Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haijalishi chochote mtakacho jiliwaza nacho, ila Kyev iligoma kukamatika, mliangukia pua, Zelensky mliyempa masaa 24 aachie ngazi au aikimbie nchi, leo hii bado ndiye rais.
Zelensky ndiye rais pekee duniani kwa karne hii mpya, yeye mwenyewe pamoja na watu wake wanaishi uhamishoni.
Credit zote ziende kwa Putin
 
Unaelewa maana ya kupoteza independence?
View attachment 2257984

...became one of the regions of the Russian Federation. We unatwambia eti independent state, So wewe na Al Jazeera tumwamini nani? Kwanini mnakuwa na ujuaji wa kijinga mdau?

Independence ya Chechnya unayoizungumzia sii ya leo. Iliikoma 2009 mbona unakuwa mbishi sana mdau. Unasema kua na Jeshi ni kigezo tosha cha kua Independent. Haya wanaomiliki hizo Private military nao ni Independence?

Again, Kiongozi huyu wa Chechnya alitunukiwa wadhifa wa Lieutenant General na Putin.
View attachment 2257993

Unajua hicho cheo kina rank nafasi ya ngapi kutoka kwa Shoigu? If its independent state, Kwenye mfumo wa jeshi la Russia, Kadyrov anatafuta nini?

Ujuaji wa kijuha huo ndio unawafanya kua kama wajinga.

Tena hapo unatwambia federation ni serikali na serikali ya nchi zinazounda federation my foot. Uko serious kweli? So unataka kutwambia Russia kuna nchi 82? Moscow, St. Petersburg zikiwa among federal subjects hizo so nazo zote hizo ni nchi?

Dah!

Hivi kama kitu hukielewi kuna dhambi gani kukiri na kua huru kujifunza.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hatare...
 
Wakenya wameshazoea ukabila huko kwao,na ndio maana akaona alete Mambo ya udini kwny hii thread akidhani atatugaws kwa misingi hio.

Mimi Ni mkristo kwa 100% na itabaki kua hivyo milele na milele na nina-support wanachokifanya Russia chini ya The Great CIC Vladimir Putin na Nina amini US na West ndio baba wa Maasi hapa duniani.
jamaa alijua eti waislamu pekee yao ndio wanamsupport putin kumbe wakristo tunajua ubaya wa west tupo. Hata ivyo jamaa naona ni mweupe kabisa kwenye Mambo ya dini nime mwambia Kama anamlaani Putin kwa kutumia maandiko hivyohivyo amlaani zelensky kwa kutokumpenda jirani yake kwa kutaka kumkutunisha jirani na adui . Jamaa ameishia kusema mm nina majini sijui ndo nini
 
Mnachanganyana,

Chechnya ni Mkoa(region), Republic(jamuhuri) au State/federal(jimbo)??
Republic ni nchi inayoongozwa na rais aliyechaguliwa na watu na nchi iweze kuchagua rais lazima kwanza iwe huru. State ni sifa ya kuwa na serikali ,jeshi ,watu na ardhi ama territory . Kutokea hapo utakua na majibu. Tanzania ni Republic kwa maana ya raisi mwenye mamlaka anayetokana na watu na ni state kwa sifa hizo hapo juu . Tanzania sio federation ni muungano kamili ingawa ni wa kiaina . Tunaitwa United Republic of Tanzania .United kwa maana ya muungano . Republic kwa sifa zilizoainishwa hapo.

Jambo kubwa na la msingi ni kupima hizo sifa hapo katika karatasi na katika uendeshaji yaani hali halisi. Ni wazi Zanzibar haina sera ya mambo ya nje ni wazi pia kwamba Zanzibar ina internal sovereignty ya kiwango fulani yaani autonomy . Unafahamu Zanzibar ilipenyeza kipengele cha kujumuisha eneo la bahari linaloizunguka ikaleta shida . Unafahamu Zanzibar rais atagawa mikoa ila kwa approval ya rais wa URT. Unafahamu wizara za muungano? Hapo ndipo inakua makosa kulinganisha Zanzibar na Chechynia. Zaidi Zanzibar haina foreign policy yake .Je Chechynia inayo? au haina .Je chechyn ina jeshi ? Je mamlaka ya raisi wa Chechynia ki uhalisia ipo ama inalindwa na Russia. Je huyu rais wa Chechynia alichaguliwaje ? Na hizi sheria ama katiba vilipatikana vipi? Ni uchawa wa Kadyov ama ni kupitia mifumo ? Kuna mengi ya kutazama tusiishie kutazama bendera
 
Ramzan Kadyrov na Chechnya yake wameachiwa uhuru fulani mkubwa zaidi na Putin tofauti na maeneo mengine ya kiutawala ya Russia kwa sababu za kisiasa za Putin (divide and rule) na ubishi wa jamii ya Caucasus kwa Kremlin karne na karne.

