Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Donetsk has been a major economic, industrial and scientific centre of Ukraine with a high concentration of heavy industries and a skilled workforce. The density of heavy industries (predominantly steel production, chemical industry, and coal mining) determined the city's challenging ecological situation.
 
Wakati Zelensky akiendelea kushinda vita vya Ukraine huko mitandaoni twitter, BBC yaripoti kuwa Russia inagawa passports za Russia kwa wakazi wa majiji ya Kherson na Melitopol (Ukraine) ambao wameomba passport za Urusi na uraia wa Urusi (wanauvua uraia wa Ukraine rasmi). Zelensky amelalamikia hatua hiyo ya Russia akidai kuwa Russia yatengeneza raia wa Russia kwenye ardhi ya Ukraine..
View attachment 2257910
View attachment 2257911
Watulie tu si Russia anapoteza vita na ameishiwa siraha
 
.
Screenshot_20220612-140646.jpg
 
Nataka niwafundishe somo kwa picha. Eneo lililochukuliwa na Russia linaumuhimu gani kwa Ukraine.

Population as of November 1st 2015

RankingPrefecturePopulationUrban populationRural population
1Donetsk Oblast4,387,7023,973,317414,385
2Dnipropetrovsk Oblast3,258,7052,724,872533,833
3Kyiv 2,900,9202,900,920-N/A-
4Kharkiv Oblast2,720,3422,193,027527,315
5Lviv Oblast2,535,4761,545,628989,848
6Odessa Oblast2,387,2821,592,602794,680
7Luhansk Oblast2,263,6761,963,80
 
Saivi nguvu kubwa ipo kwa watu weusi,maana kwa wazungu wengi hiyo hali naona ishakuwa ya kawaida.kibaya zaidi huko marekani mashoga wamepewa hadi sheria za kuwafanya kuadopt na kulea watoto.Hapo mkuu wajiuliza why?wakati wao wamechagua wenyewe staili yao ya kuishi,ambayo ni vigumu kupata watoto.lakin hapo unaona lengo nikwamba katika malezu ya hao watoto kufindishwa vitendo vya kishoga ni lazma.Napia kuna asilimia kubwa ya wao kuwa mashoga,hapo wanakuambia ni demokrasia na haki za binadamu.Huu ushetani kwakweli unashangaza sana.

Kwa hivyo suluhu ni kuvamia Ukraine na kuua watu, ndio itapunguza mashoga, siwaelewi kabisa.
 
Tunataka tuwaeleze sasa. Donetsk Oblast ndiyo inayo controll uchumi wa Ukraine.

The most economically developed regions of Ukraine are Donbass (the Donetsk and Luhansk regions), the Dnieper River area (the Dnipropetrovsk and Zaporozhye regions), as well as the cities of Kyiv, Kharkiv, Odessa, Lviv.
 
Wakenya wameshazoea ukabila huko kwao,na ndio maana akaona alete Mambo ya udini kwny hii thread akidhani atatugaws kwa misingi hio.

Mimi Ni mkristo kwa 100% na itabaki kua hivyo milele na milele na nina-support wanachokifanya Russia chini ya The Great CIC Vladimir Putin na Nina amini US na West ndio baba wa Maasi hapa duniani.
Viva PUT IN
viva RUSSIA

HOMOPHOBIC
 
Wacha kunikimbia, nyoosha maelezo ueleweke....
Hamna sehemu nimemlaani Putin kwa kutumia maandiko, tatizo lenu mumepagawa hamueleweki.
Ni dhahiri waislamu wote wamemwagika kwa sasa wote wako nyuma ya Putin, kama wanamuabudu vile, kisa wanadhani kwa kufanya hivyo wanamkomoa Marekani.

Halafu waumini wa dini zingine wamegawanyika, kunao nyie mnaosema Putin yuko sahihi kufanya mauaji Ukraine kisa anaua mashoga.
VIVA PUT IN
VIVA RUSSO
PUT IN aishi maisha marefu ili muzidi kuteseka nakulalama lalamaa !!!
 
Ulaya nao wanatafuta freedom. Yetu macho

"Europe must make sure that the Kremlin's war in Ukraine fails, otherwise something even worse will follow. The West should be ready for a long and terrible war and be careful with premature calls for peace": Estonian Prime Minister Kaya Kallas in a column in The Telegraph demands to continue fighting with Russia and not even think about peace.

"We must be careful with premature calls for a ceasefire and peace. Remember that for half of Europe, peace after World War II meant not an end to atrocities, but further repression. The policy of Western countries should be based on the fact that the Russian threat will not go away tomorrow. It is impossible to return to business relations with Russia and there is no need to be afraid of a complete rupture of relations. Gas may be expensive, but freedom is priceless"
 
SASA MUDA WA KUPIGA HESABU.
⚡$5 per gallon ⚡

The price of U.S. gasoline averaged more than $5 a gallon for the first time on Saturday, data from the AAA showed, extending a surge in fuel costs that is driving rising inflation.

1 Gallon = 3.785 litres
Pesa zetu za kitanzania
$5 = 2300×5 (11,500Tsh)
Chukua hiyo 11500÷3.785 = 3038.30.

Yaani Liter moja ya mafuta huko USA inauzwa sawa na Tsh 3038.30.

Uraaaaaah
 
Unaelewa maana ya kupoteza independence?
View attachment 2257984

...became one of the regions of the Russian Federation. We unatwambia eti independent state, So wewe na Al Jazeera tumwamini nani? Kwanini mnakuwa na ujuaji wa kijinga mdau?

Independence ya Chechnya unayoizungumzia sii ya leo. Iliikoma 2009 mbona unakuwa mbishi sana mdau. Unasema kua na Jeshi ni kigezo tosha cha kua Independent. Haya wanaomiliki hizo Private military nao ni Independence?

Again, Kiongozi huyu wa Chechnya alitunukiwa wadhifa wa Lieutenant General na Putin.
View attachment 2257993

Unajua hicho cheo kina rank nafasi ya ngapi kutoka kwa Shoigu? If its independent state, Kwenye mfumo wa jeshi la Russia, Kadyrov anatafuta nini?

Ujuaji wa kijuha huo ndio unawafanya kua kama wajinga.

Tena hapo unatwambia federation ni serikali na serikali ya nchi zinazounda federation my foot. Uko serious kweli? So unataka kutwambia Russia kuna nchi 82? Moscow, St. Petersburg zikiwa among federal subjects hizo so nazo zote hizo ni nchi?

Dah!

Hivi kama kitu hukielewi kuna dhambi gani kukiri na kua huru kujifunza.
Hakuna mahali nimekuambia jeshi ni kigezo cha kuwa independent nimekuambia jeshi ni kigezo mojawapo vya kuwa dola na zingatia hatuchukui kigezo kimoja kimoja. Nikuombe uzingatie maana ya kisiasa yaani strict political meaning ya political concepts ninazokuelekeza naanza kutilia shaka km unafuata maelekezo
 
Back
Top Bottom