Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna muda Zelensky Huwa Anakunywa mihadarati
20220502_010825 (1) (1) (1).png

The Chinese delegation left the hall during Zelensky's online speech at the Shangri-La Dialogue security summit in Singapore.

This was reported by the political scientist of the Center for Asian Studies Olivia Enos, but later deleted the tweet.

The Ukrainian president in his speech said that due to the disruption of grain supplies from Ukraine, the world, especially Asia and Africa, will face a famine that could lead to "the overthrow of the governments of many countries."

The Russian authorities have repeatedly pointed out that the West itself is to blame for the food crisis in the world, including in Europe.
 
Udikteta wa Putin ni huu hapa

1.Amebadilisha katiba ya Russia mara nyingi ili aweze kuendelea kukaa madarakani.

2.Putin akiwa Rais wa nchi yeye ndiye kiongozi mkuu wa nchi, akiwa nafasi ya Waziri mkuu yeye pia ndiye kiongozi mkuu wa nchi, katiba ya Russia hubadilishwa kulingana na mahitaji ya kumfanya yeye mkuu wakati wote[emoji1787]

3.Wapinzani na wakosoaji wa Putin wote walioko ndani ya nchi ama wameishia jela kwa makosa ya ajabu ajabu, wamepigwa risasi, wamelishwa sumu na wengine kufa kabisa, wamekimbia nchi au wamezuiwa na sheria kugombea.
Kwa uchache ni pamoja na Alexei Navalny, Sergei Magnitsky, Boris Nemtsov, Mikhail Borisovich Khodorkovsky

4.Vyombo vya habari vya Russia, haviwezi kuweka habari au mijadala ya mawazo kinyume cha Putin.

5.Hakuna uhuru wa mihimili Russia, mahakama na bunge vinaenda Putin anavyotaka.

6.Ameiba sana pesa za mafuta na gesi za nchi yake pamoja na kuwa na mshahara wa kawaida tu kama Marais wengine duniani anamiliki ukwasi wa kutisha, hiyo ni pamoja na majumba, magari na boti za kifahiri. Inakadiriwa kuwa anaweza kuwa mtu tajiri zaidi duniani kwa utajiri wa dola zaidi ya bilioni 200.
Huenda bendera zimemchanganya mwenzetu.

Nitumie nafasi hii kuwajuza wengine kidogo political system of Russia ilivyo.

Russia ama Russian federation ina federal subjects nyingi sana. Zipo hivi nitazitaja kwa kutumia msaada wa picha hapa chini.
View attachment 2257488

Kuna Republic 22 (Moja wapo ikiwa Chechen Republic, Hayo maeneo yenye Kijani kwenye hiyo Map), Oblast 46 (Maeneo yanye njano), Kraigs 9 (Hapo kwenye brown color), Autonomous Okrugs 4 (Rangi ya blue), Federal cities 3 (Hizo sehem zenye uwekundu), Autonomous Oblast (Eneo lenye rangi ya Zambarau).

Ili kufupisha hii post tujikite kwenye hizo Republics. Sifa ya hizi republic ni nyumbani kwa watu wenye asili moja. Mfano kama hawa Chechen(Chechnya), Chuvashia, Dagestan na nyinginezo. Hizi republic zina their own constitution, language, and legislature, lakini huwakilishwa na federal government in international affairs.

Mfano mzuri kama alioutoa Galip Vrl kwa Zanzibar ndani ya Tanzania.

Na kama haijaeleweka vizuri, naomba niwasogeze hapa kwenye hii Illustration nyingine.
View attachment 2257430

Hapo nilipoweka hizo dot mbili ndipo kuna wakuu wa hizo Republic na other federal Subjects kama Oblasts, Federal cities na zile autonomous tulizozitaja awali. Ambao mmoja kutoka serikalin na mwingine kutoka kwenye hizo regional parliament ndio wanaounda federation Council. Na federation Council pa1 na state Duma ndio wanaotengeneza hii inaitwa Federal Assembly.

What amazed me kwenye katiba ya Russia ni kua Raisi anachaguliwa kwa Popular Vote, yani Direct Vote kutoka kwa wananchi wala sio Baraza gani uko kukaa kujiteulia wanayemtaka kama wale wanaojisifu wakuu wa demokrasia duniani.

