Sure, lakini wanaozungumzia kuhusu Trump sio mie wala warusi bali wamarekani wenyewe. Na kuhusu Interference ya Putin sio kwenye boksi la kura bali katika Campaigns za aliyekua mpinzani wa Trump Hillary Clinton.
Na democratic ndivo walivyo, kila jambo huwa anatupiwa Putin or Russia vikipewa jina la Putin's Propaganda, Russia's Propaganda. Hata ile issue ya Hunter Biden Laptop ambayo kuna video nyingi zimezagaa mtandaoni, mojawapo aliipost
Jesus Mlokozi. Waliita Russia propaganda lakini sasa wanasema Biden Laptop is real. Na hiyo issue ipo ndani ya Congress.
Ukirejea issue ya New World Order, yes is Real ila huwa sipendelei kuisemea bila ushahidi ama kuambatanisha kauli ya Viongozi hao wakilitamka.
Kama huyu Raisi wa US baba ake
BUSH BIN LADEN 😂, Marehem George Hubert Walker Bush.
View attachment 2255891
Ndani ya Video anasema hivi
"We have foremost, we have the opportunity to forge for ourselves and for our future generations a NEW WORLD ORDER. a RULE OF LAW not a RULE OF JUNGLE governing the conduct of nations. When we are successful, we have a real chance of this NEW WORLD ORDER, the Order in which a credible UNITED NATIONS can use it's PEACEKEEPING ROLE to fulfill the PROMISE and VISION of UN founders."
Hiyo ilikiua 1991 baada ya kuvunjika USSR, Ni maneno yaliyozungumzwa ndani ya sekunde 30, LAKINI ukiwa na uwezo wa ku-decipher encoded message kwa kutafuta maana ya kila neno lililozungumzwa ujumbe utakufikia and that was first time in History neno NEW WORLD ORDER kutoka kwenye kinywa cha kiongozi wa US aliye madarakani. H.W. Bush (1989-1993)
Ngoja nijaribu kutoa hint za Keywords kutoka kwenye video
1. NWO
🔸(Jiulize kwanini kaitamka na ina maana gani)
2. Rule of Law vs Rule of Jungle
🔸(Ukikosa maana nasaidia maana, Rule of jungle ni kama Local laws, Rule of Law is what we can tell kama International Laws) so aliposema A rule of law not rule of jungle governing the conduct of nation jijibu mwenyewe alimaanisha nini.
3. Peacekeeping Role
🔸Fatilia ujue Peacekeeping in United Nations ikoje na inafanya vipi kazi. To keep you in touch, kinachomwezesha US kuzurula na kuingilia affairs za kila nchi duniani toka baada ya WW2 ni hiki cha "Peacekeeping Role"
4. UN Founders
La mwisho na la muhim zaidi wajue UN founders ni wakina nani. Na hapa ukitaka kujua vizuri nenda deep kafatilie historia ya UN back ikiwa na majina mengine.
Na kuhusu Assassination ya viongozi kisa wapo kinyume na lile kundi nyuma ya Pazia. Kwa sasa sio rahisi na wadau wako smart zaidi ya tunavyowafikiria. You can't kill twice on the same cause. Now inaaminika hakuna kiongozi anayelindwa zaidi dunian kama POTUS (President of United States). Kitendo cha kua Assassinated ni kulitia doa Taifa.
Yule ilikuwa ang'olewe kwa Impeachment jaribio ambalo halikuzaa matunda, rejea uangalie kiongozi aliyefanyiwa attempt nyingi za kua impeached kwenye utawala wake. Sisemi kama Trump alikuwa kiongozi bora wa US kuwah kutokea lakini ukimlingaisha na hiki Kijibabu cha sasa Trump is far better.
Approval rate ya Anko Sam iko to historical low, Statistics zilizofanywa hivi karibuni umeziona. Kwa maslahi ya wananchi umewah kusikia jaribio lolote la kupumzishwa kwa Mzee?
Dunia yetu ya leo inahitaji mtu uwe na "detective personality" kuweza kuelewa mambo maana haikawii Zero kuitwa "O".