Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu yupo front line
20220607_093436.jpg
 
Kumbe wanajua!

View attachment 2252889

Italian MEP Piernicola Pedicini believes that the European media seek to discredit anyone who offers an alternative view of the Ukrainian conflict.

Pedicini sent a letter to the European Commission, in which he claims that information about the situation in Ukraine is often biased and does not correspond to reality, and any other point of view is immediately equated with Russian propaganda.

According to the MEP, TV presenters close their mouths to those experts who are trying to give a complete picture of what is happening in Ukraine.
Alafu utasikia wajinga wakisema Russia hakuna Democracy,Ila EU na US ndio ilipo democracy 🚮
 
Russia ana silaha za kutisha zaidi ya hypersonic??
Hembu tuambie hizo ambazo hajazitumia mpaka sasa uliziona wapi na zinafanyaje kazi?
Nakusoma Sana hapa mwanzoni nikajua wanakusingia una ubishi usio na faida kumbe ni kweli, jaribu kufuatilia kauli za Putin za karibu ambayo amesema watatumia "new set of weaponry" na Kama ukiisoma katikati ya mstari unadhani Putin alimaanisha hypersonic tu, hebu fumbua akili usiwe na ushabiki
 
EU bado hali tete

images (9).jpg

"It is very difficult to maintain the unity of the European Union."

It is becoming increasingly difficult for EU countries to reach a consensus on anti-Russian sanctions, the Estonian Prime Minister said.

"At first, sanctions created difficulties only for Russia, but now they are painful for our countries as well. The question is how much pain we are willing to endure," Kallas believes.
 
Kuna muda huwa nahisi labda urusi ndio [emoji1134] na ndio ilopewa Baraka na Mungu ukute wale wa Israel ya Sasa sio wao pale
Na huo ndio ukweli wenyewe Israel iliyopo sasa ni ya kimchongo tu hakuna taifa pale. Biblia yenyewe inasema Israel ni taifa kubwa na lenye nguvu Sasa na sijaona bado nguvu zilizosemwa za Israel kwenye taifa lile.
 
Ukraine haijavamiwa kwa sababu inataka kujiunga na NATO, hato kipenzi chenu Putin hakusema hayo wakati anatangaza uvamizi wake. Ukraine pia haijwahi kutangaza inataka kujiunga na NATO.
Kama tatizo ni kujiunga na NATO mbona Finland haijavamiwa mpaka sasa wakati imeshatuma maombi rasmi ya kujiunga?
Sirudii majibu pekua karatasi za nyuma washaeleza kila kitu.
 
Ukraine and the US have been preparing for this war since 2015. They knew it was coming. So, Ukraine with US help, built fortifications throughout the Luhansk and Donbass regions.

At the time in 2015, the Ukraine military said, "a total of 300 defensive works for 600 km of fortifications have been built with the use of 12,000 concrete structures. Three lines of defense have been built since the work started. Ukraine’s 20 regions were involved in the construction of the fortification structures by efforts of 5,000 construction workers with the use of 35,000 wagons of building materials. The plan was to build about 1,500 kilometres of trenches and communication trenches, more than 8,000 entrenchments for heavy weapons, more than 4,000 bunkers and a 60-kilometre-long fence of passive obstacles".

This is why the fighting in the Donbas region is heavier than it was in Mariupol. Whatever the case, it looks like the Russians have breached that defence line and are now encircling the tens of thousands of Ukrainian troops in Donbas.

The other article says the US also trained about 250 000 Ukraine soldiers from 2014 onwards.

Personally, I think that this is the first time the US has ever faced a well organised first class army. They designed a defence line that they thought was impossible to breach and trained the Ukrainian army to NATO standards.

Still, Russia has proved to be too good and have obliterated everything in their path. As a result, the western media are slightly changing their tune. At first they made it appear like Ukraine was winning but lately, they have been sounding hopeless.

Let's wait and see what happens.
 
Mchawi ung'eng'e
 
Nakusoma Sana hapa mwanzoni nikajua wanakusingia una ubishi usio na faida kumbe ni kweli, jaribu kufuatilia kauli za Putin za karibu ambayo amesema watatumia "new set of weaponry" na Kama ukiisoma katikati ya mstari unadhani Putin alimaanisha hypersonic tu, hebu fumbua akili usiwe na ushabiki
Mpaka hapa Russia hajatoa silaha zake za mass destruction .Vijana wa leo wanafikiria vita ni music wakidhani US ndio kila kitu. Hayo ma Satan 1 na 2 huwezi kutumia sasa mpaka hao watoa misaada waingie wenyewe uwanjani. NATO hawakujua hypersonic je kuna mangapi hawajui. Ile ya kuyeyusha drones hawakujua pia .Juzi Russia katest kombora jipya NATO wameanza kutengana . Hata huyo Boris wanammind sababu ya Russia hawasemi tu
 
Back
Top Bottom