Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hivyo suluhu ni kuvamia Ukraine na kuua watu, ndio itapunguza mashoga, siwaelewi kabisa.
Kwahyo ni haki za kibinadamu na demokrasia ya kuvunja mikataba inayozuia nchi zilizo nato,zikiongozwa na baba yao marekani kujisogeza base zao kuelekea east na kusettle Ukraine karibu na mipaka ya adui yao urusi sindio.
 
Wapo wanaonuna
IMG_20220612_221717.jpg
IMG_20220612_221739.jpg
 
Hizo silaha zimeshafika siku nyingi ila waukraine na nato wanadai hizo silaha zimekuwa ONE SHOOT AND THEN YOU DIE ...wanasema ukizifyatua tu nikama kujilipua mwenyewe maana naniya sekunde 2 tu unakuwa umesha lipuliwa hiyo ukizitumia unatakiwa kuwa na mbio za kufa mtu ili kuzikimbia mara tu baada ya kuvyatua bomu la kwanza
Ha ha ha zina missfire au zinakuripukia mwenyewe? Wamarekani mziki wa Russia wanausikilizia mbali tu maana mikito yake si ya kitoto
 
Mambo heavy shangazi... Kuna picha hii em itizame.
View attachment 2258449

Ila huyo aliyefunikwa sura sio huyo unaemfikria, huyu ni Usain Bolt akiwa zoezini.

😂😂😂

Hilo taifa linajiweza lenyewe, kama ni kweli au sio eishiii, watajua huko.

Nikuongezee hizi picha kujifurahisha shangazi.
View attachment 2258457
View attachment 2258460
View attachment 2258461
View attachment 2258462

Kuna hii ila watu wazima mtanisamehe, Huyu bint anaitwa Joan Rivers, baada ya kusema hivi week mbili baadae alikutwa kadanja
View attachment 2258465

Na video ya huyu binti ifate huku

Tunaweza sema yote ni uongo lakini ukiangalia nguvu na pesa walizowekeza kwenye huu uchafu. Unajikuta unaamini.

Yapo mengi sema Ask-Q huwa mwoga mwoga anayasema kwa kujificha ficha wakati ulimwengu wa ID fake hii unaropoka unalojisikia.

Duh mkuu Galip vrl,hili suala la Obama na mkewe niliwahi kusikia,ckuamini lakin sasa naanza kupata picha thanks mkuu umeniongezea kitu hapa.
 
🇨🇿⛽️Gasoline prices in the Czech Republic have peaked at new historic highs, exceeding levels recorded in March.

🔍The cost of one liter of gasoline at Czech filling stations rose to 47.31 Czech korunas ($2.05) and a liter of diesel averaged 46.53 korunas, breaking a historic record, the CCS company, which monitors the cost of fuel in the republic daily, says.
 
Ha ha ha zina missfire au zinakuripukia mwenyewe? Wamarekani mziki wa Russia wanausikilizia mbali tu maana mikito yake si ya kitoto
Hamna unapo zifyatua tu ndiyo unakuwa kama umezipa location silaha za mrusi ...yaani technology ya mrusi ipo juu kuzitambua zinapo fyatuliwa tu ndani ya sekunde 2 tu zinalipuliwa na mrusi
 
Hizo silaha zimeshafika siku nyingi ila waukraine na nato wanadai hizo silaha zimekuwa ONE SHOOT AND THEN YOU DIE ...wanasema ukizifyatua tu nikama kujilipua mwenyewe maana ndani ya sekunde 2 tu unakuwa umesha lipuliwa hivyo ukizitumia unatakiwa kuwa na mbio za kufa mtu ili kuzikimbia mara tu baada ya kuvyatua bomu la kwanza
Ha ha ha nimeipenda hii,yaani unafyatua bom alaf unapaswa kukimbia ili kunusuru na kulipuliwa
 
Ahsante sanaa mkuu Jesus Mlokozi ahsante sanaa pia nilikua na maana zangu za huku nanjilinji 😃😃😃😃 ila nimeongeza maarifa mengi,sio mshabiki wa mpira ila abc zake nnazo za jinsi zinavyojiongoza kupitia mfano huo nimeelewa pia.
Gracias
👏👏👏👏👏👏
pro Russia katika ubora wako.
akili Iko sharp sana.
 
🇨🇿⛽️Gasoline prices in the Czech Republic have peaked at new historic highs, exceeding levels recorded in March.

