Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndege za Ukraine zinashushwa kama maembe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20220611-165915.jpg
 
Mh jomba bora hata kauli ya lee van cliff aliyesema jimbo. Unaposema Independent State ni kama TZ, Rwanda Burundi na nyinginezo. Hivi sasa Chechen ni Republic ndani ya Russia. Walikiwa "Independent" baada ya 1st Chechen war, na Russia kurudisha utawala wa hilo eneo after second Chechen War.

Chechen ipo under Control of Russian Federation. Unaweza kuilinganisha Chechen na Zanzibar kwa hapa Tanzania. Wana Rais wao lakini wapo ndani ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania.

Hakuna nchi inaitwa Chechen kama ilivyo Zanzibar. Ila kuna Russia Federation kama ilivyo Tanzania ambapo ndani yake utaikuta Chechen kama utakavyoipata Zanzibar ndani ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Huenda bendera zimemchanganya mwenzetu.

Nitumie nafasi hii kuwajuza wengine kidogo political system of Russia ilivyo.

Russia ama Russian federation ina federal subjects nyingi sana. Zipo hivi nitazitaja kwa kutumia msaada wa picha hapa chini.
Screenshot_20220611-170028.jpg


Kuna Republic 22 (Moja wapo ikiwa Chechen Republic, Hayo maeneo yenye Kijani kwenye hiyo Map), Oblast 46 (Maeneo yanye njano), Kraigs 9 (Hapo kwenye brown color), Autonomous Okrugs 4 (Rangi ya blue), Federal cities 3 (Hizo sehem zenye uwekundu), Autonomous Oblast (Eneo lenye rangi ya Zambarau).

Ili kufupisha hii post tujikite kwenye hizo Republics. Sifa ya hizi republic ni nyumbani kwa watu wenye asili moja. Mfano kama hawa Chechen(Chechnya), Chuvashia, Dagestan na nyinginezo. Hizi republic zina their own constitution, language, and legislature, lakini huwakilishwa na federal government in international affairs.

Mfano mzuri kama alioutoa Galip Vrl kwa Zanzibar ndani ya Tanzania.

Na kama haijaeleweka vizuri, naomba niwasogeze hapa kwenye hii Illustration nyingine.
TqPo.png


Hapo nilipoweka hizo dot mbili ndipo kuna wakuu wa hizo Republic na other federal Subjects kama Oblasts, Federal cities na zile autonomous tulizozitaja awali. Ambao mmoja kutoka serikalin na mwingine kutoka kwenye hizo regional parliament ndio wanaounda federation Council. Na federation Council pa1 na state Duma ndio wanaotengeneza hii inaitwa Federal Assembly.

What amazed me kwenye katiba ya Russia ni kua Raisi anachaguliwa kwa Popular Vote, yani Direct Vote kutoka kwa wananchi wala sio Baraza gani uko kukaa kujiteulia wanayemtaka kama wale wanaojisifu wakuu wa demokrasia duniani.

Kinachowachanganya nahisi ni bendera. Yes, hii flag ya 🇷🇺 tulioizoea ni Federal flag ila kila federal subject ina flag yao. Ndani ya Russia kuna Flags kama 82 hivi, Moscow wana ya kwao, St Petersburg wana yao na wengineo wote kama tulioizoea hii ya Chechnya.

Msaada wa kuelewa hili kwa Illustration ni kama chini hapo... Mtaiona Chechnya kwenye row ya kwanza na ya 5 kutoka kushoto...
9hspe66winb31.png


Baada ya hilo, ni kua mada yangu sijamaliza, kuna lililo la muhim zaidi ila nitaawambia baadae nikipata nafasi.

Katika hayo ni
1. Kuhusu hiyo Autonomous Oblast 1 pekee iliyopo Russia. Ni ya wa Jewish kina kitu hapo I bet it will blow your mind...

2. Kuhusu hiyo Federal Government of Russia ilivyo, baada ya hapo tuwaulize hawa wanaosema Russia kuna Udikteta watujuze ukoje...
 
In the UK, a transgender paramedic complained to the media that patients were spitting at her and refusing to help.

Steph Mich is one of the first paramedics in the country to openly change their gender. She said that she has been in the profession for about 20 years and after coming out she often encounters insults.

“When I walk in the door, I usually hear [from patients]: “What are you?” This not normal. There were cases when I treated people and they spat at me only for who I am, ”Metro quotes her.
20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
Huenda bendera zimemchanganya mwenzetu.

