Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Well said mdau!

Naomba nikazie ule mfano niliosema nimeupenda. Nataka niushereheshe kwa manufaa ya Pro-Russia lakini sio hao Makima msemo wa flani hapa.

Katika maeneo uliyoyataja nitatumia ramani tuelekezane vizuri.
View attachment 2257108

Hayo maeneo niliyoyawekea "black mark" ni machache kieneo na kiidadi ukilinganisha na ukubwa wa TZ. Lakini katika hiyo mikoa 9 hapo Juu ndipo kuna 43.5% ya Pato la Taifa (GDP) la Tanzania.

Kwenye hiyo Mikoa, ie. Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dar es Salaam, Morogoro, Lindi na Ruvuma... Dar es Salaam peke ake inachangia 17% percent ya Total Tanzania GDP. Dar yenyewe kwenye ramani iko hivi.
View attachment 2257119

Again tuongezee Zanzibar (Uliyoitolea mfano kama Snake Island) Zanzibar inachangia 5 point kadhaa asilimia za Pato la Taifa. Ukiongeza kwenye hiyo mikoa 9 means eneo la pwani kwa pamoja linachangia around 49% of Tanzania's GDP. Lakini Zanzibar yenyewe ndio hii
View attachment 2257120

Hivi leo namna tunavojiendesha hilo eneo la ukanda wa pwani likikaliwa na asiye rafiki basi Tanzania ina Collapse. Source ya nishati, Viwanda, na vingine viiingi vipo upande huo.

Kilimo Morogoro, Itabaki mbeya tu nao ambao kulingana na Idadi ya watu wanategemea kuzalisha kuuza nje ya Mkoa. Consumers wengi wapo upande huo.

All big Companies Headquartered in Dar es Salaam. Finacial service Zote makao makuu yapo huko. Kiasi ukiivuruga Dar tu umeivuruga Tanzania. Gas inasafirishwa kutoka mtwara kuja dar kuzalisha umeme. Ubungo ile ikizimwa Tanzania tunaenda gizani.

Sasa Pro-NATO kama wanashindwa kung'amua Ukubwa wa Pua sio wingi wa kamasi, Ama Ukubwa wa kichwa sio wingi wa Maarifa mtawaeleza nini waelewe?

Naandika haya kunufaisha Pro-Russia wenzangu, naaamini mmejifunza kitu na mnaeza tumia the same principle kwenye maisha yenu ya kila siku.

Kua na Afya sio kwa kula kilo 2 za mchele kila siku bali kwa kuupatia mwili lishe bora in a desirable quantity!

Sasa ndio kama hii Map!
View attachment 2257143

Huezi kuhusudu misaada ya ARV na Ndom za bure plus Vyoo ukaielewa.
Sio kwa haya madini nimeamini Pro_Russia ni wabobezi wa kuchambua kwa facts ,hili ni darasa tosha ukisoma comments za Pro_Nato utadhani teja kashika simu ndio anatype.
 
Hii vita mmepoteana mpaka mnaanza kuingiza maswala ya dini?🤔🤔🤔

Sikujua kuna udini hadi niliposhangaa kwamba hakuna hata mmoja mfuasi wa dini ya waarabu anayelaani mauaji au dhuluma zinazofanywa na Urusi, wafuasi wa dini zingine kidogo wako balanced, utaona wanalumbana kwa hoja wakiwa wapo wa pande zote mbili, ila hawa wa uarabuni hususan waliopo Bongo hawaambiwi kitu, akili zote zimehamia kwa Putin, wanamuona kama mtume.
 
Punguza basi mihemko,ni kweli ulishujudia msafara wa km 60 ukiteketezwa wote?Unajua msafara wa km 60 ni magari na vifaru vingapi?Hata ukipiga hesabu,utaona haingii akilini!
Hata picha zilizoko humu jukwaani hazisadiki hicho ukisemacho!Punguzeni mihemko kama njia ya kujipa faraja Kwa kipigo kinachoendela kutolewa na Bado Russia is advancing!
Sema Ukraine imechelewesha vita Kwa kufukia mabomu,kila wanalazimishwa kurudi nyuma,wanaacha wametega mabomu!Hapo inawalazimu Russia kwenda taratibu huku wakitegua mabomu yaliyofukiwa!
Raia wengi wa Ukraine wamekufa au kupoteza viungo kutokana na haya mabomu yaliyofukiwa na wajeda wa Ukraine!

