Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2255342
The largest gas companies from 9 European countries have agreed to pay for Russian gas under a new scheme.

This is evidenced by data from a study by the KSE Institute.

The UK allowed to conclude agreements with Gazprombank until May 31.

From April 1, Western companies from unfriendly countries must pay for Russian gas under a new scheme - by converting euros into rubles through Gazprombank
Kiko wapi,unai-sanction nchi inayoitegemea for almost everything!Uzuzu mtupu.
 

American "Javelin" Anti-Tank Missiles Sent to Ukraine, Are Now FOR SALE on the Dark Web​

WORLD HAL TURNER 08 JUNE 2022 HITS: 6715
American Javelin Anti-Tank Missiles Sent to Ukraine, Are Now FOR SALE on the Dark Web

People from Ukraine have posted several American made FGM-148 "Javelins" (photo above) for sale on the Dark Web Marketplace, and on Thief Marketplace.
One posting was made less than three hours ago and the seller advertised "shipping available from Ukraine, specifically Kyiv."
The seller is charging $30,000 USD for what seems to be just the tube. Unseen is the command Launch Unit, and it is unclear if there is a missile in the tube.
The Sale photos posted with the offering are shown below:



A full ensemble of the "Javelin" usually goes for $206,000 USD, with the Command Launch Unit valued at around $120,000 USD and each missile at about 80K USD, so this posting is "a steal." I am not publishing the web address of this sale because I do NOT want these weapons out in public.
Listeners to the Hal Turner Radio Show were told WEEKS AGO, that weapons shipped from the USA to Ukraine as "aid" for Ukraine's war with Russia, were ending up on the Black Market inside Serbia. The weapons are being STOLEN by Ukrainians when they arrive in the country, and those Ukrainians are offering the weapons for sale on the Dark Web, then pocketing the money.
Listeners to the show were also told that a full TWO-THIRDS of the weapons being sent to Ukraine, were being stolen and sold on the black market.
Hey America, where do you think your $40 BILLION in "aid" is actually going??? Yes, an awful lot of it is being outright stolen.
In case any of you feel like calling your members of Congress to let them know what you think of what's going on!

UPDATE 5:24 PM EDT --
The seller also has several other American weapon systems ranging from Stinger MANPADS, Phoenix Ghost Drones, and smalls arms and ammunition.
The United States has reportedly sent 5,500 Javelin tubes to Ukraine, and an unspecified number of command launch units which are needed for firing. The United States has reportedly sent 1/3 of its Javelin inventory to Ukraine in order to combat Russian tanks and other ground vehicles since the February 24th invasion.
 
Unapotetea kitu usiweke mahaba bali kuwa mkweli mkuu,huyu putin anachokifanya nikulinda na kuhakikisha usalama wa taifa lake ambapo alishaomba hiyo guarantee kwa nchi za magharibu wakiongozwa na marekan.pia usijitoe akili kuwa walimdharau na hiyo nato haipo hapo kwa bahati mbaya lengo ni kuisambaratisha urusi, napia utambue marekani na urusi washaingia mikataba ya kutowekeana millitary base nchi jirani mfano kisa cha cuba na uturuki.Wew unadhani urusi leo akitaka awoke base ya kijeshi Mexico,au Canada na hizo nchi zikasema zina uhuru wa kutopangiwa mambo yao, na hapo ujue wanapakana mipaka na marekani afu wanamkaribisha adui yake karibu nae.Hapo lazma marekani awavamie tena alivyo na ushetani atatumia silaha yeyote kuzipiga hizo nchi na hapo wew yoda utasema ana haki kwakua ni baba wa demokrasia na haki za kibinadamu.lakin kwakua ni raisi putin aaah utasema huyo diktekta na katili na hapo ukumbuke anaipiga Ukraine sio kwa vita kamili bali ni oparesheni ya kijeshi huku anagawa hadi misosi na maji kwa wanachi na wanejeshi mateka na kuwapa pia matibabu lakin hapa kiongozi wa urusi ni diktekta.huyo maduro na asadi viongozi halali waliopo madarakani kuongoza mataifa yao,marekani anataka kuwapindua kisa ni waadilifu kwa mataifa yao na kugoma kuwa vibaraka wa marekani.kwako wew mkuu yoda nimadiktekta kama marekani anavyosema, hapo usisahau ushetani alio fanya kwa hizo nchi najua wajua each and everything bila kusahau libya,Vietnam n.k.kumbuka hakuna mtu aliyemnyoshea kidole hata UN ilikua kimya.sasa putin na ayatollah wa irani walivyoenda kutoa msaada wa haki kwa sirya na venezuela means kwako mkuu nikwamba hao ni madktekta wamenda kusaidia madiktekta wenzao kisa wao wamechagua njio ya haki na usawa usio chini ya minyororo ya ushetani wa marekani.
Ana kichwa kigumu sijui kama ataelewa
 
Akiwa mwenye huzuni ,rais wa Ukraine amesema iwapo majeshi yake yatauwachia moja kwa moja mji wa viwanda wa Sievierodonetsk ambao uko mashariki ya nchi hiyo basi haitakuwa rahisi kuurudisha mji huo mikononi mwao.

