Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

CIA walisema mapema February, Urusi ataivamia Ukraine, Putin alipinga kwamba ana mpango huo siku chache kabla ya kuivamia.
Watu wenye akili hawamsikilizu wala hawamuamini Putin, wanakusanya "intelligence".
Usifikiri ule msafara wa Km 64 kuelekea Kyiv ulikuwa kucheza ngoma.
Unaulizwa vitu vingine unajibu vitu vingine hebu thibitisha lini Russia walisema mpango wao ni kuidhibiti Ukraine kwa siku 3 kama ulivyodai
 
Hivi kwa huu upumbafu unaukutoka kwenye hiyo kichwa... Hata kupiga mswaki unaweza kweli? Mbona unakua fala sana kiasi hiki?

Watalebani ndani ya vita miaka yote mfululizo, unataka kutwambia US alikuwa ***** tu hadi walipata mda wa kulima? Wakavuna? Wakapata soko la kuuza hizo Opium kupata hizo fedha? Wakati huo US hayo mashamba alikuwa anayamwagilia sio? Wakati huo Intelligence ya US ilikuwa imetulia tulii ikiwatizama sio? We jamaa mbona Mse**e sana?

Vitu vingine ukikosa majibu si ukae kimya tu [emoji848].

Tulia anko, nimefikia pazuri. Nikunyooshee huyu mtoto.
 
Duh 😟

▶️ Press TV's field reporter in Donetsk, Johnny Miller, says Russia has total missile dominance over Ukraine and if NATO continues interfering, Moscow could start striking government buildings.
 
Putin hana cha kupoteza au kufaidika nacho Africa. Africa ina matter kwa US, Ulaya na China.
Kwa hivyo baba yenu Putin ameamua hana muda kuzingatia/kushugulikia upungufu mkubwa wa chakula afrika kutokana vita vyake vya kipuuzi?
Afrika pamoja na kujipendekeza sana Urusi ,Mwenyekiti umoja wa Afrika ametoka mikono mitupu Kremlin. Putin amemwambia live live access denied to Ukraine food stockpile.

Tulia anko, nimefikia pazuri. Nikunyooshee huyu mtoto.
Ha ha mdau, kazi kwako we shughulika nae tu usikilize US alivyoshindwa kuzuia biashara ya watalebani mwa miaka 20 kiasi cha kutia hasara ya $8Trillion dollar ku'replace "Taleban" with "Taleban"

huyo jamaa huwa habishani na watu,
Of course mdau!
 
Mkuu wa Bunge la Hungary ana haya ya kusema 😂

Hungary's top official claims Zelenskyy has 'mental problems', Ukraine condemns comments.png

🇭🇺🇺🇦The head of the Hungarian parliament announced Zelensky's mental problems.

This is how Laszlo Kever commented on the insult of Western politicians from Kiev.

"I do not remember that the leader of a country in need of help would dare to speak out against anyone in the way that President Zelensky did not only against Hungary, but even against the German Chancellor. Usually, someone who needs help is used to asking, politely," Kever explained.

"This is some kind of personal, mental problem that I do not know what to do with," he concluded.
 
Mkuu wa Bunge la Hungary ana haya ya kusema 😂

View attachment 2251715

kuna chips yai hapo juu inamfananisha jamaa na mwijaku kisa kamkosoa zele ila ingekuwa kaongelewa putin.
Duuh wangeunda sredi ndefuu wako radhi kuchanganya na module za development studies ili mradi ijae, waonekane wachambuzi kumbe ni wachamba mbuzi.
 
kuna chips yai happy juu inamfananisha jamaa na mwijaku kisa kamkosoa zele ila ingekuwa kaongelewa putin.
Duuh wangeunda sredi ndefuu wako radhi kuchanganya na module za development studies ili mradi ijae, waonekane wachambuzi kumbe ni wachamba mbuzi.
Kama huyo ni Mwijaku, Victor Oban nae ni nani [emoji848] waswahili akili zetu zinajiweza wenyewe!
 
Mkuu wa Bunge la Hungary ana haya ya kusema [emoji23]

View attachment 2251715
[emoji1126][emoji1255]The head of the Hungarian parliament announced Zelensky's mental problems.

This is how Laszlo Kever commented on the insult of Western politicians from Kiev.

"I do not remember that the leader of a country in need of help would dare to speak out against anyone in the way that President Zelensky did not only against Hungary, but even against the German Chancellor. Usually, someone who needs help is used to asking, politely," Kever explained.

"This is some kind of personal, mental problem that I do not know what to do with," he concluded.
Huyu mzee baada ya kuzungumza hivi hiki ndicho kilichoandikwa na Wizara ya Mambo ya nje ya Ukraine, Kazi ipo!
Screenshot_20220605-235759.jpg
Wizara ya Mambo ya nje Ukraine inasubiri kutolewa kwa taarifa kuhusu hali ya afya yake ya akili ya Spika wa Bunge la Hungary Laszlo Kever. Tathmini zaidi kuhusu Bw. Kever inategemea conclusion recorded in the certificate (Majibu ya dkt.)
 
Back
Top Bottom