Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Akiwa mwenye huzuni ,rais wa Ukraine amesema iwapo majeshi yake yatauwachia moja kwa moja mji wa viwanda wa Sievierodonetsk ambao uko mashariki ya nchi hiyo basi haitakuwa rahisi kuurudisha mji huo mikononi mwao.

Hayo ameyasema leo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari. Amesema iwapo itabidi kuondoka basi watahitaji askari mara 5 zaidi wa waliopo sasa na vifaa vingi zaidi vya kivita ndipo wapigane na warusi kuwaondoa

Kauli hizo za raisi wa Ukraine zimekuja wakati meya wa mji huo na makamanda wa majeshi wamesema tayari wamesharudi nyuma mpaka viunga vya mji huo baada ya mapigano ya muda mrefu ya mtaa kwa mtaa ambapo wamezidiwa na jeshi la Urusi.

Ngoja wachakae mbuzi hawa
 
Marekani sio baba wa demokrasia, ni mdau tu ila Putin ni baba wa madikteta duniani. Popote madikteta yanapokataliwa na wananchi wao na kutishiwa kung'olewa kwa nguvu ya umma kwenye nchi zao lazima ajitokeze kuwapa hao madikteta oksijeni.
Ameshafanya hivyo kwa Maduro Venezuela , Assad Syria na Lukashenko Belarus.
Huyo jamaa anadhani marekani ndio baba wa demokrasia duniani,wakati yeye ndio adui namba moja wa demokrasia ambaye kaitengeneza kwa maslahi yake.napia anaitumia kama fimbo kuchapia wenzake lakin ukikaa nakuangali chaguzi za maraisi wa marekani namchakato wote wa uchaguzi ni uhuni mtupu,tena bora umempa mfano wa hilary Clinton by the way asilolijua nikwamba marekani wana white and black government.
 
Nani kasema UKRAINE Hana mafanikio?
Target ya Russia ilikuwa kuchukua Kyiv na kumng'oa Raisi Zenensky Kwa muda mfupi,mpaka Leo Russia imeshindwa , Ukraine imemzuia na Russia kupata hasara kubwa,ya wanajeshi pamoja na vifaa.Mafanikio unayohitaji ya aina gani🤔
Mmeanza kubadili kiswahili Baada ya kusema siku 3 mnaita muda mfupi 😂😂😂😂😂😂
 
Kabisa taifa kubwa linalojiita super power duniani kuteka mji mmoja tu wa mariupol imechukua miezi mitatu tena baada ya kukodi wapiganaji toka Syria na Chechnya
Chechnya ni Urusi hakuna tatizo, tunapigana na nchi zaidi ya 30 , hatuwezi tumia rasilimali watu wote, tunaleta mamluki huku tukisubiri NATO atafanya nini, unafikiri Urusi ni Zimbabwe
 
Ku
Wee ni kiazi kweli yani wananchi wachague raisi alafu Kura za watu wachache ndyo ziwe zanye maamuzi alafu useme ndyo demokrasia iyoo hopeless kabisaa alafu unakuja kusema Rusia hakuna demokrasia ni Sawa na kuita matajiri WA Rusia wezi Ila WA ulaya na Marekani siyo wezi wao ni wasafi
Kuna haja gani kupiga kura kwa wana nchi ikiwa kura zao sio mwamuzi sahihi? Hapo US wanafeli sana kwenye usawa wa demokrasia
 
NATO wakijaribu kuingia vitani na Urusi basi wajue watakua wakikabilina moja kwa moja na majeshi makubwa sana mawili hapa duniani.
Urusi na uchina.
Bila kusahau nchi zenye usongo na USA kama Korea ya Kaskazini,Iran,syria na wasoviet wa zamani wa mashariki mwa Russia akini kyugistan,uzebakista,Tajikistan na jamii Yao yote.

NATO wanalijua hili na wajipange.
 
⚔️⚔️⚔️Delivery of German M-270 MLRS to Ukraine postponed until winter
The delivery of German M-270 multiple launch rocket systems to Ukraine has been postponed until at least winter. Their software does not allow British and American ammunition to be fired.
It will take several months to resolve the incompatibility
I'm not even gonna comment on this. This bit writes itself⚔️⚔️⚔️
 
Pramila Patten, afisa wa UN, ambaye anahudumu kama Mwakilishi Maalum wa UN kuhusu Unyanyasaji wa Kijinsia katika Mizozo na Naibu Katibu Mkuu wa UN asema kuwa shutuma za askari wa [emoji635] kubaka wanawake huko Vinnytsia na Zakarpattier ni Uongo sababu Wanajeshi hawakuwepo maeneo ayo. https://t.co/wr7qD8XSsL
 
⚡️Briefing by Russian Defence Ministry

▫️Engineering units of the Russian Armed Forces have started clearing roads and forest areas of the Svyatye Gory National Park near Svyatogorsk, Yarovaya, Studenok and Sosnovoe of Donetsk People's Republic. Over the past 24 hours, 126 explosive devices of various types, including 54 anti-tank mines, planted by Ukrainian nationalists have been found and destroyed.

