Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Iyo hoja yako ya dini jumlisha waarabu imeflop, kwenye huu mjadala tunatofautiana kimtazamo ila linapokuja suala la dini,kabila,jamii na hali tuko pamoja ndio maana hauoni wenzako wakizungumzia hicho kipengele in short we love each other badly.

Hakuna mtu anaeaminishwa ni uhuru wa fikra za kila mtu ndio maana kuna pro nato na pro Russia.

Nadhani settlers wameathiri mfumo wenu wa kufikiri kudhani kila watendalo ni jema.
Kila jamii ina mazuri yake na mabaya yake so hatuwezi kushabikia marekani kwa sababu ya bata alafu tuidis Russia anaetupa chakula,mbolea,zana za jeshi,utaalamu ,n.k

Unateseka ni vile hauna jinsi Russia kawatia aibu na bado ngoma inaendelea.

Ukishiba githeri ndio unapata nguvu ya kuja kujamba hapa.

Mpaka nikutane na mtu mmoja wa hivi wa hiyo dini ya waarabu ambaye anachukizwa na hayo manyanyaso na mauaji anayofanya Putin ndio nitawaelewa, ila kwa sasa wote mumeshikiliwa akili yaani sijui huwa mko vipi. Kidogo kwenye dini zingine wako balanced, unakuta kunao wako wanamuunga mkono Putin na kunao wanachukizwa na anachokifanya, ila nyie hapo mumemwagika balaa nyote kwenye kapu moja, huwa mumeaminishwa chuki za ajabu.
 
▪️ In Kharkiv Region, the Ukrainian Armed Forces continue to accumulate forces and prepare for a counterattack.
➖ In the Izyum direction, the enemy is trying to cross Seversky Donetsk from the direction of Chepel, Protopovka and Petrovsky, which is actively hindered by Russian DRGs. The artillery of the Russian Armed Forces is striking at the crossing points.
➖The Ukrainian grouping in Pervomaisk was reinforced with personnel and equipment ahead of a possible attack on Balakleya.
➖ The Russian Armed Forces pushed back the AFU from Ternova, partially levelling the front line in the north of the region.
➖ In preparation for a new counterattack, the Ukrainian command carried out a rotation in Stary Saltov, also sending a group of foreign mercenaries there.
➖ A strike was carried out against one of the Kharkiv factories that repaired AFU armored vehicles.

▪️There have been no significant changes in Donbass over the past 24 hours: the allied forces continue to build on the successes achieved over the week.
➖ After occupying the strategic height of Prishib near Sviatogorsk, the Russian Armed Forces are conducting an offensive in the direction of Sidorovo. Fighting continues for Bogorodichnoye and the forests near Krasnopolye. The AFU has an acute shortage of personnel in this area
➖After clearing Kamyshevakha to the south of Popasna, the allied forces are advancing towards Vrubovka, continuing to encircle the enemy in Gorske and Zolote. There is continuous artillery fire at the positions of the 24th AFU detachment.
➖ Units of the 57th Infantry Brigade were rotated in the area southeast of Myrna Dolina.
➖ Fierce fighting is taking place to the west of Popasna for Roty and the village of Pokrovskoye. Fighting continues for Novoluganskoye.
➖ In Severodonetsk, the private sector and forests near Frunze Street are being cleared. Fighting for Borovskoye is going on.
➖ The Ukrainian Armed Forces transferred reinforcements to the 10th Ogsh Brigade and the 30th Brigade, defending their positions in the Horlivka direction.
➖ Position battles are taking place to the south and east of Avdeevka. The DNR NM continues to fight for the southern outskirts of New York.

▪️The artillery preparations of the sides continue in the Krivoy Rog direction.
➖ Russian artillery destroyed the command post of the 98th FB of the 60th Army Brigade of the AFU in Velyka Kostromka.

▪️ In Zaporizhzhya region, the Russian Armed Forces struck a concentration of enemy manpower in Orekhovo.
 
