Hivi hakuna entry qualifications ku-join JF? Mbona kuna watu mnavitendo vya hovyo hata shetani atakukana wewe.Umehamia kwenye maji na sukari, bangi bana.... Mrusi amewatesa sana kw udhaifu wake, kweli hata mimi sikutegemea atakua hovyo kihivyo...
Ungeishia kule kabisa, "hapa" karibu mno harufu bado inanipa shida and you know well how it stinky, is it?Kwa brua hii, ubongo wako umepitisha mionzi ya kutosha inayosababisha PANIC. Mara Mm nna thamani, ww ni mvulana, wewe dogo, boy. Sawa, Nakubali wewe ni mkubwa sana, kwa thamani yako sistahili kukudiscuss na wewe. Naishia hapa[emoji16].
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hakuna entry qualifications ku-join JF? Mbona kuna watu mnavitendo vya hovyo hata shetani atakukana wewe.
Vp tena? Si tumekubaliana hutojibu ili thamani isishuke? Vumilia vumilia huo umeme kichwani unaokupa panic utapita. Linda thamani kijana.Ungeishia kule kabisa, "hapa" karibu mno harufu bado inanipa shida and you know well how it stinky, is it?
Na ni vyema umejua next time ujipime size yako kubwa zitaku-overdose!
So tafuta watoto wenzio msimuliane huo utoto uloujaza kichwani.
Hivi hakuna entry qualifications ku-join JF? Mbona kuna watu mnavitendo vya hovyo hata shetani atakukana wewe.
Iyo hoja yako ya dini jumlisha waarabu imeflop, kwenye huu mjadala tunatofautiana kimtazamo ila linapokuja suala la dini,kabila,jamii na hali tuko pamoja ndio maana hauoni wenzako wakizungumzia hicho kipengele in short we love each other badly.Hamna, united ipi, hakuna mwafrika hata mmoja muumini wa dini ya waarabu ambaye kwa sasa hamuabudu Putin, mumeaminishwa kwa yeye kupambana na Ukraine anaikomoa Marekani na ukizingatia mlivyojazwa chuki dhidi ya Marekani (licha ya wengi wenu kutamani kwenda kula bata huko huko Marekani).
Kwa namna mnavyopata hasira kila mkiona taarifa za Urusi anavyteswa na hivi vita yaani napata raha sana.
shetani anawashangaa nyie mnaoshabika udhalimu unaofanywa na Urusi kisa chuki zenu dhidi ya Marekani mlizoaminshwa na dini.
@RootA Greek court has overruled a previous judgment that allowed the #US to seize a portion of an Iranian oil cargo aboard an Iranian-flagged tanker off the Greek coast, according to Reuters.
#Greece
#Iran https://t.co/Gid3GbX6If
Duh, hii umeitoa wapi Mlokozi[emoji33]Now we learn that in Yugoslavia bombing 23 years ago, NATO and US used 15T of small nuclear bombs as well as 22,000 tonnes of other bombs.
Thanks Chinese officials for disclosing.
Kwanini usishukuru kwa kuambiwa ukweli, bahati nzuri umepewa ushauri wa bure. Huu mda ungekua umekaa chini unatafakari juu ya uhuru wako. Mazingira hayo yana utofauti upi na mtoto wa boarding school?Kwa brua hii, ubongo wako umepitisha mionzi ya kutosha inayosababisha PANIC. Mara Mm nna thamani, ww ni mvulana, wewe dogo, boy. Sawa, Nakubali wewe ni mkubwa sana, kwa thamani yako sistahili kukudiscuss na wewe. Naishia hapa😁.
Nayaheshimu mawazo yako japo sijayaelewa. Umeongelea maisha ya sekondari, kuwa hopeless n.k labda nikuulize uhuru unaupimaje?Kwanini usishukuru kwa kuambiwa ukweli, bahati nzuri umepewa ushauri wa bure. Huu mda ungekua umekaa chini unatafakari juu ya uhuru wako. Mazingira hayo yana utofauti upi na mtoto wa boarding school?
Kuna ushauri mwingine unapewa katika njia inayo-disgust, but unakufaa sana kwa mtu aina yako.
Namna ulivo kwenye hizo post haishangazi kuwaona neno Uhuru wa kujiamulia kwenu ni kitendawili.
By the way, sio makosa yenu. Ni product ya elim iliyowakuza, since vidudu hadi elim za juu mnaelekezwa namna ya kuandika CV mpate kuajiriwa.
Am sorry to tell you this, but I should. Hey, you are Hopeless. Try harder kuondoa "less" ubaki na Hope maisha mafupi haya!
Hizo Airtime mnazowapa kwa kuingia nao mijadala ndio inayoongeza utopolo wao kwenye hii thread... Ukipiga buti kinyesi utakikuta mguuni.Nawauliza for last chance, hivi hakuna qualifications criterias za mtu ku-join JF? Kwa nini uwe Amoral kisa tu Pro NATO?
Ok, kisa uhuru wa mawazo!!!!!
Naona manato yanasuguana[emoji23][emoji3][emoji16]NATO Secretary General Jens Stoltenberg "unexpectedly" canceled a visit to Berlin, where he was supposed to meet with Chancellor Olaf Scholz. The reasons for this decision are not named, the German Defense Ministry said.
View attachment 2255295
Hivi hakuna entry qualifications ku-join JF? Mbona kuna watu mnavitendo vya hovyo hata shetani atakukana wewe.
Wapo wapo ila hawaushobokei mzozotokea hii operesheni ya kijeshi ilipoanza sijamsikia kiongozi yeyote wa Georgia akizungumza. Wapemba tuna msemo wetu "pigo lafunza".