Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vita ni gharama nami nijuacho Russia hii vita itamshinda sababu ni nyingi mno za Russia kushindwa, tusiangalie vita imeanzaje tuangalie vita inaishaje unaweza kukurupuka mwanzo na mbwembwe kumbe wenzio wanakuangalia kwanza yale mataifa ni mengi na ni tajiri, katika historia za alliance hawajawahi kushindwa vita.
Kwamba Russia yeye hawezi kufanya Alliance na China na North Korea?
 
Waarabu na dini yao? Hi statement Ni Tata Sana lakini pia mwandishi anaonekana Bado anaishi kwenye cold war ambapo Soviet Russia ilikuwa na Marafiki was kweli ( allies) was kiarabu Misri, Saudia,Qatar, Libya, Iraq na wengine wengi ambapo kiukweli nchi hizi waislam Ni 99% kasoro Lebanon na Syria zenye idadai kubwa kabisa ya wasiokuwa waislam yaani wakristo na wasio wakristo.
Lakini kabla na baada ya Vita baridi hasa baada ya Yom Kippur war aliies was kiarabu wa Soviet Russia wote walihamia kuwa marafiki wa US. Mfano Misri iliingia mkataba was amani na Israel chini ya Us hivyo Misri ikawajaa chini ya US kiushawishi.
Vivyo hivyo kwa Saudia nk. Ni Saudia aliyetoa fedha za kugharamia Vita dhidi y Soviet Russia katika Afghanistan 1979-1988 kuonyesha Kwamba Yuko side ya Marekani.
Kwahiyo basi ukiitoa Syria na Lebanon kidogo Hakuna nchi ya kiarabu ambayo Ni rafiki wa kufa na kuzikana.
Nchi zote za kiarabu mfanowe Qatar,Oman, Saudia nk Sasa Ni marafiki wakubwa was US na Kuna makambi kibao ya kijeshi.
Ni ajabu unapotuaminisha Kwamba Kuna Urusi na Marafiki zake waarabu na dini yao!
Akili zile zile za kitoto, watu wakihoji kuhusu Iraq, Syria, Palestine, Libya kisa hayo maeneo yana population kubwa ya Muslims wanachukulia kama kuna udini ukikaa upande wa Russia.

Upuuzi wa ngazi ya PhD.
 
Hizo silaha zimeshafika siku nyingi ila waukraine na nato wanadai hizo silaha zimekuwa ONE SHOOT AND THEN YOU DIE ...wanasema ukizifyatua tu nikama kujilipua mwenyewe maana ndani ya sekunde 2 tu unakuwa umesha lipuliwa hivyo ukizitumia unatakiwa kuwa na mbio za kufa mtu ili kuzikimbia mara tu baada ya kuvyatua bomu la kwanza
Hahahahahahahah halafu kuna kima wanamchukulia mrusi kama Tom & Jerry😀
 