Kinachowachanganya nahisi ni bendera. Yes, hii flag ya [emoji635] tulioizoea ni Federal flag ila kila federal subject ina flag yao. Ndani ya Russia kuna Flags kama 82 hivi, Moscow wana ya kwao, St Petersburg wana yao na wengineo wote kama tulioizoea hii ya Chechnya.

Msaada wa kuelewa hili kwa Illustration ni kama chini hapo... Mtaiona Chechnya kwenye row ya kwanza na ya 5 kutoka kushoto...
View attachment 2257473

Baada ya hilo, ni kua mada yangu sijamaliza, kuna lililo la muhim zaidi ila nitaawambia baadae nikipata nafasi.

Katika hayo ni
1. Kuhusu hiyo Autonomous Oblast 1 pekee iliyopo Russia. Ni ya wa Jewish kina kitu hapo I bet it will blow your mind...

2. Kuhusu hiyo Federal Government of Russia ilivyo, baada ya hapo tuwaulize hawa wanaosema Russia kuna Udikteta watujuze ukoje...
 
India na China mahasimu wa jadi tena wapo kwenye mvutano wa mpaka, hawapikiki chungu kimoja.

Mexico ni jirani wa Marekani na mshirika mkubwa wa US kibiashara na hata kiusalama (Vita na drug cartels).

Turkey mwanachama wa NATO aliyeruhusu kambi yake ya anga kutumika na vikosi vya Marekani, bado anaiuzia Ukraine silaha (drones) na anapambana kujiunga EU.

Iran japo bado ana vikwazo ila anaweza kutumia huu mwanya wa Vita kupunguza makali ya vikwazo kwa kufungua soko jipya la mafuta.

Brazil anatafuta tu fursa mpya za kibiashara.

Hiyo ni njia ya Urusi kuonyesha bado wana ushawishi, hao wote bado wanategemea masoko ya nchi tajiri za G7.
Umeanza kurudi mstarini...... Hakuna kitu kibaya Kama ". DEAD CONSCIOUS".... Whilst your alive hii Ni SoMo la "phycology".... Pia katika SoMo "Logic and Reasoning" .... Hakuna kitu kibaya Kama Self Denial...wa kupenda kujifunza akajifunze hizo units za Philosophy na Logic and Reasoning ambazo nimezisoma miaka 3 ... Ukweli HAUPIGWI konzi...
 
Hizo nchi zimeamua zenyewe kwa ridhaa zao kuunda ushirika huo mpya wa G8, kama ambavyo kuna G7, G20, EU, NATO, EAC, AU n.k...

Sasa sijui wewe 'mGweno' wa 'Same milimani' walialia nini hapa?
Too low ...jifunze kujenga hoja
 
Kuhusu miji ya Ukraine aliyoizibiti Urusi.
Nianze
⚔️⚔️⚔️According to ukrainian channels there are now two camps in the Kiev Administration
One is Commander in Chief Zaluzhny and the US that want to retreat troops to „more secured lines“
The other is Yermak and Great Britain that want to fight for every city no matter the casualties in order to „receive more weapons“⚔️⚔️⚔️
Wataelewa tu mziki wa russia dadekii
 
1.Rais wa Russia anaweza kulivunja bunge la nchi hiyo.

2.Rais wa Russia ana mamlaka ya ku suspend sheria zinazotungwa na hizo zinazoitwa Republics.

3.Hao wakuu wote hizo federations anawapendekeza yeye Putin, Romzan Kadyrov wa Chechnya aliteuliwa na Putin.

4.Hizo Republics kila zinaendeshwa kwa sheria za double standards kulingana na umuhimu wake kiuchumi au ubishi wa watu wake. Kuna sheria ilipitishwa na Medvedev mwake 2010 wakuu wa hizo Republics wasijiite Marais, Republics ya Tatarstan wakagoma hadi aliporudi Putin[emoji1787]
Tatarstans wanalalamika sana jinsi Putin alivyopora mamlaka za majimbo kuhamishia serikali kuu.

