Russia na NATO ikitokea mapigano zitapigwa ngumi hi hizi kwa nuclearMjinga mwingine ..... Wa ignore list.
Russia na NATO ikitokea mapigano zitapigwa ngumi hi hizi kwa nuclearMjinga mwingine ..... Wa ignore list.
Ule nasikia ulikua Ni wa $1tril mkuu.Msururu wa maderaya wa km 70 uliokuwa perished unadhani ulikuwa chini ya bil 40?
Waarabu na dini yao? Hi statement Ni Tata Sana lakini pia mwandishi anaonekana Bado anaishi kwenye cold war ambapo Soviet Russia ilikuwa na Marafiki was kweli ( allies) was kiarabu Misri, Saudia,Qatar, Libya, Iraq na wengine wengi ambapo kiukweli nchi hizi waislam Ni 99% kasoro Lebanon na Syria zenye idadai kubwa kabisa ya wasiokuwa waislam yaani wakristo na wasio wakristo.Wewe hayo maoni yako hayana umuhimu pale msafara ulishindwa kuiteka Kyev, uligeuzwa chuma chakavu.
Mrusi amewafeli waarabu na dini yao maana walimtegemea sana.
Jielemishe kwanza kabla hujaanza kueneza propaganda za Warusi, fahamu kuwa Latvia, Lithuania na Estonia wote ni majirani wa Urusi na ni wanachama wa NATO, tafuteni kigezo kingine. Kila taifa lipo huru kujiunga kwenye muungano wowote kwa maslahi ya watu wake na usalama wake, leo hii Zanzibar ikiachika na Tanganyika, watakua huru hata kuungana na Oman bila kusumbuliwa na JWTZ.Kwahyo ni haki za kibinadamu na demokrasia ya kuvunja mikataba inayozuia nchi zilizo nato,zikiongozwa na baba yao marekani kujisogeza base zao kuelekea east na kusettle Ukraine karibu na mipaka ya adui yao urusi sindio.
Waarabu na dini yao? Hi statement Ni Tata Sana lakini pia mwandishi anaonekana Bado anaishi kwenye cold war ambapo Soviet Russia ilikuwa na Marafiki was kweli ( allies) was kiarabu Misri, Saudia,Qatar, Libya, Iraq na wengine wengi ambapo kiukweli nchi hizi waislam Ni 99% kasoro Lebanon na Syria zenye idadai kubwa kabisa ya wasiokuwa waislam yaani wakristo na wasio wakristo.
Lakini kabla na baada ya Vita baridi hasa baada ya Yom Kippur war aliies was kiarabu wa Soviet Russia wote walihamia kuwa marafiki wa US. Mfano Misri iliingia mkataba was amani na Israel chini ya Us hivyo Misri ikawajaa chini ya US kiushawishi.
Vivyo hivyo kwa Saudia nk. Ni Saudia aliyetoa fedha za kugharamia Vita dhidi y Soviet Russia katika Afghanistan 1979-1988 kuonyesha Kwamba Yuko side ya Marekani.
Kwahiyo basi ukiitoa Syria na Lebanon kidogo Hakuna nchi ya kiarabu ambayo Ni rafiki wa kufa na kuzikana.
Nchi zote za kiarabu mfanowe Qatar,Oman, Saudia nk Sasa Ni marafiki wakubwa was US na Kuna makambi kibao ya kijeshi.
Ni ajabu unapotuaminisha Kwamba Kuna Urusi na Marafiki zake waarabu na dini yao!
