ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,117
- 5,537
Laigwanani hapa ni vitani 😂😂😂😂😂😂ni mwendo wa nyundo tuuu hakuna muda wa kubembelezana.Ni vyema ukimquote mtu usimshambulie. Weka maoni yako mbadala na utaeleweka
Laigwanani hapa ni vitani 😂😂😂😂😂😂ni mwendo wa nyundo tuuu hakuna muda wa kubembelezana.Ni vyema ukimquote mtu usimshambulie. Weka maoni yako mbadala na utaeleweka
Hizo silaha zimeshafika siku nyingi ila waukraine na nato wanadai hizo silaha zimekuwa ONE SHOOT AND THEN YOU DIE ...wanasema ukizifyatua tu nikama kujilipua mwenyewe maana ndani ya sekunde 2 tu unakuwa umesha lipuliwa hivyo ukizitumia unatakiwa kuwa na mbio za kufa mtu ili kuzikimbia mara tu baada ya kuvyatua bomu la kwanzaVipi ule msaada wa silaha walioahidiwa wameshapata au bado
Na nani? Libya,syria,vietnam, afghanistan wameshalipwa fidia?Russia hawezi acha vita sababu anaogopa atashinikizwa kulipa gharama
Hawa acha wafe tuuuTutajua mengi
The US military has ordered a temporary halt to some non-critical missions, in order to conduct a risk and error review, after a Marine Corps MV-22B Osprey, as well as Navy MH-60S Seahawk and a F/A-18E Super Hornet fighter jet all crashed within a single week in southern California.
Meaning mbezi to chalinze???. Guiness bookMsururu wa maderaya wa km 70 uliokuwa perished unadhani ulikuwa chini ya bil 40?
Akishindwa uje ututagVita ni gharama nami nijuacho Russia hii vita itamshinda sababu ni nyingi mno za Russia kushindwa, tusiangalie vita imeanzaje tuangalie vita inaishaje unaweza kukurupuka mwanzo na mbwembwe kumbe wenzio wanakuangalia kwanza yale mataifa ni mengi na ni tajiri, katika historia za alliance hawajawahi kushindwa vita.
Hakuna wakumshinikiza RUSSIA hapa DUNIANIRussia hawezi acha vita sababu anaogopa atashinikizwa kulipa gharama
Nyundo ya jf ni analysis ya facts , its all about arguments.Laigwanani hapa ni vitani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni mwendo wa nyundo tuuu hakuna muda wa kubembelezana.
Ndugu yangu ndugu yangu, umesema??[emoji28][emoji28]Hizo silaha zimeshafika siku nyingi ila waukraine na nato wanadai hizo silaha zimekuwa ONE SHOOT AND THEN YOU DIE ...wanasema ukizifyatua tu nikama kujilipua mwenyewe maana naniya sekunde 2 tu unakuwa umesha lipuliwa hiyo ukizitumia unatakiwa kuwa na mbio za kufa mtu ili kuzikimbia mara tu baada ya kuvyatua bomu la kwanza
Plan ya Russia imefeli,masaa 72 hadi leo ,wameonyesha udhaifu mkubwa mnoMmeanza kubadili kiswahili Baada ya kusema siku 3 mnaita muda mfupi 😂😂😂😂😂😂
Vita mbinu Mkuu huwezi elewa kitu.Plan ya Russia imefeli,masaa 72 hadi leo ,wameonyesha udhaifu mkubwa mno
Hawajawahi nini?Vita ni gharama nami nijuacho Russia hii vita itamshinda sababu ni nyingi mno za Russia kushindwa, tusiangalie vita imeanzaje tuangalie vita inaishaje unaweza kukurupuka mwanzo na mbwembwe kumbe wenzio wanakuangalia kwanza yale mataifa ni mengi na ni tajiri, katika historia za alliance hawajawahi kushindwa vita.
Huyo ni zaidi ya Yoda...ni Mkenya mwenye chuki kubwa na TZMk254 wa kupuuzwa. Ana sound like Yoda
Vita ya Ukraine ni ngumu sana kwa maana iliandaliwa kwa gharama kubwa sana. Ukraine ilichimba na kujenga mahandaki mengi kwa msaada wa NATO na US . Yalikua matarajio ya NATO na US kuwa Russia atashindwa na kuacha mapambano na hapo heshima yake iporomoke. Russia aliandaliwa mtihani mkubwa . Kama sio haya Mapango kazi ingekuwa rahisi sana. Russia ameona atumie hayo makombora mazito kukabili hizo structure na anafanikiwa.Hawajawahi nini?
Si ndio wametoka afghanistan mikono juuu au ni vitagani hawashindwi? Vietnam kwa wakulima wa mchele ilikuaje?
Jaribu kujikagua kabla haujafungua mdomo apa.
🤣🤣🤣Si hapo Sasa ‼️Aiseee kuwa pro RUSSIA tayari na dini unatupangia.
Huna hoja.
Mm mbona siyo muislamu hata nyerere na magufuli awakuwa waislamu tena kwa taarifa yako nyerere alikua adui mkubwa wa mabeberu ya nato na hata jpm, kuliko hata maraisi waislamu katika hii nchi yetu ...wewe unafikili JPM AU NYERERE WANGEKUWA HAI WANGEKUWA UPANDE WA NATO ?[emoji849][emoji849]Ukristo hamna cha west wala Afrika, neno la Mungu ni lile lile na halibadiliki, wacha kukubali kushikiliwa akili, kuwa na mtizamo wako huru kuhusu huu ugomvi kama wanavyofanya wengine wote kasoro waislamu ambao wote wamemwagika kwa Putin, utadhani amekua mtume kwao.
Dini zingine kidogo wako balanced, kunao wanaunga mkono mauaji anayofanya Putin wakidai anaua mashoga, ila kunao wanapinga.
Nato ni sawa sawa na gaidi kwa urusi hivyo nato kuingia ukrain ..ni hatari kwa urusiUrusi nini kimemtuma akaue watu Ukraine, mumejificha kwenye mgongo wa ushoga, kwani Ukraine ndio inaongoza kwa ushoga dunia hii, halafu kama kweli wewe Mkristo kama unavyojidai, hivi mafundisho ya Kikristo yanafundisha kuwaua mashoga?
Kabisa mkuuKichwa kimoja kina vipeleka puta vichwa zaidi ya 35 kwa miaka zaidi ya 20.
Hii iingizwe kwenye record za Dunia.