Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kim Jong-un congratulated Putin on the Day of Russia and expressed his full support to him, as well as to the Russian people:

“Under your leadership, the Russian people, bravely overcoming the challenges and difficulties they encounter, are achieving great success in doing a just cause to protect the dignity, security and rights to the development of the country,” the Central Telegraph Agency of the country quotes the leader of the DPRK.

IMG_20220612_200530_793.jpg
 
Hao 10,000 wa mchongo, Bado idadi kamili anajitahidi kuificha. Ok now tufanye ni kweli ni hao 10k, Kwa mujibu wao Russia kapoteza over 30k. So hii inakuwa Russia kapoteza mara 3 zaidi ya Ukraine.

Enhe inakuaje wao kila siku wanalia lia kama Russia anachakazwa kiasi hicho?
Na inakuwaje sasa ni miezi mitatu badala ya siku 3?
 
na lengo kuu la mataifa ya magharibi ni kuoona URUSI ikidhoofu, kudhoofika kwa Urusi ndiyo itakuwa ushindi kwa mataifa ya Magharibi pamoja na US.

Putin kashaingia kwenye mtego, kuacha vita hawezi - he has only one option ni kupigana hadi mwisho though mwisho wenyewe utakavyokuwa hata yeye haujui.
We jamaa ndio umetambua kuna wajinga humu wao hawajui lengo la ile vita wao wanashabikia tu, ni kweli Russia ameingia kwenye mtego bila kujua wakati wao wanataka kumdhoofisha tu.
 
Mambo heavy shangazi... Kuna picha hii em itizame.
View attachment 2258449

Ila huyo aliyefunikwa sura sio huyo unaemfikria, huyu ni Usain Bolt akiwa zoezini.

😂😂😂

Hilo taifa linajiweza lenyewe, kama ni kweli au sio eishiii, watajua huko.

Nikuongezee hizi picha kujifurahisha shangazi.
View attachment 2258457
View attachment 2258460
View attachment 2258461
View attachment 2258462

Kuna hii ila watu wazima mtanisamehe, Huyu bint anaitwa Joan Rivers, baada ya kusema hivi week mbili baadae alikutwa kadanja
View attachment 2258465

Na video ya huyu binti ifate huku

Tunaweza sema yote ni uongo lakini ukiangalia nguvu na pesa walizowekeza kwenye huu uchafu. Unajikuta unaamini.

Yapo mengi sema Ask-Q huwa mwoga mwoga anayasema kwa kujificha ficha wakati ulimwengu wa ID fake hii unaropoka unalojisikia.

We Usain Bolt unaiamini sana JF eeh, nishachukua Coordinate hapa one two one two Umeishaaa

😂😂😂
 
[emoji631] The strengthening of the ruble leads to financial losses of the West, — National Interest

The further strengthening of the ruble exchange rate leads to additional costs for the West when buying Russian energy resources, the American National Interest states

The decision of the Head of the Russian State to accept payment for gas in the national currency led to a significant strengthening of the ruble, — National Interest notes

The burden that has fallen on the shoulders of the West, forced to pay in rubles for gas, will become increasingly painful for the West. If the ruble continues to strengthen in the coming months, Western countries will have to bear additional costs to convert their currencies into rubles in order to pay for the import of irreplaceable energy resources," the National Interest emphasizes

Such a development of events will increase the demand for Russian currency in the world, and will also show the ineffectiveness of Western sanctions against Russia, the American National Interest concludes
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Wakati Zelensky akiendelea kushinda vita vya Ukraine huko mitandaoni twitter, BBC yaripoti kuwa Russia inagawa passports za Russia kwa wakazi wa majiji ya Kherson na Melitopol (Ukraine) ambao wameomba passport za Urusi na uraia wa Urusi (wanauvua uraia wa Ukraine rasmi). Zelensky amelalamikia hatua hiyo ya Russia akidai kuwa Russia yatengeneza raia wa Russia kwenye ardhi ya Ukraine..
View attachment 2257910
View attachment 2257911
Sasa wewe umewatoa sadaka wananchi wako especially Wanaume, Hujali Kuisha kwa mtafaruko, watu wataishije muda huo wote wewe unaoutumia kufanya comedy kwenye mambo ya serious, hili jamaa sijui zwazwaaa
 
We jamaa ndio umetambua kuna wajinga humu wao hawajui lengo la ile vita wao wanashabikia tu, ni kweli Russia ameingia kwenye mtego bila kujua wakati wao wanataka kumdhoofisha tu.
Hamna cha mtego hapo..kaishavuka tayari....mategemeo ya west yalikua juu sana, hali imekua kivingine.....Impact ya sanctions imekuwa ndogo sana....Ukifuatilia hata vyombo vya magharibi hii habari haviipi uzitio tena, miezi ya nyuma vilikua vimehamaki kwelikweli....Sasa hivi Ukraine ataendelea kuchezea kichapo kimya kimya tu, nchi itamegwa ile.....Hata Zelensky kaishaongea kuhusu dalili za wadau wa west kuchoka na kuipotezea hii vita....au kuizoea hiyo hali.