Hukulijua hilo, ile tu kwamba Urusi alishindwa kuteka "Kyev" na kuishia kupambana na tumiji twa huko mipakani, huo ni ushindi kwa Ukraine, maana sote tulitegemea Ukraine kufunikwa ndani ya siku tatu kwa namna ambavyo huyo supapawa mchongo amekua akisifiwa.Kumbeee Ukraine wanaendelea kushinda vitaa
Ahahsh,acha wafeMbona zipo video zimepostiwa na wayukraine wenyewe jinsi wanavyo kufa kwa kufyatua tu kombora moja tu ndani ya sekunde wanalipuka wenyewe ...ngoja nijaribu kutafuta zile video walikuwa wanalalamika kuwa siraha za USA zinalipuliwa sekunde tu baada ya kuzifyatua
Wakenya cjui akili zenu huwa mmemuazima marekani,hivi kati ya mie nawew nani anatakiwa kujielimisha.Hizo nchi za latvia,Lithuania na Estonia wote hawakutakiwa kujiunga kabisa na nato,hii nikutokana na mikataba na makubaliano walioingia urusi na nchi za magharibi wakiongozwa na marekani.Lakin kutokana na viburi vyao walimdharau sana marehemu rais Boris yeltisin,napia nikipindi ambacho uchumi wa urusi hakua sawa,ambapo nato wakatumia mwanya huo na sababu ya kipumbavu ety kila nchi ina uhuru wa kuamua mambo yake bila kuingiliwa.Yaan unageuka makubaliano kwa sababu ya kipumbavu isiyo na mashiko.Aiya hapo ukumbuke putin alishawahi kumwambia rais wa zamani wa marekani bill clinton kuhusu urusi kujiunga nato.Jamaa akamchomolea kabisa kwa akili ya haraka hapa alinasa kwenye mtego wa putin vizury mno.akimanisha nato ipo kwa lengo la kuikabili urusi kijeshi na mbinu za ziada ili kuisambaratisha,mfano zile maabara za siri Ukraine zilizokua zinasimamiwa nawa marekani kwa siri wafikiri target ni nany?kama sio njia mojawapo ya kutishia usalama wa urusi,sasa basi putin alivyoingia madarakani karekebisha tatizo la uchumi la urusi nakupunguza deni la taifa. Pia alijitahidi sana kujaribu kushirikiana na nchi za umoja wa ulaya,lakin marekani hataki kusikia hilo kabisa tena akishirikiana na uingereza kufanikisha jambo ile halitakaa liende vizury.Hapo usisahau ushawishi wa kuisusia gesi ya urusi na bomba la nord stream 1 and 2 kwenda ujerumani.Pia kujaribu kumpindua rais halali kabisa wa syria Bashar al Assad,ili kuweka kibaraka syria ili wapitishe bomba la gesi kutoka Qatar,kwenda Europe ili kuuwa soko la gesi ya urusi ambayo nitegemezi kama nishati muhimu kwa uchumi wa nchi za ulaya.Kumbuka rais assad alikataa hili dili nakutaka bomba la irani ndio lipite kwenda ulaya mbona marekani n washirika wake walitaka kumg’oa wakati syria ilikua na uhuru kama usemavyo wew wa kuamua mambo yake bila kuingiliwa na mtu yoyote.Ni kwasababu irani ni adui mkubwa wa marekani hivyo gesi yake ingenda ulaya lazma angekubaliana na putin ili isijeleta madhara kwa uchumi wa urusi pia pande zote tatu yaan iran,syria na urusi wangepata faida wote bila kuwepo madhara kati yao.hapo ukumbuke marekani asingekua na maamuzi ya kuikontrol gesi hiyo.Ndio maana akachukia nakutaka kumua nakumpindua rais halali wa nchi ya syria.Mpaka hapo inaonesha putin(urusi)wamejitahid kuwa wa pole lakin bado wanatishiwa kiusalama na kiuchumi ulitaka putin akae kimya mpaka lini tena kwa dharau kubwa wakataka nato ikae Ukraine.Ndio putin akaona hapana lakin bado akaomba guarantee ya usalama wa taifa lake wakamdharau na kuanza kusuply weapon ukraine.Huku wakimsapoti puppet wa zelensky kwamba usiogope putin akivamia tutamwadhibu aiya kavamia kweli sasa kiko wapi?ulitak putin awapigie magoti na kuwalilia.kaamua kuchukua hatua mkononi mwake kulinusulu taifa lake ukiacha unafiki hata kama ungekuwa wew mkuu au marekani angefanya hivyohivy.Bado usisahau marekani na washirika wake wa nchi za ulaya kwa kutumia media zao kusambaza uongo,walihusika katika kumuondoa madarakani rais halali wa Ukraine victor yanukovich kisa alikataa mkopo wao na kuingiza Ukraine umoja wa ulaya.Nakuendeleza ushirikiano mkubwa na nchi ya urusi huu ni uhuru halali nayeye ni mkuu wanchi mbona waliweka uongo kwa wa ukraine na kuchochea maandamano yaliyotaka atoke madarakani tena almanusra auwawe ndipo akapewa hifadhi na putin nchini urusi.Umeona jinsi marekani na washirika wake wanavyomchukia na kutaka kuisambaratisha urusi,yaan wanatangaza amani,uhuru na blablah kibao huku wameficha mapanga.kabla ujazungumzia taifa langu la Tanzania kuvunjika muungano,kwanin usizungumzi chama cha Mombasa Republic Council (MRC)kilichokuwa kinataka kwa njia ya halali kabisa kujitenga na serikali ya Nairobi hapo mwaka 2011/2012.Na kilikuwa kinapata sapoti kutoka nchi za magharibi,tena kwa njia ya halali mbona serikali yenu ilikibatiza jina la Ugaidi na kumkamata rais wa chama hicho Omari muanazzi.kwa kupitia polisi wa kenya waliompa kipigo kidogo wamue,kama nyie na yule boya wenu huko umoja wa mataifa aliyemnyoshea kidole na kumsema putin, baada ya kuanza kuishughulikia ukraine.kwamba anataka alete vita vya dunia pia hataki kueshimu maamuzi ya uhuru wa ukraine.Huyo boya c aliteuliwa na serikali ya raisi kenyata.sasa mbona yeye,wew mkuu na serikali yenu hamkuunga na kueshimu uhuru wa Mombasa kujitenga chini ya chama cha mombasa republic council(mrc)na kuwa nchi huru ebu nionyeshe mkuu wapi ulipinga swala la baadhi ya raia wenzako wa kenya kuitwa magaidi baada ya kuomba uhuru wa kujitenga na mombasa yao kuwa nchi huru.Mkuu acha unafiki napia punguza mahaba ya kijinga.Jielemishe kwanza kabla hujaanza kueneza propaganda za Warusi, fahamu kuwa Latvia, Lithuania na Estonia wote ni majirani wa Urusi na ni wanachama wa NATO, tafuteni kigezo kingine. Kila taifa lipo huru kujiunga kwenye muungano wowote kwa maslahi ya watu wake na usalama wake, leo hii Zanzibar ikiachika na Tanganyika, watakua huru hata kuungana na Oman bila kusumbuliwa na JWTZ.