🔍The cost of one liter of gasoline at Czech filling stations rose to 47.31 Czech korunas ($2.05) and a liter of diesel averaged 46.53 korunas, breaking a historic record, the CCS company, which monitors the cost of fuel in the republic daily, says.
Hali hii ikiendelea,kuna uwezekano riot zikatokea kwenye nchi za ulaya, yaani wananchi wataingia barabarani, it's a a matter of time.
 
Kim Jong-un congratulated Putin on the Day of Russia and expressed his full support to him, as well as to the Russian people:

“Under your leadership, the Russian people, bravely overcoming the challenges and difficulties they encounter, are achieving great success in doing a just cause to protect the dignity, security and rights to the development of the country,” the Central Telegraph Agency of the country quotes the leader of the DPRK.

View attachment 2258613
Dogo janja
 
Hizo silaha zimeshafika siku nyingi ila waukraine na nato wanadai hizo silaha zimekuwa ONE SHOOT AND THEN YOU DIE ...wanasema ukizifyatua tu nikama kujilipua mwenyewe maana ndani ya sekunde 2 tu unakuwa umesha lipuliwa hivyo ukizitumia unatakiwa kuwa na mbio za kufa mtu ili kuzikimbia mara tu baada ya kuvyatua bomu la kwanza
🤭🤭🤭😀😀😀🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏
 
Ha ha ha nimeipenda hii,yaani unafyatua bom alaf unapaswa kukimbia ili kunusuru na kulipuliwa
Mbona zipo video zimepostiwa na wayukraine wenyewe jinsi wanavyo kufa kwa kufyatua tu kombora moja tu ndani ya sekunde wanalipuka wenyewe ...ngoja nijaribu kutafuta zile video walikuwa wanalalamika kuwa siraha za USA zinalipuliwa sekunde tu baada ya kuzifyatua
 
Mm mbona siyo muislamu hata nyerere na magufuli awakuwa waislamu tena kwa taarifa yako nyerere alikua adui mkubwa wa mabeberu ya nato na hata jpm kuliko hata maraisi waislamu katika hii nchi yetu ...wewe unafikili JPM AU NYERERE WANGEKUWA HAI WANGEKUWA UPANDE WA NATO ?[emoji849][emoji849]
👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝👍👍
 
Nchi zote ambazo hazina rasilimali ni watoa mikopo sana. Nchi zenye Mali ni watoa misaada isiyo na masharti. Nchi ambazo watu wengi ni wakawaida sana ni wapokea misaada mizuri sana. Kifupi America yenye maskini wanaoishi mitaani , inawaonea huruma nyinyi tena bure tu..kifupi hiyo unayoita misaada ni njia za kutengeneza ajira , kuweka mazingira ya kuwekeza kirahisi, kuweza kuwaamulia sera zenu za poverty reduction, soko la bidhaa zao namna ya kuingia sokoni ( huwezi kwepa kununua mashine kwake kutekeleza mradi).
Mwisho asilimia zaidi ya 60 ya misaada hurudi kwao kama manunuzi ya bidhaa au kulipia consultant. Jifunze upate maarifa . TUNAWEKA TAARIFA KWA USAHIHI WATOTO WA 2000 WASIPOTOKE.
Nadharia zisizo na uthibitisho wowote.
 
Kweli jamaa ni mganga wa kienyeji, masikini hajielewi. Em muache tunaomwelewa tuendelee naye View attachment 2249790So wewe unajua kuliko Scientist waliotueleza haya?

Ask-Q Em achana na hivi vitoto mkuu. Naona ombi la babu na mjukuu limewachoma wana wivu wa kike kama Coco Master aliyelalama Galip mie kupewa like [emoji23][emoji23][emoji23]

Pro NATO shida sana wallah
Sasa hao watengeneza dawa za meno zisizo na fluoride ndio unawaita wanasayansi ? Ulitegemea waseme nini ?
 
Wengi tuliogopa tukasubiri tuone Urusi ambayo iliogopwa siku zote kwamba itaieka Kyev na kusimika uongozi wao humo, jamaa walifyekwa kama senene na kutoka nduki, amekwenda kupambana na tumiji twa mipakani huko, ile tu kwamba siku zimepita 100 na bado Urusi yule yule ambaye siku zote alionwa kama wa maana bado anapambana, bado anaomba asaidiwe sijui na Syria mara sijui wapi huko, kapoteza majenerali mpaka basi, ha ha ha!!! Hainingii akilini, kataifa jirani hapo kadogo.
Kumbeee Ukraine wanaendelea kushinda vitaa
 
Back
Top Bottom