Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama wanavyoijaza upepo Taiwan
 
🤣🤣😂😂🤣😂😁😀😁😀
 
Sipo dini ya mashariki ya kati na naisapoti urusi mwanzo mwisho, fedhuli USA aendelee kuwadanganya hawa yuropa waokote kuni za kupasha nyumba na kupikia kama huko kwenu eldoret.

Wala hakuna aliyekubishia, hapa hapa ofisini nina wasio wa dini ya waarabu ila wako upande wa Urusi, hata hivyo pia kunao wako upande wetu, hiyo safi.
Sema tatizo langu ni wale wa dini ya waarabu hata wote hapa, hadi mtaani mpaka kwenye mitandao wao wote lao moja, hakuna hata mmoja tofauti......ni kama mateka walioshikiliwa akili.
 
HAKUNA CHA WAISLAMU AU WASIO WAISLAMU!!

KWA YEYOTE ALUEUMBWA KWA MFANO MWENYEZI MUNGU LAZIMA AWE UPANDE WA RUSSIA!!

Una uhuru wa maoni, kimsingi uyawasilishe bila kushikiliwa akili au kuelekezwa kwenye msikiti kama ambavyo mnafanywa kwa sasa.
 
⚔️⚔️⚔️BREAKING: Zelensky told Ukraine soldiers in Severodonetsk Azot plant to surrender. And he says Ukrainians military losses are 'painful'. ⚔️⚔️⚔️
Hiviii!!! kitu gani hasa kinawafanya Hawa watu wawe mazezeta hivi kwa US? Kaona mabwana zake wanamtapika taratibu nae akili ndo zinamjia? Haya Poland nae anaomba asaidiwe hata silaha zilizotumika tu maana kampa Ukraine kwa sifa mpaka kapungukiwa, Yani sahivi anaomba silaha?🤣🤣🤣US ana limbwata grade 1.douh!
 
Usiisujudu marekani kwa kuweka base ya kitoto hapo kwa ajili ya wana mgambo wa sudan, hayo machuma yao hawezi kuokoa angalia aliyopeleka Ukraine bora hata drone za Uturuki .
USA ni wajinga si kwa sababu ya udini ni propaganda uchwara na kujiona waweza kumbe maboya tu na hii ndio ilimdanganya Comedian. USA ni kama wanasiasa wa kiafrika usiwaamini wana ahadi za uongo. Tutajenga mabwawa na kuvuna maji ya mvua kwa umwagiliaji. Nonsense

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
⚔️⚔️⚔️BREAKING: Zelensky told Ukraine soldiers in Severodonetsk Azot plant to surrender. And he says Ukrainians military losses are 'painful'. ⚔️⚔️⚔️
Jeshi la Russia liwauwe kwa kuwatandika risasi za kichwa wanajeshi wote wa ukraine watao surrender huko Severodonetsk Azot plant, hata kama idadi yao itakuwa zaidi 10,000. na hii itasaidia kukomesha hii tabia ya US & NATO kukusanya wahuni na vibaka kisha kuwalewesha na kuwapa bunduki ili kwenda kupigana na jeshi kubwa kama la Russia!
 
Niko freshi sana fulu mzuka, yaani tangu mshindwe kuiteka Kyev huwa nina raha kishenzi yaani.
Ukiiteka Moro ni bora kuliko Dom. Kyiev ni makao ya serkali wakateke mafaili. Na hii ndio inasababisha mnapigwa. Yaani unatishwa buti la ukoko una concetrate unapigwa kichwani.
Kikosi kidogo kilisongo Kyeiv mkapotezwa wakateka Marioupol kiulaini

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 

Tatizo mnakaririshwa sana chuki dhidi ya Marekani mpaka hamtulii muelewe nini haswa mnacho chukia....
 

Walijaribu ikawatokea puani, sasa wamekwenda hukooo Katavi.... ha ha ha!! Halafu huko wamepoteza majenerali kuzidi taifa lolote duniani.
 
How?
Ivi shuleni mnaendaga kusindikiza wenzetu?
Mbona ushahidi upo mpaka sasa hapo bagamoyo caravan serai watumwa walikusanywa kutoka bara na kupelekwa zanzibar kwenye soko kuu la watumwa east africa.

Aiseee pendenI kutalii kama kujifunza vitu havingii ushahidi wa kihistoria upo sasa sijui tunageneralize nn.
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]BREAKING: Zelensky told Ukraine soldiers in Severodonetsk Azot plant to surrender. And he says Ukrainians military losses are 'painful'. [emoji3538][emoji3538][emoji3538]Source geroman
Zelencky is shyte for real. Jamaa limeingizwa kingi na wamarekani wapumbavu, limekubali nchi irudishwe 100yrs back, raia wametandikwa risasi za kwenda, eti leo anawaamuru hao masoja wasarende kwenye hiyo plant.

Tukiamua kuachana na ubeberu wa 🇺🇸 itakuwa dunia poa sana. Hawa wanaweza kukupangia hata mke wako leo usimle coz wao hawataki umle leo.
 
Alafu kuhusu wanunuaji wakuu wa bizaa (slaves) ni British, Dutch (west germany), portuguese,spanish,denish etc

Utasema mbona marekani haipo jibu n kuwa ile ardhi wenyeji wa pale ni wahindi wekundu ila hao apo juu ndio waliamia pale kutokana na ardhi yenye rutuba,madin hali ya hewa Safi.

Kama unaakili utaona Ukraine anapewa support na hao apo (Nato) kuiharibu Russia.

Nawaambia ivi ni kuwa Pro Russia tunajua hatubaatishi.
wolfpack
 
Kama Ni wanajeshi wa Jeshi la ukraine Hawa Watakua POW na Kama Ni mercenaries Pumbuh itawahusu Kama wale wenzao watatu.
 
Wazungu hawana akili,kuoa wake wawili Ni marufuku lkn mwanaume kuoa mwanaume mwenzake hio kwao Ni ruksa.US+Western Ni baba wa Maasi duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…