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥High-precision air-based missile strike near Novograd-Volynskyi, Zhytomir Region, has destroyed 1 AFU training centre where foreign mercenaries were being retrained and coordinated.

💥In addition, high-precision air-based missiles have destroyed 2 command posts, 1 Osa-AKM anti-aircraft missile system near Razdolovka in Donetsk People's Republic, 1 ammunition depot near Paraskovievka in Lugansk People's Republic, and 23 areas of AFU manpower and military equipment concentration.
Operational-tactical and army aviation have hit 18 areas of AFU manpower and military equipment concentration.

▫️The attacks have resulted in the elimination of more than 200 nationalists, 5 tanks, 2 Grad multiple rocket launchers and 1 warehouse of missile and artillery weapons near Verkhnekamenskoe, Lugansk People's Republic.

💥Russian air defence means have shot down Su-25 aircraft of Ukrainian Air Force near Mazanovka, Donetsk People's Republic.

▫️Also, 13 Ukrainian unmanned aerial vehicles have been shot down near Slavnoe, Prechistovka, Kudryashovka, Epifanovka in Donetsk People's Republic, Varvarovka, Borovenki in Lugansk People's Republic, Tokmak in Zaporizhzhya Region, Petrovskoe, Suligovka in Kharkov Region, Snegirovka, Aleksandrovka and the Mogyla Kulich barrow in Kherson Region.

▫️In addition, 1 Ukrainian Tochka-U ballistic missile have been intercepted near Kirovo in Kherson Region, and 2 Smerch rockets have been shot down near Kamenka, Kharkov Region, and Panteleimonovka, Donetsk People's Republic.

💥Missile troops and artillery have hit 56 command posts, 127 firing positions of AFU artillery, as well as 273 areas of manpower and military equipment concentration.

▫️The attacks have resulted in the elimination of more than 300 nationalists, 7 armoured vehicles, 2 Grad multiple rocket launchers, 12 field artillery guns and mortars, 24 special vehicles, 1 fuel storage facility for military equipment near Kobzartsy in Nikolaev Region, and 1 crossing of Seversky Donets River near Protopopovka.

📊In total, 193 Ukrainian airplanes and 130 helicopters, 1,163 unmanned aerial vehicles, 336 anti-aircraft missile systems, 3,471 tanks and other armored combat vehicles, 493 multiple launch rocket systems, 1,834 field artillery and mortars, as well as 3,512 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #Briefing
@mod_russia_en
 
Mkuu usiwe unaandika kwa mhemko .Kumbuka Russia alivoivamia Ukurein aliteka mikoa 11 na Sasa hivi Ukurein kaikomboa mikoa 7 kutoka jeshi la urusi na imebaki mikoa 4 na ndipo mapigano yanaendelea Sasa mihemko ya nini wakati anaendlea kupoteza,

Kwa kukusaidia tu kumbuka huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia.
Huo Muji uliopo inaonekana ,ni mwendo wa vitochi, na hata redio ya Kijiji hamjawahi isikiliza,vinginevyo umekuwa ukilishwa propaganda za mabeberu wa ulaya na America pekee.
 
