Bro sisi wote tuna tegemea habari za vyanzo hivo hivo ila una fanya research kidogo. Rusia ana kadiriwa kuwa na nuclear war heards 6500 ila sasa US ana 5500, idadi sio ishu, US amefanya nuclear enrichment mara 500 ya lile la Nagasaki na Hiroshima.
At least we mdau umezungumza kama mtu mzima hivi!
Kitaaluma si sawa kupinga ulichokieleza ila ni sawa 101% kuhoji ulichozungumza.
AFAIK ni kua lile la Hiroshima lilikuwa na around 15kilotons, 500times maana ake ni 7,500kilotons, sawa na 7.5Megatons.
Tsar Bomba ina 50Megatons, hii ni mara 3,300 zaidi ya lile la Hiroshima na ni mara 6 zaidi ya hiyo Idadi uliyoisema upande wa US, Je Unajua Tsar Bomba linamilikiwa na nani? Hapana sisemi we nenda tu Google ukasakue...
By the way sijui kwanini nimevutiwa na hiyo reply yako kwa Jamaa hapo Juu. So tuongezeane maarifa kidogo... Kwanza ni kua US kaboresha zaidi ya hiyo Idadi unayoisema.
Top kabisa kwa US ni Castle Bravo yenye 15Megatons zaidi ya mara 1,000 ya lile la Hiroshima, kuna Castle Yankee yenye 13.5Megatons, kuna Castle Romeo yenye 11Megatons hizo zote iliyo top Castle Bravo haisogelei hata kwa kubahatisha ile Tsar Bomba ya Russia.
Castle Bravo yenye 15Megatons kwa Tsar bomba yenye 50Megatons ndio utaelewa kwanini Russia anaogopeka kama ukoma, na hapa hatimae nimejibu nilichogomea kukisema mwanzo.
Mind you kua hiyo Tsar bomba ina uweoz wa kufikia 100Megatons, karibu mara 7,000 ya hiroshima meanwhile Largest weapon ever produced by US ni B41, ambayo yakadiriwa ina uwezo wa kufikia 25Megatons, this is no where closer to Tsar bomba ya Russia.
Kingine nilichokipenda kwenye maelezo yako umesema idadi sio issue, well said then sasa nakusogeza kwenye Issue ya means of delivery ya hizi Nuclear bomb. Linganisha upande wa Russia na Upande wa US ama NATO kwa Ujumla utapata majibu kwanini US amekomaa kujenga Base kuizunguka Russia.
Samart 2 ina uwezo wa kubeba vichwa 15 vya Nukes, na inaweza kupiga sehem yoyote US ndani ya dk 30, sasa ikiwa US ni ndani ya mda mfupi kiasi hicho je hawa majiran wa EU vipi???.
Ile Notion ya kwani "EU hawana hizo nuclear" bila uchambuzi yakinifu ya how and when ni mashudu tu kama mashudu mengine.