Rais wa Poland Andrzej Duda amewashambulia viongozi wa Ufaransa na Ujerumani kwa kufanya mazungumzo ya simu na Rais wa Urusi Vladimir Putin ambapo amesema kuzungumza na Putin ni kama kuzumgumza na Adolf Hitler wakati wa vita vikuu vya pili.
#MillardAyoUPDATES https://t.co/a5d1c6DbHx
Mwambie awaambie wenyewe
 
Marekani anayewambia ushoga ni haki ya binadamu?? Au nawewe unashika buti??

Sasa mbona wengi wenu huwa mnahangaika kutafuta mbinu za kwenda hiyo marekani kula bata, mnaaminishana kwenye mafundisho ya dini ya mwarabu kuichukia Marekani ila kila siku mnajaza green card.

Hata hao waarabu wenye dini huwa wanajiachia sana wakifika Marekani

HZ-FB-Featured-Images.jpg
 
Mpaka nikutane na mtu mmoja wa hivi wa hiyo dini ya waarabu ambaye anachukizwa na hayo manyanyaso na mauaji anayofanya Putin ndio nitawaelewa, ila kwa sasa wote mumeshikiliwa akili yaani sijui huwa mko vipi. Kidogo kwenye dini zingine wako balanced, unakuta kunao wako wanamuunga mkono Putin na kunao wanachukizwa na anachokifanya, ila nyie hapo mumemwagika balaa nyote kwenye kapu moja, huwa mumeaminishwa chuki za ajabu.
Aiseee kuwa pro RUSSIA tayari na dini unatupangia.
Huna hoja.
 
Independent state
Mh jomba bora hata kauli ya lee van cliff aliyesema jimbo. Unaposema Independent State ni kama TZ, Rwanda Burundi na nyinginezo. Hivi sasa Chechen ni Republic ndani ya Russia. Walikiwa "Independent" baada ya 1st Chechen war, na Russia kurudisha utawala wa hilo eneo after second Chechen War.

Chechen ipo under Control of Russian Federation. Unaweza kuilinganisha Chechen na Zanzibar kwa hapa Tanzania. Wana Rais wao lakini wapo ndani ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania.

Hakuna nchi inaitwa Chechen kama ilivyo Zanzibar. Ila kuna Russia Federation kama ilivyo Tanzania ambapo ndani yake utaikuta Chechen kama utakavyoipata Zanzibar ndani ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Mpaka nikutane na mtu mmoja wa hivi wa hiyo dini ya waarabu ambaye anachukizwa na hayo manyanyaso na mauaji anayofanya Putin ndio nitawaelewa, ila kwa sasa wote mumeshikiliwa akili yaani sijui huwa mko vipi. Kidogo kwenye dini zingine wako balanced, unakuta kunao wako wanamuunga mkono Putin na kunao wanachukizwa na anachokifanya, ila nyie hapo mumemwagika balaa nyote kwenye kapu moja, huwa mumeaminishwa chuki za ajabu.
Vyovyote iwavyo
RUSSIA endelea kuua hayo MAGAIDI ya KINAZI yenye misimamo mikali
 
Sasa mbona wengi wenu huwa mnahangaika kutafuta mbinu za kwenda hiyo marekani kula bata, mnaaminishana kwenye mafundisho ya dini ya mwarabu kuichukia Marekani ila kila siku mnajaza green card.

Hata hao waarabu wenye dini huwa wanajiachia sana wakifika Marekani

HZ-FB-Featured-Images.jpg

Aisee hivi hujui Amerca wanaongoza kwenda dubai, qatar nk?.. kula bata au unakaza fuvu. Wakenya uchawa umepitiliza.

Kwanza unatoka nje ya mada hii ndo tabia yako, kama huna hoja unatafuta sababu nyingine. Kubishana na watoto ambao wapo kwenye foolish age ni kupoteza muda.
 
‼️🇺🇦🏴‍☠️About 400 militants of the Armed Forces of Ukraine are blocked at the Azot plant in Severodonetsk - LNR Ambassador to Russia

Contact has been established with Ukrainian militants, negotiations are underway on the safe exit of civilians, said Rodion Miroshnik.

Also, according to the diplomat, the Ukrainian armed formations were made clear: they must lay down their arms and surrender, no other conditions will be accepted.
 