Marekani sio baba wa demokrasia, ni mdau tu ila Putin ni baba wa madikteta duniani. Popote madikteta yanapokataliwa na wananchi wao na kutishiwa kung'olewa kwa nguvu ya umma kwenye nchi zao lazima ajitokeze kuwapa hao madikteta oksijeni.
Ameshafanya hivyo kwa Maduro Venezuela , Assad Syria na Lukashenko
Marekani sio baba wa demokrasia, ni mdau tu ila Putin ni baba wa madikteta duniani. Popote madikteta yanapokataliwa na wananchi wao na kutishiwa kung'olewa kwa nguvu ya umma kwenye nchi zao lazima ajitokeze kuwapa hao madikteta oksijeni.
Ameshafanya hivyo kwa Maduro Venezuela , Assad Syria na Lukashenko Belarus.
Marekani sio baba wa demokrasia, ni mdau tu ila Putin ni baba wa madikteta duniani. Popote madikteta yanapokataliwa na wananchi wao na kutishiwa kung'olewa kwa nguvu ya umma kwenye nchi zao lazima ajitokeze kuwapa hao madikteta oksijeni.
Ameshafanya hivyo kwa Maduro Venezuela , Assad Syria na Lukashenko Belarus.
Unapotetea kitu usiweke mahaba bali kuwa mkweli mkuu,huyu putin anachokifanya nikulinda na kuhakikisha usalama wa taifa lake ambapo alishaomba hiyo guarantee kwa nchi za magharibu wakiongozwa na marekan.pia usijitoe akili kuwa walimdharau na hiyo nato haipo hapo kwa bahati mbaya lengo ni kuisambaratisha urusi, napia utambue marekani na urusi washaingia mikataba ya kutowekeana millitary base nchi jirani mfano kisa cha cuba na uturuki.Wew unadhani urusi leo akitaka awoke base ya kijeshi Mexico,au Canada na hizo nchi zikasema zina uhuru wa kutopangiwa mambo yao, na hapo ujue wanapakana mipaka na marekani afu wanamkaribisha adui yake karibu nae.Hapo lazma marekani awavamie tena alivyo na ushetani atatumia silaha yeyote kuzipiga hizo nchi na hapo wew yoda utasema ana haki kwakua ni baba wa demokrasia na haki za kibinadamu.lakin kwakua ni raisi putin aaah utasema huyo diktekta na katili na hapo ukumbuke anaipiga Ukraine sio kwa vita kamili bali ni oparesheni ya kijeshi huku anagawa hadi misosi na maji kwa wanachi na wanejeshi mateka na kuwapa pia matibabu lakin hapa kiongozi wa urusi ni diktekta.huyo maduro na asadi viongozi halali waliopo madarakani kuongoza mataifa yao,marekani anataka kuwapindua kisa ni waadilifu kwa mataifa yao na kugoma kuwa vibaraka wa marekani.kwako wew mkuu yoda nimadiktekta kama marekani anavyosema, hapo usisahau ushetani alio fanya kwa hizo nchi najua wajua each and everything bila kusahau libya,Vietnam n.k.kumbuka hakuna mtu aliyemnyoshea kidole hata UN ilikua kimya.sasa putin na ayatollah wa irani walivyoenda kutoa msaada wa haki kwa sirya na venezuela means kwako mkuu nikwamba hao ni madktekta wamenda kusaidia madiktekta wenzao kisa wao wamechagua njio ya haki na usawa usio chini ya minyororo ya ushetani wa marekani.
 
⚔️⚔️⚔️Delivery of German M-270 MLRS to Ukraine postponed until winter
The delivery of German M-270 multiple launch rocket systems to Ukraine has been postponed until at least winter. Their software does not allow British and American ammunition to be fired.
It will take several months to resolve the incompatibility
I'm not even gonna comment on this. This bit writes itself⚔️⚔️⚔️
Wajerumani ni wababaishaji waliobobea, mwanzoni mwa hii operesheni waliahidi kutoa msaada wa kofia au helmet 5000 na inasemekana mpaka leo mzigo haujafika kiev, chancellor aliahidi ifikapo mwezi november watapeleka mfumo wa IRIS-T-r air defence system, siku chache baadae waziri wa ulinzi akasema huo mfumo hawana tena kwenye store yao ya silaha. Chancellor wao ni bingwa wa kumsema vibaya putin lakini zikipita wiki mbili anampigia simu. Nina wasiwasi kuna wajanja wa ulaya wanamuunga mkono putin nyuma ya pazia nina wasiwasi na macron na huyu cancellor wa ujerumani. Leo nimevuta bangi mchana
img_1_1654770361109.jpg
 
Russia haipagani na NATO kwa sasa, inapigana na Ukraine.Ukraine ndio inapigana na Urusi na Belarus kwa sababu makombora yanarushwa kutoka nchi zote hizo mbili.

Sera gani za NATO zinazosababisha insecurity kwa Russia au ambazo zitasababisha vita vya tatu vya dunia?

Fahamu kwamba Ukraine imezungukwa na nchi nne za NATO,hata kama Russia ingefanikwa kuichukua Ukraine yote ingekutana na Poland, Slovakia, Romania na Hungary, ikifanikiwa kuichukua nusu ya Ukraine nusu iliyobaki bado itakuwa rafiki wa nchi za note.Halafu haya madai ya Ukraine kuvamiwa kwa sababu ya NATO ni ujinga mtupu wa watu wenye akili za kizombi kwa sababu Ukraine haijawahi kutangaza au kuomba kujiunga NATO na hiyo ingekuwa sababu Finland ingevamiwa pia.

We mtoto mbishi sana ulinyonya maziwa ya mama kweli? Na wasiwasi sana
IMG_3634.png


Ngoja nikulime ban tu, unajaza server tu
 
Chechnya ni Urusi hakuna tatizo, tunapigana na nchi zaidi ya 30 , hatuwezi tumia rasilimali watu wote, tunaleta mamluki huku tukisubiri NATO atafanya nini, unafikiri Urusi ni Zimbabwe
Muda si mrefu Urusi itakuwa sawa na Zimbabwe
 
Hivi lengo la Russia kushika shika miji hivi ya Ukraine nin mwisho wake? Anakamata mji mmoja baada ya mwingine hadi nchi nzima? au anakamata baadhi tu ili aikalie na kuinyonya kiuchumi baaas?
Nin lengo lake hasa
Tuliza kipago
 
Back
Top Bottom