Hiyo midogo midogo itashughulkiwa tu, kwanza inabidi tushangae tuliwezaje kumfukuza Mrusi Kyev, yaani Mrusi huyu mmoja ambaye ameogopowa siku zote, supapawa, yaani ambaye tegemezi la waarabu na dini yao na wafuasi wao wote duniani walimtegemea yeye, ndiye alionekana kama komesha la Marekani, humu nyuzi zilirindima za kututisha kwanza pale limsafara lilianza safari, ila kwa namna lilifyekwa...kha
Ni kama leo Liverpool waje kucheza dhidi ya Kagera sugar, wafunge mabao mawili, ila wadhitiwe hadi kurudi nyuma, mtaogopa hata kuwafuata huko kushambulia maana mamuamini macho yenu, mpaka mtakua muda wote mnaogopa labda wana kingine hawa.