Akhi njoo umsikie mdau wetu wa Winter is Coming analalama [emoji23]...

Nisiishie hapa niwaambie jambo la ziada, huyu jamaa nilimsema nyuma kua ni mwandishi wa kitabu alichokiulizia Akhi cha Winter is Coming...

Huyu mdau ni Mrusi, katika kitabu chake kamnukuu Senetor wa US, John McCain juu ya Cover... Someni vizuri hiyo Caption upande wa chini ya hii Cover Kwamba "As one of the most influential critics of Vladimir Putin's reign of terror. Garry Kasparov has become a champion of the causes of freedom, democracy and Human rights in Russia" Sen. John McCain

View attachment 2255605

He he he kwamba kitabu kinaandikwa na "Chess Master wa Russia" halafu kinapewa Credit na Adui wa Taifa lenu, really? Tuendelee kula mtori nyama zipo chiniiiiii

Najua kuna baadhi mshaanza kujiuliza Senator John Mc Cain ni nani!
Si busara kuandika wasifu wake mambo yatakuwa mengi mda mchache, Cha muhimu tizameni hii video mumskilize alivyokuwa akiwandaa wa Ukraine miaka ya kati hapo kupigana na Russia...

Hiyo Video ni ya 2016, McCain Yeye ni huyo wa pili kuzungumza... nawaandikia maongezi ya kwenye video ili kwa wale ambao ngeli ya kusikia inawapa tabu basi msome kila maneno waliyoyasema...

View attachment 2255613

Wa kwanza akaanza hivi "I admire the fact that you will fight for your home land. Your fight is our fight. 2017 will be the year of offense. All of us will go back to Washington and we will push the case against Russia. Enough of a Russian aggression, it's time for them to pay a heavier price. Our fight is not with Russian but with Putin. Our promise to you is to take your calls to Washington. Inform the American people of your bravery and make the case against Putin to the World"

Kisha akaingia McCain mwenyewe sasa kuzungumza, anasema kwamba... "I believe you will win, I am convinced you will win and we will do everything we can to provide you with what you need to win. We have succeeded not because of equipment but because of your courage. Soo I thank you and the world is watching because we can not allow Vladmir Putin to succeed here, because if he succeeds here. He will succeed in other countries.

Baada ya Video nitaeleza kwanini Hicho kitabu cha huyo mwamba na kwanini nimeleta hii Video.

Great details are for the people with Higher analyzing capability. Msikonde nipo kwa ajili yenu.

Kitabu cha Winter is Coming kimetoka October 2015, wataalam wa Mambo tunasema yalikuwa maandalizi ya Kisaikolojia kwa lile ambalo lilikuwa linaenda kufatia baadae! Nakupa fact nyingine ya "dharula". Series moja hivi pendwa inaitwa "Game of Thrones" ikatoka mwaka huo huo 2015 huku Episode ya kwanza nayo ikibeba jina lile lile la "Winter is coming" huku ndani maudhui yakifanana... Coincidence sio? Baadhi endeleeni kujifunika shuka Giza bado totoro.

2016, walikua washapanga kila kitu na ilitakiwa 2017 iwe hiki cha 2022 hii tunayoiona leo. Je nini kilitokea...? Ni Ujio wa Donald Trump madarakani. Ambae ana ukaribu na Rais wa Russia, Vlad Putin hivo hiyo mambo ikashindwa kutekelezwa. Kama mnakumbuka katika uchaguzi unaotuhumiwa kuingiliwa na warusi ni huo wa 2016, Uliomuingiza Trump White House January ya 2017.

Kwa wale mliokuwa mnajiuliza kwanini Trump analalamikiwa kwa kuhusishwa na Russia nadhani nitakua nimewafungua macho kiasi chake.

Hiyo 2017, 2018, 2019 na 2020 despite ya madhaifu ya Trump ila at least ni katika kipindi walau dunia ikaonja kupungua kwa kelele za vita duniani. Mind you ni katika uongozi wa Trump jeshi la U.S kujitoa Afghanistan na ni Trump ndie Raisi wa kwanza wa US kutia mguu North Korea.