Watu wa Chechnya wamekuwa mwiba mkali kutaka uhuru wao muda mrefu na wameuwawa sana na serikali ya Kremlin, Ila pia Wachechnya ni watu watu wakorofi sana wanaopenda kuendelea kuishi kwa taratibu nyingi za jamii ya kale kwenye ulimwengu uliostaarabika.
Nadhani bado upo kwenye de jure . Ningependa uelekeze hoja zako katika de facto . Wanajeshi wa Kizanzibari hawaitwi wazanzibari ni wanajeshi wa Tanzania . Hawa jamaa wana jeshi lao hiyo ni sifa ya dola .Wana serekali yao , Wana mipaka yao na watu wao ndio maana unatajiwa idadi yao na wana tamaduni yao lugha dini nk.Hayo unayokazana nayo ni de jure aspect ila in practice and real sense ni independent.

Federation inakuwa na serekali kuu na serekali za nchi zinazounda hiyo federation. Tofauti huja kisheria na kiutendaji juu ya kiwango cha mamlaka kati ya central gvt na nchi zinazounda federation na msingi wake ni historia ikihusisha sababu na asili utofauti au ulingano kati ya wanaounda huo muunganiko
 
Hiyo "kyev" uliyoandika hapo ipo nchi gani? Mbona sijawahi sikia kitu kinaitwa "kyev" hii inaonesha jinsi gani ambavyo akili yako haina akili.

USA kapambana na wataliban miaka 20 mwisho wa siku akaishia kukimbia kama mbwa koko bila kudhibiti kijiji hata kimoja, leo hii unashangaa Urusi iliyo tumia siku100 kuteka 20% ya nchi kubwa ya pili kwa ukubwa barani ulaya?
☆Au hujui kwasasa Ukraine inanunua umeme wake kwa Urusi in ruble?
☆na Hujui kuwa Urusi anasafirisha kila siku malighafi za Chuma kutoka Mariupo?
☆Pia hujui kuwa Ukraine kwasasa hawez kusafirisha chochote kupitia bandari zake bila ruhusa ya Urusi?
☆na nani alikwambia kuwa Mrusi ana shida na Kyiv, kwa faida gani?

Na inaonesha kwa akili zako mgando wakikwambia uchague jiji la kumiliki kati ya DSM na Dodoma, utachagua Dodoma kisa ni makao makuu ya nchi. (wewe@MK254 ni bureee kabisa)

My friend, toa hizo akili zako kiuononi uzihamishie kichwani, ili unapochezesha hicho kiuno chako akili zako zisiyumbe, hiyo itasaidia kuepuka kuandika ugoro wako hapa Jf.
Sema mkuu unapiga sana kichwani, utaua! Jamaa kila akitokeza kichwa unashusha rungu [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Ramzan Kadyrov, kiongozi mkuu wa Chechnya aliteuliwa na Putin baada ya assassination ya baba yake.
(sio Rais kwa sababu wakuu Republics walipigwa maarufuku na Medvedev kutumia che cha Rais mwaka 2010).

Hizo Republics za Russia ni sawa na DRC inavyojiita Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo au Korea ya Kaskazini inavyojiita The Democratic People's Republic of Korea (DPRK).
Republic ni nchi inayoongozwa na rais aliyechaguliwa na watu na nchi iweze kuchagua rais lazima kwanza iwe huru. State ni sifa ya kuwa na serikali ,jeshi ,watu na ardhi ama territory . Kutokea hapo utakua na majibu. Tanzania ni Republic kwa maana ya raisi mwenye mamlaka anayetokana na watu na ni state kwa sifa hizo hapo juu . Tanzania sio federation ni muungano kamili ingawa ni wa kiaina . Tunaitwa United Republic of Tanzania .United kwa maana ya muungano . Republic kwa sifa zilizoainishwa hapo.

Jambo kubwa na la msingi ni kupima hizo sifa hapo katika karatasi na katika uendeshaji yaani hali halisi. Ni wazi Zanzibar haina sera ya mambo ya nje ni wazi pia kwamba Zanzibar ina internal sovereignty ya kiwango fulani yaani autonomy . Unafahamu Zanzibar ilipenyeza kipengele cha kujumuisha eneo la bahari linaloizunguka ikaleta shida . Unafahamu Zanzibar rais atagawa mikoa ila kwa approval ya rais wa URT. Unafahamu wizara za muungano? Hapo ndipo inakua makosa kulinganisha Zanzibar na Chechynia. Zaidi Zanzibar haina foreign policy yake .Je Chechynia inayo? au haina .Je chechyn ina jeshi ? Je mamlaka ya raisi wa Chechynia ki uhalisia ipo ama inalindwa na Russia. Je huyu rais wa Chechynia alichaguliwaje ? Na hizi sheria ama katiba vilipatikana vipi? Ni uchawa wa Kadyov ama ni kupitia mifumo ? Kuna mengi ya kutazama tusiishie kutazama bendera
 
Republic ni nchi inayoongozwa na rais aliyechaguliwa na watu na nchi iweze kuchagua rais lazima kwanza iwe huru. State ni sifa ya kuwa na serikali ,jeshi ,watu na ardhi ama territory . Kutokea hapo utakua na majibu. Tanzania ni Republic kwa maana ya raisi mwenye mamlaka anayetokana na watu na ni state kwa sifa hizo hapo juu . Tanzania sio federation ni muungano kamili ingawa ni wa kiaina . Tunaitwa United Republic of Tanzania .United kwa maana ya muungano . Republic kwa sifa zilizoainishwa hapo.