Wakenya cjui akili zenu huwa mmemuazima marekani,hivi kati ya mie nawew nani anatakiwa kujielimisha.Hizo nchi za latvia,Lithuania na Estonia wote hawakutakiwa kujiunga kabisa na nato,hii nikutokana na mikataba na makubaliano walioingia urusi na nchi za magharibi wakiongozwa na marekani.Lakin kutokana na viburi vyao walimdharau sana marehemu rais Boris yeltisin,napia nikipindi ambacho uchumi wa urusi hakua sawa,ambapo nato wakatumia mwanya huo na sababu ya kipumbavu ety kila nchi ina uhuru wa kuamua mambo yake bila kuingiliwa.Yaan unageuka makubaliano kwa sababu ya kipumbavu isiyo na mashiko.Aiya hapo ukumbuke putin alishawahi kumwambia rais wa zamani wa marekani bill clinton kuhusu urusi kujiunga nato.Jamaa akamchomolea kabisa kwa akili ya haraka hapa alinasa kwenye mtego wa putin vizury mno.akimanisha nato ipo kwa lengo la kuikabili urusi kijeshi na mbinu za ziada ili kuisambaratisha,mfano zile maabara za siri Ukraine zilizokua zinasimamiwa nawa marekani kwa siri wafikiri target ni nany?kama sio njia mojawapo ya kutishia usalama wa urusi,sasa basi putin alivyoingia madarakani karekebisha tatizo la uchumi la urusi nakupunguza deni la taifa. Pia alijitahidi sana kujaribu kushirikiana na nchi za umoja wa ulaya,lakin marekani hataki kusikia hilo kabisa tena akishirikiana na uingereza kufanikisha jambo ile halitakaa liende vizury.Hapo usisahau ushawishi wa kuisusia gesi ya urusi na bomba la nord stream 1 and 2 kwenda ujerumani.Pia kujaribu kumpindua rais halali kabisa wa syria Bashar al Assad,ili kuweka kibaraka syria ili wapitishe bomba la gesi kutoka Qatar,kwenda Europe ili kuuwa soko la gesi ya urusi ambayo nitegemezi kama nishati muhimu kwa uchumi wa nchi za ulaya.Kumbuka rais assad alikataa hili dili nakutaka bomba la irani ndio lipite kwenda ulaya mbona marekani n washirika wake walitaka kumg’oa wakati syria ilikua na uhuru kama usemavyo wew wa kuamua mambo yake bila kuingiliwa na mtu yoyote.Ni kwasababu irani ni adui mkubwa wa marekani hivyo gesi yake ingenda ulaya lazma angekubaliana na putin ili isijeleta madhara kwa uchumi wa urusi pia pande zote tatu yaan iran,syria na urusi wangepata faida wote bila kuwepo madhara kati yao.hapo ukumbuke marekani asingekua na maamuzi ya kuikontrol gesi hiyo.Ndio maana akachukia nakutaka kumua nakumpindua rais halali wa nchi ya syria.Mpaka hapo inaonesha putin(urusi)wamejitahid kuwa wa pole lakin bado wanatishiwa kiusalama na kiuchumi ulitaka putin akae kimya mpaka lini tena kwa dharau kubwa wakataka nato ikae Ukraine.Ndio putin akaona hapana lakin bado akaomba guarantee ya usalama wa taifa lake wakamdharau na kuanza kusuply weapon ukraine.Huku wakimsapoti puppet wa zelensky kwamba usiogope putin akivamia tutamwadhibu aiya kavamia kweli sasa kiko wapi?ulitak putin awapigie magoti na kuwalilia.kaamua kuchukua hatua mkononi mwake kulinusulu taifa lake ukiacha unafiki hata kama ungekuwa wew mkuu au marekani angefanya hivyohivy.Bado usisahau marekani na washirika wake wa nchi za ulaya kwa kutumia media zao kusambaza uongo,walihusika katika kumuondoa madarakani rais halali wa Ukraine victor yanukovich kisa alikataa mkopo wao na kuingiza Ukraine umoja wa ulaya.Nakuendeleza ushirikiano mkubwa na nchi ya urusi huu ni uhuru halali nayeye ni mkuu wanchi mbona waliweka uongo kwa wa ukraine na kuchochea maandamano yaliyotaka atoke madarakani tena almanusra auwawe ndipo akapewa hifadhi na putin nchini urusi.Umeona jinsi marekani na washirika wake wanavyomchukia na kutaka kuisambaratisha urusi,yaan wanatangaza amani,uhuru na blablah kibao huku wameficha mapanga.kabla ujazungumzia taifa langu la Tanzania kuvunjika muungano,kwanin usizungumzi chama cha Mombasa Republic Council (MRC)kilichokuwa kinataka kwa njia ya halali kabisa kujitenga na serikali ya Nairobi hapo mwaka 2011/2012.Na kilikuwa kinapata sapoti kutoka nchi za magharibi,tena kwa njia ya halali mbona serikali yenu ilikibatiza jina la Ugaidi na kumkamata rais wa chama hicho Omari muanazzi.kwa kupitia polisi wa kenya waliompa kipigo kidogo wamue,kama nyie na yule boya wenu huko umoja wa mataifa aliyemnyoshea kidole na kumsema putin, baada ya kuanza kuishughulikia ukraine.kwamba anataka alete vita vya dunia pia hataki kueshimu maamuzi ya uhuru wa ukraine.Huyo boya c aliteuliwa na serikali ya raisi kenyata.sasa mbona yeye,wew mkuu na serikali yenu hamkuunga na kueshimu uhuru wa Mombasa kujitenga chini ya chama cha mombasa republic council(mrc)na kuwa nchi huru ebu nionyeshe mkuu wapi ulipinga swala la baadhi ya raia wenzako wa kenya kuitwa magaidi baada ya kuomba uhuru wa kujitenga na mombasa yao kuwa nchi huru.Mkuu acha unafiki napia punguza mahaba ya kijinga.
King Faisal