Huo mfumo wa Republics/federalism wa Russia hauna tofauti na Congo inayojiita Jamuhuri ya "KiDemokrasia" ya Congo au Korea ya Kaskazini ya Kiduku inavyojiita "Jamuhuri ya Demokrasia" ya Korea[emoji1787]
Vipi kuhusu UK na malkia wao?
 
Starting July 1, gas tariffs for households in Latvia will increase from 65.6% to 89.9%.

This is reported by the BNS agency with reference to the Latvian gas company Latvijas Gāze.

For homes that consume up to four cubic meters of gas just for cooking, the fee will be about €10.56 per month (650 rubles) instead of the previous €7.67 (470 rubles). And for those who also use fuel for heating, the price will increase from €148 (9 thousand rubles) to €278.15 (17 thousand rubles) per month for about 180 cubic meters. m.

Earlier, the Minister of Economy of Latvia said that the country plans to abandon Russian gas from next year. Latvijas Gāze noted that this decision will lead to an energy crisis.

View attachment 2256443
Ulaya wanazidi kujiumiza wenyewe[emoji28]
 
India na China mahasimu wa jadi tena wapo kwenye mvutano wa mpaka, hawapikiki chungu kimoja.

Mexico ni jirani wa Marekani na mshirika mkubwa wa US kibiashara na hata kiusalama (Vita na drug cartels).

Turkey mwanachama wa NATO aliyeruhusu kambi yake ya anga kutumika na vikosi vya Marekani, bado anaiuzia Ukraine silaha (drones) na anapambana kujiunga EU.

Iran japo bado ana vikwazo ila anaweza kutumia huu mwanya wa Vita kupunguza makali ya vikwazo kwa kufungua soko jipya la mafuta.

Brazil anatafuta tu fursa mpya za kibiashara.

Hiyo ni njia ya Urusi kuonyesha bado wana ushawishi, hao wote bado wanategemea masoko ya nchi tajiri za G7.
Dah wewe jamaa ndio wale hua mnaamini kua USA ni mbinguni na Rais wa USA ni Mungu.
Maana hoja zako zote ni kuonesha kua USA ni Kila kitu,hakuna wengine wanaweza fanya bila USA.
Pole sana.
 
I ❤️ Putin
Dada Sky nimekufatikia muda mrefu na kwa komenti hii nimegundua kitu kimoja ulicho nacho.
Ni kuwa wewe ni mwema sana ,hupendi kuona mtu anaonewa,unapenda haki na kuheshimu watu wengine,hupendi blah blah,unapenda haki itendeke na ionekane kuwa imetendeka.
Na hiyo ndio tabia ya Putin.
Kwa kifupi umechagua upande wa haki.
Kwa kawaida Urusi ama china huanza na diplomasia na mwisho humaliza na vita ,
West hasa USA huanza na vita humaliza na diplomasia.

Putin ataleta heshima kwa wanaodharauliwa hapa duniani.
Hongera dada yangu.
 
Kwa mara ya mwanzo wasemaji na wanausalama wa jeshi la Ukraine wamekiri kwamba askari wao kwa sasa wameingia kiwewe na kuanza kukimbia vita.Wasemaji hao wamebainisha kuwa wakati wakitegemea misaada kutoka nchi za NATO wameishiwa na kila kitu hivyo kuongeza idadi ya vifo miongoni mwao kunakotia hofu askari waliobaki.
View attachment 2257406

Kuna habari nyingine hii hapa. Wajeshi wa Ukraine sahv unaambiwa wanavua jezi wanaacha wanakimbia sasa najiuliza kama wanakimbia uchi wakikutana na chenchns watapona kweli??. [emoji23][emoji23]
IMG_3643.jpg
 
Sijamquote mtu ila nawapa terminology mkazifanyie kazi .... Katika INTERNATIONAL TRADE ambayo ni SubTopic ya INTERNATIONAL ECONOMICS... na term zenyewe ni CAPITAL FLIGHT. NA CAPITAL INFLOW... mkizielewa hizi .... Pro-russia POPOTE Ulipo gambaaaaaaaaaa......sitaki kuwapa notsi mkajitafutie .... Hapa. PRONATOAMERICA ndio wakasome zaidi maaana ni vilaza...
 
Back
Top Bottom