Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
⚔️⚔️⚔️In the liberated Melitopol, the flag of the Russian Federation was raised on the Day of Russia⚔️⚔️⚔️
Chama linapepea Manigga PUTIN bado ni Top 1View attachment 2258048
⚔️⚔️⚔️In the liberated Melitopol, the flag of the Russian Federation was raised on the Day of Russia⚔️⚔️⚔️
NDIO,
Refer to SODOMA na GOMORA Mungu mwenyewe aliwateketeza
jamaa alijua eti waislamu pekee yao ndio wanamsupport putin kumbe wakristo tunajua ubaya wa west tupo. Hata ivyo jamaa naona ni mweupe kabisa kwenye Mambo ya dini nime mwambia Kama anamlaani Putin kwa kutumia maandiko hivyohivyo amlaani zelensky kwa kutokumpenda jirani yake kwa kutaka kumkutunisha jirani na adui . Jamaa ameishia kusema mm nina majini sijui ndo nini
"kyev" ni wapi Mkuu?Sasa mbona huyo Urusi wenu ameshindwa kuiangamiza Ukraine ya mashoga kama mnavyodai anatumika na Mungu, maana kashindwa pale Kyev, amekwenda kuparama tumiji twa mipakani.
Obama nae huwa simuelewi kabisa, kuna hii mwamba sijui ni kweli sijui vipi, achana na hizo picha za pembeni. Angalia video kwa umakini.
View attachment 2258012
"kyev" ni wapi Mkuu?
Kuna video moja ilitumwa humu sikumbuki ni Nani alituma,
Ni Ile jamaa anatoa ushahidi kuwa akifanya kila Jambo kuwaaambia marekani na NATO kuwa Iraq haina silaha za maangamizi Ila walimpuuza,
Mwenye nayo naiomba 🙏🙏🙏🙏