His Majesty

Ahsante sana kwa "Maziwa" haya, yanakuza ubongo na kuleta afya ya akili.
 
Hamna unapo zifyatua tu ndiyo unakuwa kama umezipa location silaha za mrusi ...yaani technology ya mrusi ipo juu kuzitambua zinapo fyatuliwa tu ndani ya sekunde 2 tu zinalipuliwa na mrusi
😀😀😀😀😀 air defense za mrusi zitakuwa zina detect kwa gps kombora likifyatuka tu, nafikiri ni ile GLONASS ndani ya dkk 0 zinakuwa zimeshakulipua na wewe ni aidha uwe umesepa au umelipuka😀!!!

Haya ndio mambo yanamkosesha Usingizi Biden anatamani hata Putin afe ghafla tu.
 
Hukulijua hilo, ile tu kwamba Urusi alishindwa kuteka "Kyev" na kuishia kupambana na tumiji twa huko mipakani, huo ni ushindi kwa Ukraine, maana sote tulitegemea Ukraine kufunikwa ndani ya siku tatu kwa namna ambavyo huyo supapawa mchongo amekua akisifiwa.
Kasaidie ndugu zako wanaovunjwa miguu Ngorongoro huko au nahili upo upande wa FFU?
 
===
NATO wenyewe wameishaelekea kukubali matokeo. Mkuu, Wewe nani
Upinge?
====

Matokeo ya kwamba Kyev imetekwa na Zelensky kubadilishwa?
 
BBC yaripoti kwa mzajonzi kuwa mwanajeshi wa Jeshi la Uingereza aitwaye Jordan Gatley 'ameliwa kichwa' na majeshi ya Urusi kwenye mapigano ya Severodonetsk, huko Ukraine.

Jordan Gatley aliruhusiwa mwezi March na Jeshi la Uingereza (alikuwa bado mwanajeshi wa jeshi hilo) kwenda Ukraine kupigana vita dhidi ya Urusi. Majeshi ya Urusi yameshamdedisha na kupeleka msiba fasta kwa Boris Johnson, Uingereza.

Tulisema hapa kuwa Urusi inapigana na NATO nchini Ukraine, mpaka wanajeshi wa NATO wanapokufa au kukamatwa ndio huwa wanatangazwa na nchi zao.

Yoda, Mwanamkiwi, Proved, T14 Armata, MK254 poleni kwa kupoteza wanajeshi wa NATO mliowatoa kafara kwenye makombora na mizinga ya Urusi.

Screenshot_20220613-090042_Samsung Internet.jpg
SmartSelect_20220613-090128_Samsung Internet.jpg
 
Kama mliweza kuulinda Mji Mkuu (Kyev) kwa nini sasa mruhusu miji midogo midogo kutekwa?

If you have muscles to defend capital city why it has become easy to lose small towns! Is Russia weak or Ukraine weak?