Mapicha na video tulijaza humu kila siku nilikua napost jinsi msafara ulikua unaliwa shaba, leo uniambie nini, yaani nilikua nafurahi mpaka naumwa aki ya nani.
 
Sikujua kuna udini hadi niliposhangaa kwamba hakuna hata mmoja mfuasi wa dini ya waarabu anayelaani mauaji au dhuluma zinazofanywa na Urusi, wafuasi wa dini zingine kidogo wako balanced, utaona wanalumbana kwa hoja, ila hawa wa uarabuni hususan waliopo Bongo hawaambiwi kitu, akili zote zimehamia kwa Putin, wanamuona kama mtume.
Wewe hayo umejuaje?Kwani humu jukwaani tunatambuana Kwa dini au makabila?Aisee
 
Kweli pro nato/neutral ni vidumbusi ivi ile aibu aliyoipata ni wa kurudi uso mkavu hapa🙌🙌🙌🙌😂😂😂emu kalamu yako huo wino ni wa thamani sanaa bora utoe nondo tulishe ubongo....... MPE juvelina aka tarumbeta likamsumbue uko mbele ya safari.
Nitampa kalamu yangu org Ni zile za zamani zinaitwa BIC Ina wino natural na hauishi,atafurahishwa.
 
Wewe hayo umejuaje?Kwani humu jukwaani tunatambuana Kwa dini au makabila?Aisee

Mbona wanajulikana virahisi, tatizo wewe labda umekomalia hoja za Urusi tu huku, ila hawa hawa tunakutana kwenye hoja zingine kwingine ambapo huko wanatambulisha dini zao kwa malumbano ya kidini...
 
Fatilia historia vizuri kuhusu Ukraine in and out mpaka ambavyo Rais Petro Poroshenko aliingia madarakani kupitia uchaguzi mwaka 2014, na kisha 2019 akaingia huyu Muingizaji kupitia duru ya pili akimshinda Mtangulizi wake na Sasa huyu ndiyo kaitupa Ukraine pabaya. Fatilia ki intelejensia ujue kwa nini alifanywa kuwa rais.

Hakuna anae shadadia vita, sababu wanaumia na kufa binadamu wenzetu, na hapa ndo maana NATO wanachukiwa kwa sababu wao ni kiini cha tatizo ili kutimiza malengo yao. Fatilia bila bias utakubaliana na Russia kwakua ndo the only option iliyokua imebakia, kumbuka hata wewe pale wazazi, walezi au walimu walipo amua kukuchapa walijua wazi si vizuri sana lakini ndiyo njia pekee mbadala ya kukuweka sawa
Kiongozi shukrani kwa michango yako lakini rangi ya kijani unayotia inaumiza macho sana
 
Panya wengine wamenasa huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20220611-164615.jpg
 
Mapicha na video tulijaza humu kila siku nilikua napost jinsi msafara ulikua unaliwa shaba, leo uniambie nini, yaani nilikua nafurahi mpaka naumwa aki ya nani.
Ulihakikisha kwamba msafara wa km 60 ulifyekwa wote?Haya tuseme Kwa uchache,mitaa 100 ni magari vita matano,km 1 ni magari 50,km 60 ni magari 3000!Kweli hiyo namba inakuingia akilini?Kabisa?
Hayo maneno Yako ya mwisho yanadhihirisha namna gani hii vita imekuathiri afya Yako ya akili!
Relax,utateseka bure maana Ukraine hana nafasi ya kushinda dhidi ya malengo ya Russia!
Tuombe tu mambo yaishe Kwa mazungumzo,bila hivyo Ukraine will lose big time!
 
Mbona wanajulikana virahisi, tatizo wewe labda umekomalia hoja za Urusi tu huku, ila hawa hawa tunakutana kwenye hoja zingine kwingine ambapo huko wanatambulisha dini zao kwa malumbano ya kidini...
Kwahiyo hitimisho lako ni kwamba kila muislam anaunga mkono uvamizi wa Russia?Hizi kauli za jumla jumla zinamtoka mtu ambaye hajakomaa!
 
Back
Top Bottom