Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kabisa taifa kubwa linalojiita super power duniani kuteka mji mmoja tu wa mariupol imechukua miezi mitatu tena baada ya kukodi wapiganaji toka Syria na Chechnya
Bado na kutoka NATO
FB_IMG_16542554697688120.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwe mnafikiri mara 2 2 kabla ya kutuma ujumbe humu, Russia sio dhaifu kiasi hicho ije kuomba assist ya hao Afrorussians, ni kiherehere cha hao wanafunzi kupigana alongside One of the best and strongest army in the world.
 
While Western Main Stream Media, were talking about a Ukraine victory in Severodonetsk yesterday, a few hours ago the Russian MOD said:

Units of Ukraines, having suffered critical losses (up to 90% in some units) during the battles for Severodonetsk, and they are retreating in the direction of Lisichansk.
 
Kiufupi DON BASS tayar ipo under RUSSO waache wapige kelele!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui madeni ya EU wamemaliza kulipa lini, wewe unajua? Hembu sema ni lini na kiasi gani angalau kwa nchi 3.

Sijui pia US ana mkataba gani na Ujerumani na Japan. Hembu sema ni mkataba gani walio nao.
Kumbe mbumbumbu hujui chochote. Empty head.

Unashabikia kama Simba na Yanga. Pole sana
Nenda kwenye majukwaa ya saizi yako huku unajaza server.
 
Kama unachukia sana mbona huachi kuangalia EPL au UEFA ambao wanahubiri kila mechi na wamewatimua Warusi wenu pia?
Halafu Mbona Urusi haijaivamia Finland ambapo katiba kabisa inaruhusu ndoa za jinsia moja na badala yake wameivamia Ukraine ambapo ndoa za jinsia moja hazitambuliki kikatiba??

We dogo embu kaendelee kunyonya bado mtoto sana. Upo kwenye foolish age
 
Najua mengi ikiwa ni pamoja na Ujerumani na Italia, Hispania, Japan na Hungary zilikuwa zinapigana dhidi ya wenzao wakiongozwa na UK, sasa wewe tuletee hapa hiyo mikopo Adolf Hitler na wenzake aliyopokea kutoka US ambayo unairudia rudia kujidai kuiuliza tu kama Kasuku bila kuweka uthibitisho wowote.
Kumbe mbumbumbu hujui chochote. Empty head.

Unashabikia kama Simba na Yanga. Pole sana
Nenda kwenye majukwaa ya saizi yako huku unajaza server.
 
Kihistoria Ukraine ni threat kuliko hao wengine kwa kuwa kuna mahusiano ya karibu. Ni Kama ndugu yako kumukaribisha adui kwako ambaye unajua anaweza kukuchoma.
Kuhusu EPL hili litaisha tu once hii operesheni ikikoma. Kilichopo EU hawana say kwa US lazima agenda waikubali. Hivi unajua madeni ya ww2 wamemaliza lini kuilipa , na Germany na Japan wana mkatababa gani na US kuhusu majeshi ?.
Kwa fikra zako unadhani Haki za [emoji304] ni za maana kuliko kuweka mabango au matangazo ya kupungiza hunger, poverty, uhaba wa maji salama pia kukondemn vita zinazoendelea mfano Congo, Ethiopia , Yemen etc.
Hicho unachopenda Amani hata huyo unayempenda hakitaki maana kinamuingizia pesa. Katengeneza mkopo wa zaidi ya Usd 50 billion utakaolipwa na Ukraine kwa miongo pia ataweza kumcontrol.
Thibitisha dollar bilioni 50 ilizopewa Ukraine na US ni mkopo na sio msaada.

Onyesha ni lini Ukraine waliomba huo unaoita mkopo, riba ni kiasi gani na utalipwa kwa miaka mingapi.
Pia Onyesha deni la Ukraine linasomekaje tangu huu uvamizi uanze na kisha kupewa hizo pesa na US.
 
Mahusiano ya ukaribu ndio ujinga gani kati ya nchi huru zenye sovereignty??
Russia ni mashangazi au wajomba wa Ukraine?

Back
Top Bottom