Wakenya cjui akili zenu huwa mmemuazima marekani,hivi kati ya mie nawew nani anatakiwa kujielimisha.Hizo nchi za latvia,Lithuania na Estonia wote hawakutakiwa kujiunga kabisa na nato,hii nikutokana na mikataba na makubaliano walioingia urusi na nchi za magharibi wakiongozwa na marekani.Lakin kutokana na viburi vyao walimdharau sana marehemu rais Boris yeltisin,napia nikipindi ambacho uchumi wa urusi hakua sawa,ambapo nato wakatumia mwanya huo na sababu ya kipumbavu ety kila nchi ina uhuru wa kuamua mambo yake bila kuingiliwa.Yaan unageuka makubaliano kwa sababu ya kipumbavu isiyo na mashiko.Aiya hapo ukumbuke putin alishawahi kumwambia rais wa zamani wa marekani bill clinton kuhusu urusi kujiunga nato.Jamaa akamchomolea kabisa kwa akili ya haraka hapa alinasa kwenye mtego wa putin vizury mno.akimanisha nato ipo kwa lengo la kuikabili urusi kijeshi na mbinu za ziada ili kuisambaratisha,mfano zile maabara za siri Ukraine zilizokua zinasimamiwa nawa marekani kwa siri wafikiri target ni nany?kama sio njia mojawapo ya kutishia usalama wa urusi,sasa basi putin alivyoingia madarakani karekebisha tatizo la uchumi la urusi nakupunguza deni la taifa. Pia alijitahidi sana kujaribu kushirikiana na nchi za umoja wa ulaya,lakin marekani hataki kusikia hilo kabisa tena akishirikiana na uingereza kufanikisha jambo ile halitakaa liende vizury.Hapo usisahau ushawishi wa kuisusia gesi ya urusi na bomba la nord stream 1 and 2 kwenda ujerumani.Pia kujaribu kumpindua rais halali kabisa wa syria Bashar al Assad,ili kuweka kibaraka syria ili wapitishe bomba la gesi kutoka Qatar,kwenda Europe ili kuuwa soko la gesi ya urusi ambayo nitegemezi kama nishati muhimu kwa uchumi wa nchi za ulaya.Kumbuka rais assad alikataa hili dili nakutaka bomba la irani ndio lipite kwenda ulaya mbona marekani n washirika wake walitaka kumg’oa wakati syria ilikua na uhuru kama usemavyo wew wa kuamua mambo yake bila kuingiliwa na mtu yoyote.Ni kwasababu irani ni adui mkubwa wa marekani hivyo gesi yake ingenda ulaya lazma angekubaliana na putin ili isijeleta madhara kwa uchumi wa urusi pia pande zote tatu yaan iran,syria na urusi wangepata faida wote bila kuwepo madhara kati yao.hapo ukumbuke marekani asingekua na maamuzi ya kuikontrol gesi hiyo.Ndio maana akachukia nakutaka kumua nakumpindua rais halali wa nchi ya syria.Mpaka hapo inaonesha putin(urusi)wamejitahid kuwa wa pole lakin bado wanatishiwa kiusalama na kiuchumi ulitaka putin akae kimya mpaka lini tena kwa dharau kubwa wakataka nato ikae Ukraine.Ndio putin akaona hapana lakin bado akaomba guarantee ya usalama wa taifa lake wakamdharau na kuanza kusuply weapon ukraine.Huku wakimsapoti puppet wa zelensky kwamba usiogope putin akivamia tutamwadhibu aiya kavamia kweli sasa kiko wapi?ulitak putin awapigie magoti na kuwalilia.kaamua kuchukua hatua mkononi mwake kulinusulu taifa lake ukiacha unafiki hata kama ungekuwa wew mkuu au marekani angefanya hivyohivy.Bado usisahau marekani na washirika wake wa nchi za ulaya kwa kutumia media zao kusambaza uongo,walihusika katika kumuondoa madarakani rais halali wa Ukraine victor yanukovich kisa alikataa mkopo wao na kuingiza Ukraine umoja