Hayo ameyasema leo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari. Amesema iwapo itabidi kuondoka basi watahitaji askari mara 5 zaidi wa waliopo sasa na vifaa vingi zaidi vya kivita ndipo wapigane na warusi kuwaondoa

Kauli hizo za raisi wa Ukraine zimekuja wakati meya wa mji huo na makamanda wa majeshi wamesema tayari wamesharudi nyuma mpaka viunga vya mji huo baada ya mapigano ya muda mrefu ya mtaa kwa mtaa ambapo wamezidiwa na jeshi la Urusi.

Kaanza kulegea hana mataumaini tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wajerumani ni wababaishaji waliobobea, mwanzoni mwa hii operesheni waliahidi kutoa msaada wa kofia au helmet 5000 na inasemekana mpaka leo mzigo haujafika kiev, chancellor aliahidi ifikapo mwezi november watapeleka mfumo wa IRIS-T-r air defence system, siku chache baadae waziri wa ulinzi akasema huo mfumo hawana tena kwenye store yao ya silaha. Chancellor wao ni bingwa wa kumsema vibaya putin lakini zikipita wiki mbili anampigia simu. Nina wasiwasi kuna wajanja wa ulaya wanamuunga mkono putin nyuma ya pazia nina wasiwasi na macron na huyu cancellor wa ujerumani. Leo nimevuta bangi mchanaView attachment 2255253
Bangi imekusaidia mkuu unachokisema ukikitazama kuna ukweli ndani yake jamaa wanakangata kwa makelele halafu wanapuliza kimya kimya wasijulikane
 
Ni haki yake kulilia mji wake unaoshambulia na migaidi ya kirusi wakiongozwa na gaidi Putin
 
Huelewei sababu za nchi kuikaribisha US kuweka vituo vya kijeshi nchini mwao. Ukiona nchi yenye uchumi mkubwa imekubali US kuweka kituo cha kijeshi kwake ni kwa sababu inajiona haiko salama dhidi ya jirani au majirani zake, kwamba inaweza kuvamiwa wakati wowote .Sasa kuwaza tu kwamba Mexico au Canada zitaogopa kuvamiwa na US hadi zimkaribishe Russia kuwaongezea nguvu inaonyesha kwanza ufinyu wa mawazo yako.
Kwahyo US alivyoenda kuweka majeshi yake afghanistani,inamaana hio nchi ilikua inauchumi mkubwa sana na hapo kumbuka kaivamia tena ikiwa chini ya talibani.wataka niambia kitisho nikutoka kwa jirani osama bin laden tena akiwa ndie mshirika wa hao talibani,ambapo hawakumruhusu kuwavamia nakuweka base.Vip na kenya nayo inauchumi mkubwa sana au kusema imeruhusu marekani kuweka military base kwake kitisho kikiwa ni jirani zake alshababu(hapa ukimanisha nchi) na sio somalia na Serikali yake sindio maana yake.afu hiyo kusema Mexico na canada nimetolea mfano wew unasema namawazo finyu.lakin kwakua nimeshajua najadiliana na mtu wa aina gany nipende kusema nothing more to say to you.
 
Akiwa mwenye huzuni ,rais wa Ukraine amesema iwapo majeshi yake yatauwachia moja kwa moja mji wa viwanda wa Sievierodonetsk ambao uko mashariki ya nchi hiyo basi haitakuwa rahisi kuurudisha mji huo mikononi mwao.

Hayo ameyasema leo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari. Amesema iwapo itabidi kuondoka basi watahitaji askari mara 5 zaidi wa waliopo sasa na vifaa vingi zaidi vya kivita ndipo wapigane na warusi kuwaondoa

Kauli hizo za raisi wa Ukraine zimekuja wakati meya wa mji huo na makamanda wa majeshi wamesema tayari wamesharudi nyuma mpaka viunga vya mji huo baada ya mapigano ya muda mrefu ya mtaa kwa mtaa ambapo wamezidiwa na jeshi la Urusi.

Kipindi Russia anasogeza majeshi yake mpakan mwa Ukraine, nilimshangaa sana Zele kukataa kukaa mezani na jirani yake wayamalize mezani, Taifa la Ukraine litamkumbuka kama rais wa ovyo ambaye kairudisha nchi miaka 50 nyuma
 
Rais wa Poland Andrzej Duda amewashambulia viongozi wa Ufaransa na Ujerumani kwa kufanya mazungumzo ya simu na Rais wa Urusi Vladimir Putin ambapo amesema kuzungumza na Putin ni kama kuzumgumza na Adolf Hitler wakati wa vita vikuu vya pili.
#MillardAyoUPDATES https://t.co/a5d1c6DbHx
 
Back
Top Bottom