Nimesema hivi tunatazama de facto na de jure . Chechynia anainjoy kiwango kikubwa cha mamlaka na ni independent. Hapo ni katika Practice not on paper . Niligusia hapo na hata mchangiaji mmoja amefafanua vizuri ni kwanini hali ipo hivyo .
Zanzibar ni independent state na ina kiwango chake cha sovereignty kwakuwa unapojiunga kwenye level yoyote ya umoja wa kisiasa unapoteza mamlaka yako kwa kiwango fulani kuendana na mikataba na aina ya muungano. Ndio maana ninyi mnanijia na information kibao ambazo ni documents mimi natazama Practice natazama institutions zimewekwaje na nani kaziweka.
Zanzibar ikitoka nje ya muungano inaendeleza uhuru wake na kuwa na full sovereignty. Muungano haukuifuta Zanzibar kwakuwa ina sifa zote yaani WATU walio huru , tamaduni, ardhi, serekali, kasoro majeshi . Nature ya Chechynia ndio inasababisha kuinjoi mamlaka yake kwa kiwango kikubwa . Tukiamua kuwa na East AFRICA Federation tutaingia kama nchi huru kwakuwa ni nchi huru tu inayoweza kuingia ktk miungano ya kisiasa. Ikumbukwe Tanganyika ilipopata uhuru 1961 ilikuwa nchi huru isipokuwa haikuwa na mamlaka kamili kwakuwa head of state alikuwa ni queen of England.
Kiongozi wa Chechynia anakabiliwa na upinzani mkali wa ndani ni wazi kwamba anahitaji protection ya Russia na Russia anamhitaji huyo Kiongozi kwa maslahi yake.