Hata west wenyewe....kuna mfumuko wa bei hatari...nao hawatakubali hii vita iendelee kwa muda mrefu sababu nao wanapata effect...
 
na lengo kuu la mataifa ya magharibi ni kuoona URUSI ikidhoofu, kudhoofika kwa Urusi ndiyo itakuwa ushindi kwa mataifa ya Magharibi pamoja na US.

Putin kashaingia kwenye mtego, kuacha vita hawezi - he has only one option ni kupigana hadi mwisho though mwisho wenyewe utakavyokuwa hata yeye haujui.
Urusi anaweza acha mapigano bali vita vyenyewe vitaisha Ukraine akiachana na mpango wake wa kujiunga na Nato. Hilo ndilo azimio la Putin. Ukraine iliyodhoofika inaweza kuwabadilisha wapiga kura kumchagua mtu asiye na fikra za kimagharibi.
 
Nasoma kuhusu inflation hapa inabidi nikiri tu kuwa amekuwa smart. LAKINI NAAMINI NAFASI YA KUMSHINDA BADO IPO NA SI NDOGO.
Watamshinda vipi wakati ndiyo kwanza haya mapigano wamechavusha viwanda vya urussi kuzalisha silaha kali na zakisasa zaidi ...pia kumbuka urusi ikiamua kumpatia kiduku mabomu 400 tu ya nuclea hapo game itakuwa ime change kabisa usa atambembereza putin wawe marafiki hata kwa kuiunga mkono ukraine iwe mali ya mrusi
 
Vita ni gharama nami nijuacho Russia hii vita itamshinda sababu ni nyingi mno za Russia kushindwa, tusiangalie vita imeanzaje tuangalie vita inaishaje unaweza kukurupuka mwanzo na mbwembwe kumbe wenzio wanakuangalia kwanza yale mataifa ni mengi na ni tajiri, katika historia za alliance hawajawahi kushindwa vita.
 
Urussi uwezo mdogo Sana, wanajeshi wake Wana njaa wameshindwa kupambana.Siku 3 zilizopita jeshi la ukraine limeiteka Port of St. Petersburg huko Russia.Putin anahaha kuomba suluhu.

Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine
Sasa mbona wanashindwa kumtokomeza mwenye njaa. Kila siku maeneo muhimu yanachukuliwa na Urusi
 
Ni vyema ukimquote mtu usimshambulie. Weka maoni yako mbadala na utaeleweka
Aisee naona tunaanza kupangiana namna ya kujadili. Wewe kama lugha yako ni tamu fanya hivyo kwa haki yako. Na mimi niache nijadili kwa haki na uhuru wangu. Sijavunja taratibu zozote za JF.

Hapa na wewe umenishambulia hujatoa maoni yoyote kuhusu mada husika.
 
Ujumbe mwingine hauko wazi.lkini ukisoma katikati ya mistari utaelwa TU.
Kiduku kamhakikishia baba yake Master of the game Vladimir Putin kuwa,ikiwa NATO watajiingiza mazima na Urusi ikihitaji msaada Kiduku na wakorea Kaskazini wote wataingiza majeshi kupigana wakiwa upande wa Putin.
Hiyo ndio maana iliyojificha.
Kabisa MKUU kabisaaaaaa
 
Article 1 (Chechen republic, R.F. 1)
(1) The Chechen Republic (Nokhchiin Republic) is a democratic, social law-governed state with a Republican form of government. The sovereignty of the Chechen Republic is expressed in the possession of the full authority (legislative, executive and judicial) outside of the jurisdiction of the Russian Federation and outside the authority over objects of shared jurisdiction between the Russian Federation and the Chechen Republic, and is to be an inalienable part of the Chechen Republic.
(2) The territory of the Chechen Republic is one and indivisible and forms an inalienable part of the territory of the Russian Federation.
Excellent .
 
Back
Top Bottom