Amka utajinyeaMuda si mrefu Urusi itakuwa sawa na Zimbabwe
Nataka wakamate Zeleboy na wanuulize kwanini amekubali watu wake na nchi yake iteketezwe kiasi hiki Kwa kudanganywa na mabeberu wa ulaya na marekaniHawa Russia wataenda Hadi Kiev
It is swallowing Kyiv badly 🤔Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraineView attachment 2248680
Mkuu ndio maana nimesemaa,hawa watu,ni crazy.Msione hili swala kwamba ni la kula wadudu tu,no,hawa watu wana ajenda ya siri mbaya kwetu.Kwanza Ni dharau na kutudhalilisha.Wadudu wanaliwa baadhi hata kabla ya hilo bango.
Issue iwe n kudaivet jamii nyingi ziame kwenye veg,meat, chicken,fish to izo wadudu.
Hivi n rahisi let say huku Africa tuna reserve ya kutosha ya protein tuamishwe kwenye wadudu yaani mfano maasai waache kula nyama completely wakimbizane na senene?
Unapotetea kitu usiweke mahaba bali kuwa mkweli mkuu,huyu putin anachokifanya nikulinda na kuhakikisha usalama wa taifa lake ambapo alishaomba hiyo guarantee kwa nchi za magharibu wakiongozwa na marekan.pia usijitoe akili kuwa walimdharau na hiyo nato haipo hapo kwa bahati mbaya lengo ni kuisambaratisha urusi, napia utambue marekani na urusi washaingia mikataba ya kutowekeana millitary base nchi jirani mfano kisa cha cuba na uturuki.Wew unadhani urusi leo akitaka awoke base ya kijeshi Mexico,au Canada na hizo nchi zikasema zina uhuru wa kutopangiwa mambo yao, na hapo ujue wanapakana mipaka na marekani afu wanamkaribisha adui yake karibu nae.Hapo lazma marekani awavamie tena alivyo na ushetani atatumia silaha yeyote kuzipiga hizo nchi na hapo wew yoda utasema ana haki kwakua ni baba wa demokrasia na haki za kibinadamu.lakin kwakua ni raisi putin aaah utasema huyo diktekta na katili na hapo ukumbuke anaipiga Ukraine sio kwa vita kamili bali ni oparesheni ya kijeshi huku anagawa hadi misosi na maji kwa wanachi na wanejeshi mateka na kuwapa pia matibabu lakin hapa kiongozi wa urusi ni diktekta.huyo maduro na asadi viongozi halali waliopo madarakani kuongoza mataifa yao,marekani anataka kuwapindua kisa ni waadilifu kwa mataifa yao na kugoma kuwa vibaraka wa marekani.kwako wew mkuu yoda nimadiktekta kama marekani anavyosema, hapo usisahau ushetani alio fanya kwa hizo nchi najua wajua each and everything bila kusahau libya,Vietnam n.k.kumbuka hakuna mtu aliyemnyoshea kidole hata UN ilikua kimya.sasa putin na ayatollah wa irani walivyoenda kutoa msaada wa haki kwa sirya na venezuela means kwako mkuu nikwamba hao ni madktekta wamenda kusaidia madiktekta wenzao kisa wao wamechagua njio ya haki na usawa usio chini ya minyororo ya ushetani wa marekani.