Akhi njoo umsikie mdau wetu wa Winter is Coming analalama 😂...
Nisiishie hapa niwaambie jambo la ziada, huyu jamaa nilimsema nyuma kua ni mwandishi wa kitabu alichokiulizia
Akhi cha
Winter is Coming...
Huyu mdau ni Mrusi, katika kitabu chake kamnukuu Senetor wa US, John McCain juu ya Cover... Someni vizuri hiyo Caption upande wa chini ya hii Cover Kwamba
"As one of the most influential critics of Vladimir Putin's reign of terror. Garry Kasparov has become a champion of the causes of freedom, democracy and Human rights in Russia" Sen. John McCain
View attachment 2255605
He he he kwamba kitabu kinaandikwa na "Chess Master wa Russia" halafu kinapewa Credit na Adui wa Taifa lenu, really? Tuendelee kula mtori nyama zipo chiniiiiii
Najua kuna baadhi mshaanza kujiuliza Senator John Mc Cain ni nani!
Si busara kuandika wasifu wake mambo yatakuwa mengi mda mchache, Cha muhimu tizameni hii video mumskilize alivyokuwa akiwandaa wa Ukraine miaka ya kati hapo kupigana na Russia...
Hiyo Video ni ya 2016, McCain Yeye ni huyo wa pili kuzungumza... nawaandikia maongezi ya kwenye video ili kwa wale ambao ngeli ya kusikia inawapa tabu basi msome kila maneno waliyoyasema...
View attachment 2255613
Wa kwanza akaanza hivi
"I admire the fact that you will fight for your home land. Your fight is our fight. 2017 will be the year of offense. All of us will go back to Washington and we will push the case against Russia. Enough of a Russian aggression, it's time for them to pay a heavier price. Our fight is not with Russian but with Putin. Our promise to you is to take your calls to Washington. Inform the American people of your bravery and make the case against Putin to the World"
Kisha akaingia McCain mwenyewe sasa kuzungumza, anasema kwamba...
"I believe you will win, I am convinced you will win and we will do everything we can to provide you with what you need to win. We have succeeded not because of equipment but because of your courage. Soo I thank you and the world is watching because we can not allow Vladmir Putin to succeed here, because if he succeeds here. He will succeed in other countries.
Baada ya Video nitaeleza kwanini Hicho kitabu cha huyo mwamba na kwanini nimeleta hii Video.
Great details are for the people with Higher analyzing capability. Msikonde nipo kwa ajili yenu.
Kitabu cha
Winter is Coming kimetoka October 2015, wataalam wa Mambo tunasema yalikuwa maandalizi ya Kisaikolojia kwa lile ambalo lilikuwa linaenda kufatia baadae! Nakupa fact nyingine ya "dharula". Series moja hivi pendwa inaitwa
"Game of Thrones" ikatoka mwaka huo huo 2015 huku Episode ya kwanza nayo ikibeba jina lile lile la
"Winter is coming" huku ndani maudhui yakifanana... Coincidence sio? Baadhi endeleeni kujifunika shuka Giza bado totoro.
2016, walikua washapanga kila kitu na ilitakiwa 2017 iwe hiki cha 2022 hii tunayoiona leo. Je nini kilitokea...? Ni Ujio wa
Donald Trump madarakani. Ambae ana ukaribu na Rais wa Russia, Vlad Putin hivo hiyo mambo ikashindwa kutekelezwa. Kama mnakumbuka katika uchaguzi unaotuhumiwa kuingiliwa na warusi ni huo wa 2016, Uliomuingiza Trump White House January ya 2017.
Kwa wale mliokuwa mnajiuliza kwanini Trump analalamikiwa kwa kuhusishwa na Russia nadhani nitakua nimewafungua macho kiasi chake.
Hiyo 2017, 2018, 2019 na 2020 despite ya madhaifu ya Trump ila at least ni katika kipindi walau dunia ikaonja kupungua kwa kelele za vita duniani. Mind you ni katika uongozi wa Trump jeshi la U.S kujitoa Afghanistan na ni Trump ndie Raisi wa kwanza wa US kutia mguu North Korea.
So what happened in 2020 election ilikuwa ni lazima Trump ang'oke, kwasababu alikuwa yupo against wale wahuni nyuma ya Pazia. Nini kikatokea ni yule aliyekuwa mpambe wa Obama kurudi kuendeleza walichokua wamekianza kabla ya wao kuondoka madarakani.
Hapo nadhani nitakua nimewagusa pia wale wanaojiuliza kwanini Trump anapendwa sana na waumini wa aliyekua Raisi wa zama hizo marehem JF Keneddy! Hawa hawakua waumini wa Vita waliitanguliza Marekani kwanza.
Naam tuendelee, Ile movie ya
"Servant of the People" iliyochezwa na Zelensky haikuwa ya bureeee. Ile movie ni Political Satire, imetoka 2015/16... Angalia sasa hii sequence ya haya matukio, Movie ikatoka 2015, mwaka mmoja na kile kitabu cha huyo mdau Kasparov... Kule Game of Throne ikirushwa Ep1 ya kwanza ikienda na jina lile lile. 2016 kikaanzishwa chama rasmi cha siasa kikabeba jina la hiyo Movie
"Servant of the People Party", kisha uchaguzi uliofata 2019 kikaingia madarakani, Yule Main Character wa Movie ile ile ya
"Servant of the People" anakuwa Predaa rasmi wa Ukraine kupitia
"Servant of the People Party" 😂..