Jambo kubwa na la msingi ni kupima hizo sifa hapo katika karatasi na katika uendeshaji yaani hali halisi. Ni wazi Zanzibar haina sera ya mambo ya nje ni wazi pia kwamba Zanzibar ina internal sovereignty ya kiwango fulani yaani autonomy . Unafahamu Zanzibar ilipenyeza kipengele cha kujumuisha eneo la bahari linaloizunguka ikaleta shida . Unafahamu Zanzibar rais atagawa mikoa ila kwa approval ya rais wa URT. Unafahamu wizara za muungano? Hapo ndipo inakua makosa kulinganisha Zanzibar na Chechynia. Zaidi Zanzibar haina foreign policy yake .Je Chechynia inayo? au haina .Je chechyn ina jeshi ? Je mamlaka ya raisi wa Chechynia ki uhalisia ipo ama inalindwa na Russia. Je huyu rais wa Chechynia alichaguliwaje ? Na hizi sheria ama katiba vilipatikana vipi? Ni uchawa wa Kadyov ama ni kupitia mifumo ? Kuna mengi ya kutazama tusiishie kutazama bendera
Zaidi Zanzibar haina foreign policy yake .Je Chechynia inayo? au haina .Je chechyn ina jeshi ? Je mamlaka ya raisi wa Chechynia ki uhalisia ipo ama inalindwa na Russia. Je huyu rais wa Chechynia alichaguliwaje ? Na hizi sheria ama katiba vilipatikana vipi? Ni uchawa wa Kadyov ama ni kupitia mifumo ? Kuna mengi ya kutazama tusiishie kutazama bendera

Haya maswali mwamba kama ungekuwa unayajua majibu yake basi usingeng'ang'ana na kile ulichonacho.

Chechnya kama republic zingine, ni kauli ya lee van cliff walau ndio ilikaribiana na ukweli. Chechnya aligain independence unayoizungumza baada ya vita ya kwanza ya Chechnya, na wakapoteza uhuru huo kurudi kua region of Russia baada ya Vita ya pili ya Chechnya.

Kadyrov kabla ya kua President of Chechnya alikuwa Acting President kwa kuteuliwa na Putin.

Na hivi sasa hakuna kitu inaitwa President ndani ya Chechnya. Kadyrov ni Head of Government Chechen Republic na Lieutenant General in the Russian Military.

Kua mwelewa mwamba.
 
Huyu nae nimemvulia kofia, tutaingia kwenye league za kingese kubishana utopolo usio na maana!
 
Biden seeks to expand the coalition against Russia, but meets resistance from many Asian, African and Latin American countries, writes the New York Times.

Biden even had to go on an "extraordinary adventure" and plan a visit to Saudi Arabia, which he himself called an "outcast," the newspaper notes.

The US authorities admit that it is difficult to convince other countries that they can balance their own interests with the American and European desire to isolate Russia.

Simply put, Washington does not believe that isolating Russia will be in the interests of these countries.
 
Serikali kuu ya Kremlin na Putin huko Russia ndio kila kitu, hizo sijui de jure, de facto mnazobishania ni blah blah tu. Putin ndiye anawaweka na kuwaondoa wakuu wa hizo so called Republics.

Hizo Republics ukiacha Chechnya iliyochukiliwa kutoka vitani nyingine zote zimeundwa na Kremlin na yenyewe ndio inaziendesha, Hakuna anayeweza kum challenge Putin kwa chochote.
Mbona unaandika huku unalia braza?🤣🤣🤣
 
Kuna video moja ilitumwa humu sikumbuki ni Nani alituma,

Ni Ile jamaa anatoa ushahidi kuwa akifanya kila Jambo kuwaaambia marekani na NATO kuwa Iraq haina silaha za maangamizi Ila walimpuuza,

Mwenye nayo naiomba 🙏🙏🙏🙏
 
Hii vita bado tu haijaisha? Ukraine kiburi anatoa wapi? Au Urusi uwezo mdogo
 
⚔️⚔️⚔️According to Rodion Miroshnik, Ambassador of the LPR to the RF, an unspecified number of civilians exited the Azot Plant from the second checkpoint (under allied control). According to him there could be up to 500 more in the plant. However, other estimates run as high as 1,000 civilians. Allegedly the Ukrainian troops at the plant have tried to negotiate safe passage for themselves and their civilian hostages (if hostages they are) out of the plant towards Lysychansk. Those demands have been flatly rejected⚔️⚔️⚔️
 
Back
Top Bottom