite aren't crazy?Those who want you to own nothing and be happy?Those who have started the Ukraine-Russia War so that they may destroy the food chain and starve you to death?Yes,in their effort to slowly phase out meat consumption because animals contribute to Global Warming through Methane and Carbon dioxide Emmision(very laughable assertion),they have initiated the selling of "Insect Protein" Bars in Latvia so as to achieve their crazy "Net Zero Carbon Emmision Strategy," which is purely based on bad science,evil goals and fantasy.​


I believe you know that the so-called "Elite" want us to "own nothing and be happy." Which is impossible and a utopian thought,unless you are a Zombie.And you know what, these psycopaths also want us to eat bugs instead of, you know, meat.
In Latvia, stores have begun selling the "Better Bar" or to be exact Bug Protein.
Latvia-Insect-Protecin-Bar.png

On the label, prominently displayed, is one ingredient: INSECT PROTEIN.


So still think the so-called "Elite" aren't crazy?
These people have to be stopped by any means possible,scorned and rejected. If need be, coerced into submission.

Their agenda is simply evil. Humanity must reject that stupidity outright and not go along with their lunacy.
 
Basi mbona maeneo ya Ukraine yanazidi kuchukuliwa ..hizo hasara anazopata urusi si angeacha huo ni uongo ... Miji inapotea na bado mnalalamika mnataka vifaa vya nini sasa kama mnawaweza
Taja mji uliopotea acha propaganda ndugu acha
 
Sijui madeni ya EU wamemaliza kulipa lini, wewe unajua? Hembu sema ni lini na kiasi gani angalau kwa nchi 3.

Sijui pia US ana mkataba gani na Ujerumani na Japan. Hembu sema ni mkataba gani walio nao.
Kihistoria Ukraine ni threat kuliko hao wengine kwa kuwa kuna mahusiano ya karibu. Ni Kama ndugu yako kumukaribisha adui kwako ambaye unajua anaweza kukuchoma.
Kuhusu EPL hili litaisha tu once hii operesheni ikikoma. Kilichopo EU hawana say kwa US lazima agenda waikubali. Hivi unajua madeni ya ww2 wamemaliza lini kuilipa , na Germany na Japan wana mkatababa gani na US kuhusu majeshi ?.
Kwa fikra zako unadhani Haki za [emoji304] ni za maana kuliko kuweka mabango au matangazo ya kupungiza hunger, poverty, uhaba wa maji salama pia kukondemn vita zinazoendelea mfano Congo, Ethiopia , Yemen etc.
Hicho unachopenda Amani hata huyo unayempenda hakitaki maana kinamuingizia pesa. Katengeneza mkopo wa zaidi ya Usd 50 billion utakaolipwa na Ukraine kwa miongo pia ataweza kumcontrol.
 
Russia ndiye aliyeanzisha vita kwa kuivamia Ukraine na yeye mwenyewe akitaka hata leo hii vita inaisha, kwa hiyo kama unaamini huo ujinga wa NWO Russia ndiye NWO mwenyewe.

Still believe the NWO Elite aren't crazy?Those who want you to own nothing and be happy?Those who have started the Ukraine-Russia War so that they may destroy the food chain and starve you to death?Yes,in their effort to slowly phase out meat consumption because animals contribute to Global Warming through Methane and Carbon dioxide Emmision,they have initiated the selling of "Insect Protein" Bars in Latvia so as to achieve their crazy "Net Zero Carbon Emmision Strategy," which is purely based on bad science,evil goals and fantasy.Read this[emoji116]!​


Many people know the so-called "Elite" want us to "own nothing and be happy." Apparently, they also want us to eat bugs instead of, you know, meat.
In Latvia, stores have begun selling the "Better Bar"
Latvia-Insect-Protecin-Bar.png

On the label, prominently displayed, is one ingredient: INSECT PROTEIN.

So still think the so-called "Elite" aren't crazy?
These people have to be stopped,Scorned and rejected. If need be, coerced.
Their agenda is mentally sick. I will not partake.
 
Back
Top Bottom