Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2255403

⚡️ President Putin cancels requirement for exporters to sell 50% of foreign exchange earnings


The government commission will now determine the percentage.


That news comes as the dollar exchange rate dropped below 58 rubles for the first time since May 25.
Mabeberu wamwache TU mrusi Kwa I hawamwezi🏃🏃
 
acha uongo wewe unakuja na maneno yako bila hata source... leo the garden wametoa taarifa hii ...

The gardian
Russia-Ukraine war latest: Ukrainian forces ‘holding on’ in key Donbas battles but losing up to 200 troops a day, Zelenskiy aide says – live
Sasa Uongo wangu apo UKO wapi? Hao "The guardian" wamekuja na the maximum soldiers death of Ukraine na hawajatoa data za Russia. Sasa mimi nimekuta data za Russia and Ukraine kwa pamoja na bado kwa kuwa hili ni swala la
 
Msaidizi mkuu wa rais wa Ukraine ameambia BBC kuwa kati ya wanajeshi 100 hadi 200 wa Ukraine wanauawa itani kila siku.

Mykhaylo Podolyak alisema Ukraine inahitaji mamia ya mifumo ya silaha za Magharibi ili kusawazisha uwanja na Urusi katika eneo la mashariki la Donbas.

Pia alisema Kyiv haiko tayari kuanza tena mazungumzo ya amani na Moscow. Wanajeshi wa Ukraine wanakabiliwa na mashambulizi ya mara kwa mara huku majeshi ya Urusi yakijaribu kuchukua udhibiti wa Donbas nzima.

"Vikosi vya Urusi vimetumia kila aina ya silaha nzito dhidi yetu ikiwa ni pamoja na mifumo mingi ya kurusha roketi na anga," Bw Podolyak alisema.

Alirudia ombi la Ukraine la kutaka silaha zaidi kutoka kwa nchi za Magharibi, akisema kwamba "ukosefu kamili wa usawa" kati ya majeshi ya Urusi na Ukraine ndio sababu ya kiwango kikubwa cha vifo vya wanajeshi wa nchi hiyo.

😎😎😎😎😎

Halafu anakuja mpuuzi mmoja anasema Russia atapoteza hii vita


======================================================
President Vladimir Putin compared himself to Peter the Great, the emperor who led Russia’s 18th-century territorial expansion, in a speech that underscored his revanchist ambitions. “It’s impossible — do you understand — impossible to build a fence around a country like Russia,” Putin said Thursday about efforts to constrain its economy. He also suggested the West would remain reliant on Russian energy for some time, despite concerted efforts to slash fossil fuel imports from the country after the invasion.

Ukraine is taking heavy blows on the battlefield and losing between 100 and 200 fighters daily, an aide to Ukrainian President Volodymyr Zelensky said. Those figures are sharply higher than recent estimates provided by other officials. The eastern city of Severodonetsk, the locus of the Russian war effort, is under such intense bombardment that evacuation is impossible for the roughly 10,000 civilians trapped there, its mayor said Thursday. The Kremlin’s forces also advancing toward the cities of Slovyansk and Kramatorsk, where the boom of artillery could be heard on streets.
A Kremlin-aligned official in Luhansk, the eastern region that is almost fully under Russian occupation, said Ukrainian grain will soon be shipped to Russia via rail, with an initial batch leaving as early as Friday. Kyiv and its Western partners have regularly blasted Moscow for looting the Ukrainian harvest, and Zelensky on Thursday called on the United Nations Food and Agriculture Organization to expel Russia.

 

Attachments

  • Screenshot_20220610-114014_Facebook.jpg
    Screenshot_20220610-114014_Facebook.jpg
    83.4 KB · Views: 40
  • Screenshot_20220610-113804_Facebook.jpg
    Screenshot_20220610-113804_Facebook.jpg
    144.6 KB · Views: 36
The Russian army with high-precision missiles destroyed the aviation equipment of the Ukrainian Air Force at the Dnepr military airfield, the Russian Defense Ministry reported.

Also, in the Kharkiv region, the production facilities of the enterprise for the restoration of Ukrainian military equipment were destroyed.

