Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

WaCongo waliokuwa wakisoma Chuo Kikuu nchini Ukraine wanatuwakilisha vyema kwenye vita vya Ukraine. Wako wanapigana bega kwa bega na majeshi ya Russia, wakipambana kuikomboa Jamhuri ya watu wa Luhansk

Raia wa Congo waliokuwa wakisoma chuo kikuu huko Ukraine, baada ya kuanza vita vya Ukraine waliamua kujiunga na Jamhuri ya watu wa Luhansk na kuchukua silaha kuwatandika majeshi ya Ukraine.

SmartSelect_20220608-170933_Chrome.jpg
SmartSelect_20220608-170952_Chrome.jpg
 
Waambie waache kiherehere warudi Congo kulisaidia jeshi lao kupambana na M23 waikomboe Congo Mashariki na kuifanya nchi yao itawalike .
Ndugu zao Congo Mashariki wanateseka sana na waasi vibaraka wa Kagame kuliko Luhansk wanavyoteseka na waasi vibaraka wa Putin.
WaCongo waliokuwa wakisoma Chuo Kikuu nchini Ukraine wanatuwakilisha vyema kwenye vita vya Ukraine. Wako wanapigana bega kwa bega na majeshi ya Russia, wakipambana kuikomboa Jamhuri ya watu wa Luhansk

Raia wa Congo waliokuwa wakisoma chuo kikuu huko Ukraine, baada ya kuanza vita vya Ukraine waliamua kujiunga na Jamhuri ya watu wa Luhansk na kuchukua silaha kuwatandika majeshi ya Ukraine.

View attachment 2254509View attachment 2254510
 
Safi hiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie waache kiherehere warudi Congo kulisaidia jeshi lao kupambana na M23 waikomboe Congo Mashariki na kuifanya nchi ya itawalike .
Ndugu zao Congo Mashariki wanateseka sana na waasi vibaraka wa Kagame kuliko Luhansk wanavyoteseka na waasi vibaraka wa Putin.
Acha kulialia mkuu, tulia 'tulii' dawa ikuingie vizuri...
 
Uliwahi kumuona Hillary Clinton amelalamika popote kuhusu kilichomtokea?
Unafahamu alikubali matokeo na kumpongeza Trum hata kabla kura hazijamaliza kuhesabiwa zote??
Kule hakuna kura za kwenye vikapu.
Kwa akili zako unaamini marekani ni nchi ya kidemokrasia Kwa kilichomtokea Hillary Clinton Ile ndyo demokrasia Siyo
 
Kama unachukia sana mbona huachi kuangalia EPL au UEFA ambao wanahubiri kila mechi na wamewatimua Warusi wenu pia?
Halafu Mbona Urusi haijaivamia Finland ambapo katiba kabisa inaruhusu ndoa za jinsia moja na badala yake wameivamia Ukraine ambapo ndoa za jinsia moja hazitambuliki kikatiba??
Wewe Ndugu Kuna hoja nyingine ni vema ukae kimya...unajiabisha tu kwa kweli..uelewa wako ni mdogo mno...Yaani hujui historia ya Russia na Ukraine ikoje...Yaani Tanzania ivunjike halafu kuwe na kutoelewana kwa independent states za Tanganyika na Zanzibar halafu mtu aseme kwanini usishambulie eti Kenya au Rwanda...duh...Yaani jukwaa hili bwana duh...
 
Majanga ya Kwa Urusi yaendelea🤔
Recent updates as of 08.06
FB_IMG_16547052536322478.jpg
 
Sudan ya Kusini ilivunjika kutoka Sudan.
Eritrea ilivunjika kutoka Ethiopia.
Pakistan ilivunjika kutoka India.
Bangladesh ilivunjika kutoka Pakistan
Singapore ilitoka Malaysia
Hizo ni kwa uchache tena kwa kipindi cha miaka 50 iliyopita na wote hao hawaelewani na huko walikovunjika halafu wewe unatuletea hadithi za karne za kale wakati hata babu yako hajamtongoza bibi yako.
Wewe Ndugu Kuna hoja nyingine ni vema ukae kimya...unajiabisha tu kwa kweli..uelewa wako ni mdogo mno...Yaani hujui historia ya Russia na Ukraine ikoje...Yaani Tanzania ivunjike halafu kuwe na kutoelewana kwa independent states za Tanganyika na Zanzibar halafu mtu aseme kwanini usishambulie eti Kenya au Rwanda...duh...Yaani jukwaa hili bwana duh...
 
Wewe Ndugu Kuna hoja nyingine ni vema ukae kimya...unajiabisha tu kwa kweli..uelewa wako ni mdogo mno...Yaani hujui historia ya Russia na Ukraine ikoje...Yaani Tanzania ivunjike halafu kuwe na kutoelewana kwa independent states za Tanganyika na Zanzibar halafu mtu aseme kwanini usishambulie eti Kenya au Rwanda...duh...Yaani jukwaa hili bwana duh...
Binafsi nimemfuatilia sana huyu jamaa anayeitwa "Yoda" kwa kweli ni mtu fulani TOO LOCAL NA ARGUMENTS ZAKE NI IDLE MINDED. Ukiona mtu anaweka comments nyiiiiingi basi ujue ana inferior mind na anachofanya NIKULAZIMISHA WISHES ZAKE.

KI UFUPI MIMI HUWA NINA SKIP COMMENTS ZAKE NA BAADHI YA WENGINE.
 
Akiwa mwenye huzuni ,rais wa Ukraine amesema iwapo majeshi yake yatauwachia moja kwa moja mji wa viwanda wa Sievierodonetsk ambao uko mashariki ya nchi hiyo basi haitakuwa rahisi kuurudisha mji huo mikononi mwao.

Hayo ameyasema leo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari. Amesema iwapo itabidi kuondoka basi watahitaji askari mara 5 zaidi wa waliopo sasa na vifaa vingi zaidi vya kivita ndipo wapigane na warusi kuwaondoa

Kauli hizo za raisi wa Ukraine zimekuja wakati meya wa mji huo na makamanda wa majeshi wamesema tayari wamesharudi nyuma mpaka viunga vya mji huo baada ya mapigano ya muda mrefu ya mtaa kwa mtaa ambapo wamezidiwa na jeshi la Urusi.

1654706889636.png
 
Najua mengi ikiwa ni pamoja na Ujerumani na Italia, Hispania, Japan na Hungary zilikuwa zinapigana dhidi ya wenzao wakiongozwa na UK, sasa wewe tuletee hapa hiyo mikopo Adolf Hitler na wenzake aliyopokea kutoka US ambayo unairudia rudia kujidai kuiuliza tu kama Kasuku bila kuweka uthibitisho wowote.
Us-Japan security treat location Washington DC.baada ya vita vya pili mchakato ulianza.
Versailles peace treaty-Woodrow Wilson 1919 in Paris alikua ndio kinara wa huu mkataba kama kutaka amani in the future.

Budda you know nothing.
 
Back
Top Bottom