Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,692
- 4,442
Sikumaanisha kwamba atumie, ilikuwa ni mwitikio tu wa kauli yako ya kwamba hana chochote zaidi ya hypersonic missile.Mambo kama hayo huwa nawaachia mazombi.View attachment 2253056
Binafsi nna mawazo ya kiutopia kwamba watu waachane na kutengeneza silaha watengenezage matrekta walau. Sishabikii vita........ sipendi uongo pia though. Huwezi tu kusema hana la ziada mtu mwenye uwezo wa kuweka jitu lenye uzito wa tani 220 hewani [in orbit]halafu liwe linaachia makombora kadri ya yanavyohitajika. Huo ndio ukweli sasa tufanyeje.