Hiyo midogo midogo itashughulkiwa tu, kwanza inabidi tushangae tuliwezaje kumfukuza Mrusi Kyev, yaani Mrusi huyu mmoja ambaye ameogopowa siku zote, supapawa, yaani ambaye tegemezi la waarabu na dini yao na wafuasi wao wote duniani walimtegemea yeye, ndiye alionekana kama komesha la Marekani, humu nyuzi zilirindima za kututisha kwanza pale limsafara lilianza safari, ila kwa namna lilifyekwa...kha

Ni kama leo Liverpool waje kucheza dhidi ya Kagera sugar, wafunge mabao mawili, ila wadhitiwe hadi kurudi nyuma, mtaogopa hata kuwafuata huko kushambulia maana mamuamini macho yenu, mpaka mtakua muda wote mnaogopa labda wana kingine hawa.
 
BBC yaripoti kwa mzajonzi kuwa mwanajeshi wa Jeshi la Uingereza aitwaye Jordan Gatley 'ameliwa kichwa' na majeshi ya Urusi kwenye mapigano ya Severodonetsk, huko Ukraine.

Jordan Gatley aliruhusiwa mwezi March na Jeshi la Uingereza (alikuwa bado mwanajeshi wa jeshi hilo) kwenda Ukraine kupigana vita dhidi ya Urusi. Majeshi ya Urusi yameshamdedisha na kupeleka msiba fasta kwa Boris Johnson, Uingereza.

Tulisema hapa kuwa Urusi inapigana na NATO nchini Ukraine, mpaka wanajeshi wa NATO wanapokufa au kukamatwa ndio huwa wanatangazwa na nchi zao.

Yoda, Mwanamkiwi, Proved, T14 Armata, MK254 poleni kwa kupoteza wanajeshi wa NATO mliowatoa kafara kwenye makombora na mizinga ya Urusi.

View attachment 2259097View attachment 2259098

Hongera zake huyo shujaa, natamani ningekua na ujuzi wa kijeshi niende kufia huko, maana hicho ndio kifo cha haki, unakufa kishujaa ukitetea dhidi ya unyanyasaji, udhulumwaji.....
Sio kule kujilipua mabomu wale wajinga wa dini ya mwarabu ambao huamini kwa kujilipua watapata mabikira 72
 
Kasaidie ndugu zako wanaovunjwa miguu Ngorongoro huko au nahili upo upande wa FFU?

Duh! Humu ni Ukraine na Urusi, hao hawahusiani....ila hao Wamaasai nao wanapaswa kubadilika na nyakati, wanafanya nini maporini huko, Kenya ilishapitishwa sheria kila mtoto aingie shuleni, haijalishi mnaishi na simba au la, nyote shuleni.
 
BBC yaripoti kwa mzajonzi kuwa mwanajeshi wa Jeshi la Uingereza aitwaye Jordan Gatley 'ameliwa kichwa' na majeshi ya Urusi kwenye mapigano ya Severodonetsk, huko Ukraine.

Jordan Gatley aliruhusiwa mwezi March na Jeshi la Uingereza (alikuwa bado mwanajeshi wa jeshi hilo) kwenda Ukraine kupigana vita dhidi ya Urusi. Majeshi ya Urusi yameshamdedisha na kupeleka msiba fasta kwa Boris Johnson, Uingereza.

Tulisema hapa kuwa Urusi inapigana na NATO nchini Ukraine, mpaka wanajeshi wa NATO wanapokufa au kukamatwa ndio huwa wanatangazwa na nchi zao.

Yoda, Mwanamkiwi, Proved, T14 Armata, MK254 poleni kwa kupoteza wanajeshi wa NATO mliowatoa kafara kwenye makombora na mizinga ya Urusi.

View attachment 2259097View attachment 2259098
Huyu alitaka kuwa mwamba mbele ya miamba sasa wacha wakae matanga MRUSI mzee wangu endelea kula kitu cha SKANKA
 
Back
Top Bottom