So what happened in 2020 election ilikuwa ni lazima Trump ang'oke, kwasababu alikuwa yupo against wale wahuni nyuma ya Pazia. Nini kikatokea ni yule aliyekuwa mpambe wa Obama kurudi kuendeleza walichokua wamekianza kabla ya wao kuondoka madarakani.

Hapo nadhani nitakua nimewagusa pia wale wanaojiuliza kwanini Trump anapendwa sana na waumini wa aliyekua Raisi wa zama hizo marehem JF Keneddy! Hawa hawakua waumini wa Vita waliitanguliza Marekani kwanza.

Naam tuendelee, Ile movie ya "Servant of the People" iliyochezwa na Zelensky haikuwa ya bureeee. Ile movie ni Political Satire, imetoka 2015/16... Angalia sasa hii sequence ya haya matukio, Movie ikatoka 2015, mwaka mmoja na kile kitabu cha huyo mdau Kasparov... Kule Game of Throne ikirushwa Ep1 ya kwanza ikienda na jina lile lile. 2016 kikaanzishwa chama rasmi cha siasa kikabeba jina la hiyo Movie "Servant of the People Party", kisha uchaguzi uliofata 2019 kikaingia madarakani, Yule Main Character wa Movie ile ile ya "Servant of the People" anakuwa Predaa rasmi wa Ukraine kupitia "Servant of the People Party" [emoji23]..

Enhe ikawaje Movie kisha Chama miaka 3 baadae Uraisi? Yes, Zelensky hana any Political background, he was Comedian. Ile ilikuwa makusudi kuwaandaa wadau namna gani wataongozwa. So they live in fantasies wanaingia kwenye boksi la kura wakiikumbuka movie ambayo mgombea alishiriki.

Hapa kwa lugha ya mkato tunaweza sema kibaraka kilikuwa kinaandaliwa, na ikafanikiwa... kinachofurahisha kwa hawa wadau. Tukio kabla hawajalifanya huwa wanaleta movie au mfano wowote kwa lengo la kuandaa Psychology za watu kama walivyofanya kwenye Covid (hii nje ya mada tuiache hivi hivi hewani). So wadau mnapoona wenzetu wamekomalia jambo flani msibishane kwa kutumia nguvu. Hayo ndio matokeo ya Hollywood's campaigns kwenye Vichwa vyao.

Tunaendelea, Gasho Elensky akaingia mzigoni 2019 hyo, Dementia Joe uchaguzi wa 2020 ukamweka madarakani... At the same time mshauri wa Zelensky katika mahujiano yake video nitaiweka ila sitoandika kila neno kutoka kwenye video hiyo cuz hii post itakuwa ndefu sana japo ishakuwa ndefu by the way.

View attachment 2255687

Ni kwamba issue waliyokuwa wanaifanya Donbas kipindi chote ilikuwa ni makusudi kwa lengo la kui-provoke Russia.

Matangazo ya wao kujiunga NATO lengo lilikuwa lile lile kui-provoke Russia. Waingie vitani, ingawa bahati mbaya nahisi cocaine ziliwazidia wakachukulia Russia ya kawaida so wakategemea ushindi. Rejea na kauli za Mc Cain huko Juu.

Ukiitizama hiyo video hadi mwisho utasikia anasema wazi kabisa "no, we won't speak about any dates of termination of war in the east (East yenyewe ndio Donbas wadau), quite the opposite, it will most likely prompt Russia to launch a large-scale military Operation against Ukraine"

Na kuna sehem tena anasema "Our price for joining NATO is a big war with Russia, and if we don't join NATO, it's absorption by Russia within 10 to 12 yrs. Halafu akaulizwa na huyo dada kwa hiyo itakuje akajibu "Of course a large-scale war with Russia and joining NATO as a result of defeat of Russia. The Coolest thing."

Hola hola Read between lines niambie umeelewa nini kisha endeleeni na hiyo video japo jamaa anazungumza kama cherehani [emoji23][emoji23]

Kufikia hapo naamini kuna kitu mtakuwa mmeongeza. Huu mchezo wanaufaham vizuri wanaoufanya, hapa wakisikika Ma Ex General wa United State na wengineo wakisema "West wame miscalculated response ya Russia" mjue wanamaanisha wanayoyazungumza japo wajinga wachache hawakosekani kuanza kuwaita Pro-Russia.