Nitumie nafasi hii kuwajuza wengine kidogo political system of Russia ilivyo.

Russia ama Russian federation ina federal subjects nyingi sana. Zipo hivi nitazitaja kwa kutumia msaada wa picha hapa chini.
View attachment 2257488

Kuna Republic 22 (Moja wapo ikiwa Chechen Republic, Hayo maeneo yenye Kijani kwenye hiyo Map), Oblast 46 (Maeneo yanye njano), Kraigs 9 (Hapo kwenye brown color), Autonomous Okrugs 4 (Rangi ya blue), Federal cities 3 (Hizo sehem zenye uwekundu), Autonomous Oblast (Eneo lenye rangi ya Zambarau).

Ili kufupisha hii post tujikite kwenye hizo Republics. Sifa ya hizi republic ni nyumbani kwa watu wenye asili moja. Mfano kama hawa Chechen(Chechnya), Chuvashia, Dagestan na nyinginezo. Hizi republic zina their own constitution, language, and legislature, lakini huwakilishwa na federal government in international affairs.

Mfano mzuri kama alioutoa Galip Vrl kwa Zanzibar ndani ya Tanzania.

Na kama haijaeleweka vizuri, naomba niwasogeze hapa kwenye hii Illustration nyingine.
View attachment 2257430

Hapo nilipoweka hizo dot mbili ndipo kuna wakuu wa hizo Republic na other federal Subjects kama Oblasts, Federal cities na zile autonomous tulizozitaja awali. Ambao mmoja kutoka serikalin na mwingine kutoka kwenye hizo regional parliament ndio wanaounda federation Council. Na federation Council pa1 na state Duma ndio wanaotengeneza hii inaitwa Federal Assembly.

What amazed me kwenye katiba ya Russia ni kua Raisi anachaguliwa kwa Popular Vote, yani Direct Vote kutoka kwa wananchi wala sio Baraza gani uko kukaa kujiteulia wanayemtaka kama wale wanaojisifu wakuu wa demokrasia duniani.

Kinachowachanganya nahisi ni bendera. Yes, hii flag ya [emoji635] tulioizoea ni Federal flag ila kila federal subject ina flag yao. Ndani ya Russia kuna Flags kama 82 hivi, Moscow wana ya kwao, St Petersburg wana yao na wengineo wote kama tulioizoea hii ya Chechnya.

Msaada wa kuelewa hili kwa Illustration ni kama chini hapo... Mtaiona Chechnya kwenye row ya kwanza na ya 5 kutoka kushoto...
View attachment 2257473

Baada ya hilo, ni kua mada yangu sijamaliza, kuna lililo la muhim zaidi ila nitaawambia baadae nikipata nafasi.

Katika hayo ni
1. Kuhusu hiyo Autonomous Oblast 1 pekee iliyopo Russia. Ni ya wa Jewish kina kitu hapo I bet it will blow your mind...

2. Kuhusu hiyo Federal Government of Russia ilivyo, baada ya hapo tuwaulize hawa wanaosema Russia kuna Udikteta watujuze ukoje...
Ask-Q mkuu pongezii sana umefafanua vizuri sana kwa undani.
 
Ulihakikisha kwamba msafara wa km 60 ulifyekwa wote?Haya tuseme Kwa uchache,mitaa 100 ni magari vita matano,km 1 ni magari 50,km 60 ni magari 3000!Kweli hiyo namba inakuingia akilini?Kabisa?
Hayo maneno Yako ya mwisho yanadhihirisha namna gani hii vita imekuathiri afya Yako ya akili!
Relax,utateseka bure maana Ukraine hana nafasi ya kushinda dhidi ya malengo ya Russia!
Tuombe tu mambo yaishe Kwa mazungumzo,bila hivyo Ukraine will lose big time!

Haikua kazi yangu kuhesabu na kuhakiki mita, yangu ilikua kusoma taarifa na kujaza mapicha na video humu, limsafara mlipotez lote likawa chakavu, sidhani kama kuna kipindi nitakua na furaha kama wakati huo, maana nilikua nimeingiwa na hofu ungedhani niko kwenyewe Ukraine.
 
Kwahiyo hitimisho lako ni kwamba kila muislam anaunga mkono uvamizi wa Russia?Hizi kauli za jumla jumla zinamtoka mtu ambaye hajakomaa!

Hitimisho langu kulingana na wote ambao nmehusiana nao aidha kwenye mitandao au mitaani, ni kama mumeingiwa na mapepo fulani hivi ya kumuabudu Putin.
 
Back
Top Bottom