Enhe ikawaje Movie kisha Chama miaka 3 baadae Uraisi? Yes, Zelensky hana any Political background, he was Comedian. Ile ilikuwa makusudi kuwaandaa wadau namna gani wataongozwa. So they live in fantasies wanaingia kwenye boksi la kura wakiikumbuka movie ambayo mgombea alishiriki.
Hapa kwa lugha ya mkato tunaweza sema kibaraka kilikuwa kinaandaliwa, na ikafanikiwa... kinachofurahisha kwa hawa wadau. Tukio kabla hawajalifanya huwa wanaleta movie au mfano wowote kwa lengo la kuandaa Psychology za watu kama walivyofanya kwenye Covid (hii nje ya mada tuiache hivi hivi hewani). So wadau mnapoona wenzetu wamekomalia jambo flani msibishane kwa kutumia nguvu. Hayo ndio matokeo ya Hollywood's campaigns kwenye Vichwa vyao.
Tunaendelea, Gasho Elensky akaingia mzigoni 2019 hyo, Dementia Joe uchaguzi wa 2020 ukamweka madarakani... At the same time mshauri wa Zelensky katika mahujiano yake video nitaiweka ila sitoandika kila neno kutoka kwenye video hiyo cuz hii post itakuwa ndefu sana japo ishakuwa ndefu by the way.
View attachment 2255687
Ni kwamba issue waliyokuwa wanaifanya Donbas kipindi chote ilikuwa ni makusudi kwa lengo la kui-provoke Russia.
Matangazo ya wao kujiunga NATO lengo lilikuwa lile lile kui-provoke Russia. Waingie vitani, ingawa bahati mbaya nahisi cocaine ziliwazidia wakachukulia Russia ya kawaida so wakategemea ushindi. Rejea na kauli za Mc Cain huko Juu.
Ukiitizama hiyo video hadi mwisho utasikia anasema wazi kabisa
"no, we won't speak about any dates of termination of war in the east (East yenyewe ndio Donbas wadau),
quite the opposite, it will most likely prompt Russia to launch a large-scale military Operation against Ukraine"
Na kuna sehem tena anasema
"Our price for joining NATO is a big war with Russia, and if we don't join NATO, it's absorption by Russia within 10 to 12 yrs. Halafu akaulizwa na huyo dada kwa hiyo itakuje akajibu "
Of course a large-scale war with Russia and joining NATO as a result of defeat of Russia. The Coolest thing."
Hola hola Read between lines niambie umeelewa nini kisha endeleeni na hiyo video japo jamaa anazungumza kama cherehani 😂😂
Kufikia hapo naamini kuna kitu mtakuwa mmeongeza. Huu mchezo wanaufaham vizuri wanaoufanya, hapa wakisikika Ma Ex General wa United State na wengineo wakisema "West wame miscalculated response ya Russia" mjue wanamaanisha wanayoyazungumza japo wajinga wachache hawakosekani kuanza kuwaita Pro-Russia.
Oucchhhhaaao kila nikitype nazidi kunogewa hata sijui nimefika paragraph ya ngapi dadeki, likiwa gazeti someni kwa vituo huku mkishushia maji...
Pro Russia wenzangu, hata kama mnaelewa machache kuhusu huu mgogoro. Walau nyie hamjaingia kwenye msululu wa wale wanaopangiwa hisia na uelewa hadi kwenye mambo binafsi yanayowahusu.
Hivi vyombo vya habari kueni navyo makini sana. Ni kwamba Ukivipuuza utakuwa
less informed na ukivifata mazima unakuwa
misinformed. So now it's your choice, Uwe
less Informed au
Misinformed 🤔.
Ingawa from my point of view, ni bora kua na machache ya kweli kuliko mengi ya Uongo.
Again niseme lingine kama ushauri tu, watu maarufu like artists, actors na hata baadhi katika matajiri. Mkiamua kuwafata, na kuwafanya role-models wenu basi wafateni with preucations... Wafateni mkiamini ni binadam wenzenu na sio kila walitamkalo au walifanyalo basi ni sawa na wanaloliacha si sawa...
Maintain Your own Values wadau wangu.
Hizi mambo kama Wealth, Fame and Power ni Gereza kama Magereza mengine hasa yanapokuja nje ya jasho lako... I mean bila kuvisotea. Sio kwamba nakushauri usitafute la hasha, tafuta...
Narudia tena tutafute on our own, tusiwe wepesi wa kuchukua kitu inaitwa "msaada katika safari ya ushindi". Em fikiria unapewa umaarufu unatengenezewa scandal ya kuku-blackmail baadae kwenye kile watakachokihitaji kutoka kwako.
Imagine binti kama
ngaboru, After rising into fame kulinda image yake nakamata udhaifu wake hivo hata nikimwambia katangaze ugasho mbio anaenda. Huo ni mfano tu.
ngaboru nimekutolea mfano kwenye maelezo marefu haya. You know naku-admire as you are the only shangazi upande wetu! High Five to ya 👊
Wadau, Let's fight for our freedom... hata kama huna uwezo wa kurusha ngumi kwa adui. Basi ongeza juhudi ujifunze umtambue adui yako. Ili akitaka kukuumiza basi hatokudhuru kiasi ambacho angekudhuru kama ungekua humtambui.
Mwisho mnisamehe post ndeeefu ha ha ha.