20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
"Wise people study history, Because if you don't know what was you can't understand properly what is" Buddha.

Kila kinachotokea leo kina roots zake sio ajali au coincidence na tumejionea wenyewe hao weupe ni weupe kwelii kupitia maamuzi yao.
Sence 19thC viongozi wao wanamention NWO katika matukio tofauti ila kuna kenge atabisha bila hata rejea sijui anataka tumwamini yy kama nani?

UN ilianzishwa baada ya WW2 ilikua ni nmkusanyiko wa nchi 50 wakaunda UN charter na eneo ni US.

Cha kujiuliza kwa nini US atake yeye ahodhi peke yake ( NWO) kuhakikisha amani duniani? Na kuna nchi zaidi ya 150.........

Na ukizingatia kila taifa lina mamlaka,tamaduni,pesa,ulinzi wake,uchumi, siasa zake.
Kwa wenye macho ni dhahiri US anajiandalia kiti cha enzi hapa duniani,na mataifa yenye uthubutu,nguvu na visionary leaders wanawachalenge.

Nawasalimu kwa jina la RUSSIA...
Kichapo kiendeleee.
"Wise people study history, Because if you don't know what was you can't understand properly what is" Buddha.

Kila kinachotokea leo kina roots zake sio ajali au coincidence na tumejionea wenyewe hao weupe ni weupe kwelii kupitia maamuzi yao.
Sence 19thC viongozi wao wanamention NWO katika matukio tofauti ila kuna kenge atabisha bila hata rejea sijui anataka tumwamini yy kama nani?

UN ilianzishwa baada ya WW2 ilikua ni nmkusanyiko wa nchi 50 wakaunda UN charter na eneo ni US.

Cha kujiuliza kwa nini US atake yeye ahodhi peke yake ( NWO) kuhakikisha amani duniani? Na kuna nchi zaidi ya 150.........

Na ukizingatia kila taifa lina mamlaka,tamaduni,pesa,ulinzi wake,uchumi, siasa zake.
Kwa wenye macho ni dhahiri US anajiandalia kiti cha enzi hapa duniani,na mataifa yenye uthubutu,nguvu na visionary leaders wanawachalenge.

Nawasalimu kwa jina la RUSSIA...
Kichapo kiendeleee
Historia tunayopewa hasa mashuleni waweza kuiona kama coincidence,lakin ukiangalia kwa jicho la tatu sio coincidence kabisa.Sababu utaona kuna akili kubwa sana imetumika.kipindi nipo o level nadhany form 4 kamasikosei,kwenye masuala ya vita vya dunia.ticha anakuelezea source ya WW1 ni assasination ya Sir archiduke france Ferdinand at sarajevo by a bosnia students.Ambapo matokeo yake yalikua mabaya sana,hapo namie niliamini hivyo. Lakin leo nikitrace back hilo swala nabaki kujiuliza kweli kifo cha mtu mmoja kiingize mataifa makubwa katika vita hivyo.Wakati kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kukaa chini na kutatua hila kwa njia ya amani kabisa.what follow next after WW1 mara ma League of Nations lengo kuzuiwa vita na masuala ya kuiadhibu ujerumani ili vita isijirudie. Ikaja WW2 nayo ilileta matokeo mabaya hapo ikazaliwa UN as a world peace keeping.Yaani ni mlolongo wa matukio ili kila tukio lilete lengo kusudiwa,hapa wajua kabisa sio bahati mbaya.lakin baada ya UN kuundwa hakuna kilichobadilika vita na machufuko duniani haviishi kabisa.unafikiri watu wanataka peace lengo nikukuza fear and panic all over the world kwa faida ipi naya nany?au ya marekani hapana ni watu walionyuma ya pazia.Ndio maana rais putin wa anapambana kuzuia hawa watu kuikamata urusi, napia kuweka balance of power duniani ndio maana wanamchukia sana napia wanatamani kumua au afe mda wowote sababu Putin ni kichwa na uwezo wake ni mkubwa hivyo as long as yupo hai atawasumbua na kuwacheleweshea hao mashetani mipango yao wanayoendelea kuipanga ili kuiweka dunia kiganjani mwao.
 
Back
Top Bottom