hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nacheka kama mazuriNATO Ni wataalam wa kufanya mazoezi, walianza hayo mazoezi kabla Russia haijaivamia Ukraine na mpk Sasa kichapo kinaendelea bado wanafanya mazoezi na Hata Russia ikiingia tena kuichapa Nchi nyingine bado atakuta wanafanya mazoezi tu.