wa ulaya.Nakuendeleza ushirikiano mkubwa na nchi ya urusi huu ni uhuru halali nayeye ni mkuu wanchi mbona waliweka uongo kwa wa ukraine na kuchochea maandamano yaliyotaka atoke madarakani tena almanusra auwawe ndipo akapewa hifadhi na putin nchini urusi.Umeona jinsi marekani na washirika wake wanavyomchukia na kutaka kuisambaratisha urusi,yaan wanatangaza amani,uhuru na blablah kibao huku wameficha mapanga.kabla ujazungumzia taifa langu la Tanzania kuvunjika muungano,kwanin usizungumzi chama cha Mombasa Republic Council (MRC)kilichokuwa kinataka kwa njia ya halali kabisa kujitenga na serikali ya Nairobi hapo mwaka 2011/2012.Na kilikuwa kinapata sapoti kutoka nchi za magharibi,tena kwa njia ya halali mbona serikali yenu ilikibatiza jina la Ugaidi na kumkamata rais wa chama hicho Omari muanazzi.kwa kupitia polisi wa kenya waliompa kipigo kidogo wamue,kama nyie na yule boya wenu huko umoja wa mataifa aliyemnyoshea kidole na kumsema putin, baada ya kuanza kuishughulikia ukraine.kwamba anataka alete vita vya dunia pia hataki kueshimu maamuzi ya uhuru wa ukraine.Huyo boya c aliteuliwa na serikali ya raisi kenyata.sasa mbona yeye,wew mkuu na serikali yenu hamkuunga na kueshimu uhuru wa Mombasa kujitenga chini ya chama cha mombasa republic council(mrc)na kuwa nchi huru ebu nionyeshe mkuu wapi ulipinga swala la baadhi ya raia wenzako wa kenya kuitwa magaidi baada ya kuomba uhuru wa kujitenga na mombasa yao kuwa nchi huru.Mkuu acha unafiki napia punguza mahaba ya kijinga.
Nilijua hapo hutoki,hizo blahblah zako means nonsense napia ni kutafuta sababu ya kujitetea tu pathetic.Hili liinsha lote unamuandikia nani, hata haujui namna ya kupanga maneno, limeshikana lote haujagawa kwenye paragraphs, sijui uliishia la ngapi kielimu, limenichosha sijalisoma, kimsingi pointi yangu ni ile ile, hakuna nchi ya kumpangia mwenzake, hao Latvia leo Urusi hawezi kuwagusa maana ni wanachama wa NATO licha ya kwamba ni jirani zake.
Hukulijua hilo, ile tu kwamba Urusi alishindwa kuteka "Kyev" na kuishia kupambana na tumiji twa huko mipakani, huo ni ushindi kwa Ukraine, maana sote tulitegemea Ukraine kufunikwa ndani ya siku tatu kwa namna ambavyo huyo supapawa mchongo amekua akisifiwa.
Hizo silaha zimeshafika siku nyingi ila waukraine na nato wanadai hizo silaha zimekuwa ONE SHOOT AND THEN YOU DIE ...wanasema ukizifyatua tu nikama kujilipua mwenyewe maana ndani ya sekunde 2 tu unakuwa umesha lipuliwa hivyo ukizitumia unatakiwa kuwa na mbio za kufa mtu ili kuzikimbia mara tu baada ya kuvyatua bomu la kwanza
habari ya muda hii tena ilikuwa ni wa UkraineWanajeshi 14 Wa Kikosi Maalum Cha Jeshi La Urusi Wauwawa katika na UKRAINE [emoji848]
View attachment 2259028View attachment 2259030View attachment 2259031
Hukulijua hilo, ile tu kwamba Urusi alishindwa kuteka "Kyev" na kuishia kupambana na tumiji twa huko mipakani.
Kuwa muelewa mnama,latest hakuna tunalazimika kuzimua za zaman[emoji41][emoji41][emoji41]habari ya muda hii tena ilikuwa ni wa Ukraine
ProPutin mnafikiri Warusi ni malaika kwamba hawafi Kwa risasi/mabomu?Weka hiyo habari hapa kukanusha badala ya kuja na hoja nyepesi🤔habari ya muda hii tena ilikuwa ni wa Ukraine