Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mambo ni magumu mno, vita uisikie tu upo hata Tanzania nyuma ya Keyboard - wa-Ukraine wanapitia wakati mgumu mno.

Huruma wanazojifanya wanazo Western Governments runs hollow,ni unafiki mtupu,they shouldn't have allowed this to happen in the first place,kwa kuwa walikuwa na uwezo wote wa kufanya vita hii isitokee.The West is just too hipocritical and evil beyond comprehension.
 
Putin ni katili, anaua watu sababu he got nothing to loose at his age 70+, he has eaten his life already now teminating life of innocent youngsters below 35.

Tena kwa sababu ya kijinga kijinga za kale wakati wa Soviet union.
Hahaha the language is now changing fast...before it was we will teach Putin a lesson, the Russian army is nothing but a collection of untrained bunch of thugs, Russia is not a superpower....But, now...Russia is killing...it is a language of pleading for clemency....

Putin ndiyo jogoo wa Sasa wa dunia, wengine wote na hasa NATO, USA na West yote ni matetea tu...
 
Hahaha the language is now changing fast...before it was we will teach Putin a lesson, the Russian army is noting but a collection of untrained bunch of thugs, Russia is not a superpower....But, now...Russia is killing...it is a language of pleading for clemency....

Putin ndiyo jogoo wa Sasa wa dunia, wengine wote na hasa NATO, USA na West yote ni matetea tu...
Ndio wataelewa Kwa Nini SAUL aliamua kuitwa Paul Baada ya kupigwa upofu kama Hawa MaProNato ... Lugha inavyobadilika kuanzia Kwa mabwana zao mpaka nao humu wanabadilika .... Wokovu upo jirani.
 
Kwa kweli Ukraine wapigwe tu, tena watandikwe kweli kweli. Ili liwe fundisho kwa wengine ambao wana tabia ya kumsujudia fedhuli USA 🇺🇸.

Ikiwezekana Poland, Latvia hadi England waokote kuni za kupasha nyumba zao na hadi za kupikia ili watambue nafasi yao kama koloni la USA.
 
.
Screenshot_20220615-112018.jpg
 
Wakati nilipokuwa nafanya mabishano ya kidini ambayo SIKUONA TIJA tulijifunza kupigania kwenye uwanja wao i.e Kitabu chao ndio utumie zaidi. Hii ndio Marekani hutumia.

Mbinu hizi ndio unajaribu kutumia kwa kuhamisha mada ya Ukraine vs Russian kwa kuingiza UDINI

Umeshitukiwa ACHA. Itoshe tu Ukraine ANAPIGIKA VIBAYA. Kama unahasira JIUUE

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app

Mwanzo sikujua mpo kidini kwenye huu ugomvi wa Urusi, ila nikaanza kuona kila mfuasi wa hiyo dini yenu ya waarabu anatokwa povu kwa kutetea Urusi, nikawa nashangaa wapi na wapi maana Urusi ni "makafir" kama ambavyo huwa mnaita asiye wa dini yenu
Sio mtaani, sio kwenye mitandao ya kijamii, sio maofisini, nyote mnafoka kimoja..... ndio nikakumbuka huwa mna kauadui fulani mlishajiwekea dhidi ya Marekani, nikaunganisha dots kwa vile Ukraine anapata support ya Marekani ndio nikajua kwanini mnatamani kuona Ukraine ikifutwa duniani.

Huwa mnajifanya kuichukia Marekani ila wengi wenu hupatamani sana pale. Hata waarabu wenyewe wenye dini yao huenda sana Marekani kujimwayimwayi, ni nyie tu hapo kwa Mtongole mliokaririshwa chuki.
 
Sisi watu wa Russia hatuwezagi kuandika IMRA kama hiyo fanya hivi mkuu pata kahawa kwanza ili akili ichangamke
 
Back
Top Bottom