lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
🤝👏👏👏Karibu mdau.Ban ishaisha nimekuja kama Extrov Vertik kukiwasha tena😄 maana dharau za NATO zimezidi wakati wanakalia umeme wa Kaydrov tu
Nafasi Yako bado IPO.
🤝👏👏👏Karibu mdau.Ban ishaisha nimekuja kama Extrov Vertik kukiwasha tena😄 maana dharau za NATO zimezidi wakati wanakalia umeme wa Kaydrov tu
acha uongo wewe unakuja na maneno yako bila hata source... leo the garden wametoa taarifa hii ...Vita vya Ukreni kwa siku inakadiriwa wanajeshi wa Ukraine 100 - 180 hupoteza maisha huku wanajeshi wa Urusi 70 - 150 nao hupoteza maisha.
Ukrain hupoteza zaidi wanajeshi wake kutokana na Urusi kumzidi kwa ubora wa silaha. Kama Ukraine itapatiwa aina na silaha alizoziomba toka nchi za magharibi na USA basi takwimu hizo za vifo vya wanajeshi wake zitashuka sana.
Tuiombee Ukraine na Urusi vita hii iishe, kwani mpaka sasa hakuna anayefaidika kati yao zaidi misiba kwenda pande zote mbili
Urusi ni wababe wastaarabu.Yes kaka Urusi sio dhaifu kama wengine wanavodhani baada ya kuona kama vile operesheni inadileii, hao wanawapiga ukreini kiakili sana
Jana nimesoma habari al Jazeera, mayor wa severodonetsk sijui anasema urusi imebadiri tactics za kupigana, kiufupi Urusi hatabiriki.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣"Za ndani kabisa"kuendesha gari linalosambaza silaha ndani ya Ukraine dereva analipwa dola 200 hadi 300 kwa saa,na mpaka sasa Kuna uhaba mkubwa wa madereva
warusi waishio Tanzania wana mbwembwe!!"Wise people study history, Because if you don't know what was you can't understand properly what is" Buddha.
Kila kinachotokea leo kina roots zake sio ajali au coincidence na tumejionea wenyewe hao weupe ni weupe kwelii kupitia maamuzi yao.
Sence 19thC viongozi wao wanamention NWO katika matukio tofauti ila kuna kenge atabisha bila hata rejea sijui anataka tumwamini yy kama nani?
UN ilianzishwa baada ya WW2 ilikua ni nmkusanyiko wa nchi 50 wakaunda UN charter na eneo ni US.
Cha kujiuliza kwa nini US atake yeye ahodhi peke yake ( NWO) kuhakikisha amani duniani? Na kuna nchi zaidi ya 150.........
Na ukizingatia kila taifa lina mamlaka,tamaduni,pesa,ulinzi wake,uchumi, siasa zake.
Kwa wenye macho ni dhahiri US anajiandalia kiti cha enzi hapa duniani,na mataifa yenye uthubutu,nguvu na visionary leaders wanawachalenge.
Nawasalimu kwa jina la RUSSIA...
Kichapo kiendeleee
Da Russia inaihudumia Dunia nzima aisee,Kila sehemu wanatoa huduma.Russia imeweka zuio kwa Japan wasiendelee kujihusisha na shughuli za uvuvi kwenye kisiwa cha Kuril kwa sababu ya kushindwa kulipa fedha. Japan a.k.a colony la mashoga wamelalamikia uamuzi huo wa ghafla wakiupa jina la uonevu. Uamuzi huo unakwenda kinyume na mkataba waliokubaliana (fishing pact 1998). Teh teh teh huo ujumbe una maana moja tu, "tumewalisha sushi kwa muda mrefu sana bila ya malipo leo munajitia kiherehere cha kusupport ukraine, kama wanaume kweli kavueni samaki bahari ya china".
Watu weupe wakifa ni sadaka nzuri kwa mwaka 2022. Ingawa siipendi RussiaWannyongwe hadharani Kama mzee Sadam Hussein, ili waingereza wachukie na wazidi kujiingiza direct ktk hii Vita, na tuone Nani n mbabe
Adhabu Yao kwa mujibu wa Sheria za Jimbo Hilo Ni kua watauawa kwa kutumia Firing Squad.Wannyongwe hadharani Kama mzee Sadam Hussein, ili waingereza wachukie na wazidi kujiingiza direct ktk hii Vita, na tuone Nani n mbabe
Slava ukraine Slava ukraineKumnyonga mtu aliye jisalimisha ni kudhihilisha uoga.
hii ni kum- fake Putin.Ukraine inapoteza wanajeshi 200 kwa siku - msaidizi wa Zelensky
Usikimbie naanza.Wewe tuletee Swastika kutoka jeshi lolote la West tukuamini au hata proof kwamba ni official Government ideology ya nchi za West.
| Air Force Academy | |
|---|---|
Flag of the Air Force Academy | |
| Active | 2005- |
| Country | |
| Branch | Finnish Air Force |
| Role | Air defence training |
| Garrison/HQ | Tikkakoski |
| March | Sotamarssi |