Oucchhhhaaao kila nikitype nazidi kunogewa hata sijui nimefika paragraph ya ngapi dadeki, likiwa gazeti someni kwa vituo huku mkishushia maji...

Pro Russia wenzangu, hata kama mnaelewa machache kuhusu huu mgogoro. Walau nyie hamjaingia kwenye msululu wa wale wanaopangiwa hisia na uelewa hadi kwenye mambo binafsi yanayowahusu.

Hivi vyombo vya habari kueni navyo makini sana. Ni kwamba Ukivipuuza utakuwa less informed na ukivifata mazima unakuwa misinformed. So now it's your choice, Uwe less Informed au Misinformed [emoji848].

Ingawa from my point of view, ni bora kua na machache ya kweli kuliko mengi ya Uongo.

Again niseme lingine kama ushauri tu, watu maarufu like artists, actors na hata baadhi katika matajiri. Mkiamua kuwafata, na kuwafanya role-models wenu basi wafateni with preucations... Wafateni mkiamini ni binadam wenzenu na sio kila walitamkalo au walifanyalo basi ni sawa na wanaloliacha si sawa... Maintain Your own Values wadau wangu.

Hizi mambo kama Wealth, Fame and Power ni Gereza kama Magereza mengine hasa yanapokuja nje ya jasho lako... I mean bila kuvisotea. Sio kwamba nakushauri usitafute la hasha, tafuta...

Narudia tena tutafute on our own, tusiwe wepesi wa kuchukua kitu inaitwa "msaada katika safari ya ushindi". Em fikiria unapewa umaarufu unatengenezewa scandal ya kuku-blackmail baadae kwenye kile watakachokihitaji kutoka kwako.

Imagine binti kama ngaboru, After rising into fame kulinda image yake nakamata udhaifu wake hivo hata nikimwambia katangaze ugasho mbio anaenda. Huo ni mfano tu. ngaboru nimekutolea mfano kwenye maelezo marefu haya. You know naku-admire as you are the only shangazi upande wetu! High Five to ya [emoji109]

Wadau, Let's fight for our freedom... hata kama huna uwezo wa kurusha ngumi kwa adui. Basi ongeza juhudi ujifunze umtambue adui yako. Ili akitaka kukuumiza basi hatokudhuru kiasi ambacho angekudhuru kama ungekua humtambui.

Mwisho mnisamehe post ndeeefu ha ha ha.
Hili gazeti limejaa fact asee
Kuna watu ngojea waje uone watakavyokurupuka
Ukweli west wame mis mahesabu kwenye haya mambo
Maana walidhania RUSSIA ni LIBYA kumbe wapi
Sasa acha waendelee kunyooshwa UMBWA hao navibaraka WAO
Tunaojitambua sanaa tunaenda na RUSSO
 
⚔️⚔️⚔️According to ukrainian channels there are now two camps in the Kiev Administration
One is Commander in Chief Zaluzhny and the US that want to retreat troops to „more secured lines“
The other is Yermak and Great Britain that want to fight for every city no matter the casualties in order to „receive more weapons“⚔️⚔️⚔️
 
Aisee hivi hujui Amerca wanaongoza kwenda dubai, qatar nk?.. kula bata au unakaza fuvu. Wakenya uchawa umepitiliza.

Kwanza unatoka nje ya mada hii ndo tabia yako, kama huna hoja unatafuta sababu nyingine. Kubishana na watoto ambao wapo kwenye foolish age ni kupoteza muda.

Dubai hawana uzombi wa kidini, ila pia hawajiachii kula bata kama ilivyo Marekani, inabidi nyote mpatamani.
 
Relax mkuu,we kaa angalia game inavyokwenda!

Kwa sasa nime-relax, nilipata tabu siku mlipeleka msafara wa kilomita 60 Kyev, nikajua kiama kwa Ukraine, ila baada ya limsafara lote kufyekwa, hofu ikaniisha, endeleeni huko kwenye tumiji twa mipakani.
 
Back
Top Bottom