Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
.
Alas![emoji845]Vladimir Putin said that a country can be either a sovereign or a colony,there is no intermediate state.
The Russian President added that if a country or a group of countries cannot make sovereign decisions, then these are colonies, and colonies have no prospects[emoji845]
Akhi njoo umsikie mdau wetu wa Winter is Coming analalama 😂...Ukraine wanachezewa sana akiliView attachment 2255581
Hata Urusi pia kuna Nazissiri.So no Western country can boast kwamba haina Nazis,ni uongo,they all need to be denazified,without exception.
Haya maneno ni mazito sana kwa wale ambao wanaelewa[emoji845]Vladimir Putin said that a country can be either a sovereign or a colony,there is no intermediate state.
The Russian President added that if a country or a group of countries cannot make sovereign decisions, then these are colonies, and colonies have no prospects[emoji845]
point tupu, Hawa jamaa huwezi kuwaelewesha wakaelewa dawa ni kuwaacha tu. Ni kheri tujadili kivyetu hata mtu mwenye akili akijichanganya na mazwazwa mwieho wake naye huwa hivyo. Mie nilishawaambia na hapo unawezakuta mnachat na mtu mmoja tu ila ana multiple id.Dah siku ya 100+ bado tunaendeleza mjadala kuhusu uhalali wa Russia hapo Ukraine? Hatupo serious ase, toka page 2,430 hadi hapa 2,434 issue ni ile ile.
Maximum reply kwa Pro-NATO ni moja tu, yan Waaahed, no more plz!
Unatembea ndani ya post 100 zimetawala pumba za huyo Gasho Yoda na nyie Pro-Russia mnahangaika sijui nini kuelewesha huo mzoga kujaza server! Kwanini msiuache uendelee kuoza taratibu tu.
Usitegemee kumshinda mpumbafu kwenye mijadala, Mpumbafu huwa anaachwa kama alivo. Whatever you say, hata ukisema anavuta pumzi ili aishi atakwambia anavuta chokaa ili aishi. How can you argue with such a man?
Pro-Russia nawaomba ase, Tumieni mda wenuz vizuri wadau. Do not correct a fool or he will hate you, Correct a wise man and He will appreciate you! Text nzuri kuzisoma ni zile mnazojadiliana nyie kwa nyie. Hawa watoto achaneni nao plz.
The fool do think He is wise, the Fool is known by his Speech and Wise man by his Silence. Hili jukwaa huru waachen wapost watakalo as long as yanawapliz nyoyo zao.
Wadau kisiju pwani ngaboru Bwana Utam PD_Magumba KIDUNUNDU kilwakivinje Mtoto wa nzi Ngwega Msulibasi East rodrick alexander Mr Tyang Aiba Muuza viatu 1954 mbaghato chaka lee van cliff Muite Champagnee MR MAJANGA babu na mjukuu Mathanzua na wengineo wote.
Kuna watu kama mie tume-subscribe kwenye huu uzi kwasababu yenu. Tunafatilia kila mnachopost, ila mnatupea taabu sana mnavyoingia kwenye mijadala ya kitoto na hao watoto. Wapeni za moto baridi katika mfumo wa taarifa kama anavyofanya Sikirimimimasikini NYUNDO YA MOTO na Jesus Mlokozi kisha mbaki kujadiliana nyie kwa nyie.
Again maximum reply kwa Pro-NATO iwe kimoko tu cha ham 😂! Hawafai hata kwa kulumangia hawa. It's disgusting mwezi wa 3 siku nzima ni kujadili uhalali wa Russia ya Ukraine. Mara sijui Russia anashindwa, mara sijui silaha kadha zimetua 🤔 kweli?
No si SAWA!
Punguzeni maongezi yasiyo na Tija kwa hawa #Makima in Galip Vrl Voice!
Kwa akili zako unadhani tunaongelea nazi za mafuta ya kupikiaHata Urusi pia kuna Nazis
Hufunzwa na PutinBoris Johnson na serikali yake ya Uingereza wanalalamikia adhabu ya kifo waliyohukumiwa raia wa Uingereza waliokamatwa na majeshi ya Russia huko Ukraine wakipigana vita. Boris Johnson anasema amesikitishwa mno na adhabu hiyo iliyotolewa na mahakama ya haki ktk Jamuhuri ya Watu wa Luhansk.
Mwambieni Boris Johnson aache kulialia, atulie kama maji ya mtungini, si alishindwa kuwaonya raia wake kwenda vitani Ukraine?! Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na Ulimwengu.
View attachment 2255673
kumbe nawe uneshtuka maoema haiwezekani urusi ipate tukio utaona id mpya mpya tu na wale wapinzani kina mk , popoma na nyambizi wanakuja speed kinomaHao ni wakenya. Ndizo tabia zao. Zaidi sana ni watu wachache, wanabadilisha IDs. Wewe chunguza tu hizo IDs zinakuja zote kwa pamoja kwa muda mmoja.
HAO NI WAKENYA, WAKENYA SIO WASTAARABU.
Pitia hapo mdau
Anasema Poland wakae mkao wa kula kabisa😅 anasubiria amri ya Putin tu ili akawape chai ya pilipili manga😅Hapa ndipo tunapopataka
toka hapa unanuka mdomo huwa sibishani na wehu.Chini ya asilimia moja ya Warusi ndio blacks na nina uhakika kwa asilimia mia moja wewe na wenzako hapa mlioko Buza na sehemu nyingine bongo sio sehemu ya hiyo asilimia moja ya Warusi weusi.
Ukisaini mkataba wa jeshi wewe ni tool! Ni kama spana kwenye toolbox kazi yake ni kukaza tu mpaka siku itakapovunywa meno na nati😅Kinachoisaidia Urusi ni wingi wao lakini wanakufa kama kuku.Wao hawajali wakifa hata 30 kati ya wanajeshi 100 Hilo kwao halihusiki.Kiufupi Putin hathamini uhai wa wanajeshi wake🤔
Wanapishana uwezo wa kuandika tu like, Huyu ataandika kwa kuacha Paragraph, huyu atalundika maneno ka gunia la nyanya. Mwingine ataandika kimura... R zinatawala kwenye L. Ila uzito wa yanayotoka vichwani unafanana.point tupu, Hawa jamaa huwezi kuwaelewesha wakaelewa dawa ni kuwaacha tu. Ni kheri tujadili kivyetu hata mtu mwenye akili akijichanganya na mazwazwa mwieho wake naye huwa hivyo. Mie nilishawaambia na hapo unawezakuta mnachat na mtu mmoja tu ila ana multiple id.
Mdau kama Mdau... Ban Imeisha sio? Karibu tena mdau 😂Anasema Poland wakae mkao wa kula kabisa😅 anasubiria amri ya Putin tu ili akawape chai ya pilipili manga😅
Tuliwahi kuwa na CHUO kinaitwa Patrick Lumumba huko Soviet ya Zamani. Huyo kijana anaijua historia ya nchi yake.Waambie waache kiherehere warudi Congo kulisaidia jeshi lao kupambana na M23 waikomboe Congo Mashariki na kuifanya nchi yao itawalike .
Ndugu zao Congo Mashariki wanateseka sana na waasi vibaraka wa Kagame kuliko Luhansk wanavyoteseka na waasi vibaraka wa Putin.