Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mrusi anabomoa majengo, mitaro ya maji safi na taka... huu si ubinadamu. Vita imegeuka ya kuharibu miundombinu na majengo, this is not acceptable; kimataifa Putin kachemka vibaya sana.
putin must be terminated!
20220615_053141.jpg
 
Kusoma kitabu sio kufata matakwa au maudhui yake.

Kuna msemo maarufu wa mzee wetu unasema za kuambiwa changanya na zako.

Kitabu kinafungua uelewa wako yaani unakua na maarifa mapana zaidi.

Icho kitabu ulichokizungumzia binafsi sikijui licha ya kukisoma ila game of throne nimeangalia kama nakumbuka ulikihusika hicho kitabu na hiyo series,kwa mfano kupitia pale unajifunza jinsi ya kuishi ukiwa kama mtawala trust no body,kua mdadisi,usikurupuke,andaa kesho yako n.k

Na haya ndio makusudi makuu ya fasihi andishi(vitabu)
1-kuelimisha
2-kuburudisha
Hata kama wameandika propaganda nyingi kiasi gani kwa mtu mwenye maarifa atatoka na elimu au burudani.

Hakuna kitu cha kuofia kwenye vitabu.
🤩🤩🤩

Na ambatanisha na comments yako kama mfano wa rejea.

Nikimaanisha kwamba wewe apo kusoma quran kitabu kitakatifu cha imani yako, sio kua ndio umefungiwa kwenye box ilo kwamba ukisoma biblia utakua mtumishi au kihindu uwe baniani hapana uliitaji kujua na upande wa pili wa shilingi na wala haukubadili msimamo wa imani yako.

Na ndivyo inavyopasa kuwa pindi unaposoma vitabu vya maudhui tofauti tofauti .
1-elimu,2-burudani.
Kweli shangazi, nimekupata vyedi kaabisa!

A luta continua 👊
 
Hilo kwa waislam haliwezekani,kauli mbiu yenu ya kudai waislam wote ni ndugu ni ujinga uliopindukia.Hata uwe jambazi,muongo,mnafiki wewe ni ndugu yao, we vaa baraghasia,kanzu,kilemba na salam alleykhum nyingi basi uko salama.Wakristo hatuna ujinga huo.
Sawa tumekubali MKUU ila
RUSSIA sio ZIMBABWE
VIVA RUSSIA
VIVA PUT IN
PUT IN aendelee kuwakaanga hao MANAZI maana naona mpaka MANAZIwa jf mnataabika
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Russia has earned $98 billion in energy exports in the last 100 days[emoji3538][emoji3538][emoji3538]

Wastan wa $1 billion kwa siku.

$1billion ni sawa na Tsh 2.3 Trillions.
Pesa ya Siku moja ya Russia kutokana na energy tunajenga SGR kutoka Dar mpaka Moshi.
Hawa jamaa maskini wakutupwa
Walisikika UKRO NAZI wakilalama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
UKRO NAZI wanateseka sanaa
 
Uchaguzi ujao wananchi wa poland wanapaswa wamchague mchezaji robert lewandowski awe rais wao. Raisi wa poland amewaomba nchi washirika wamsaidie silaha baada ya silaha zake kuwapa ukraine. Sijui mmenielewa
Daaah hata chizi hawezi kufanya ujinga huu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa kwanini wanamlaumu mjerumani Kwa kusema hawezi toa silaha yeye mwenyewe hazimtoshi????
 
WAMEANZA KUHAHA. HATUJASAHAU GENOCIDE YA 1944 - 1946

Polish PM Morawiecki -The Kremlin should know: if Russia ever thinks of invading Poland,then we have 40 million Poles ready to resist it.We are a free and independent country and we will never give it up. Thanks to modern shooting ranges, more people will be able to learn how to handle firearms.
 
🇩🇪🇷🇺German Economy Minister Robert Habeck advocated the complete nationalization of the former German division of Gazprom, Gazprom Germania GmbH, but Chancellor Olaf Scholz rejected the idea because he was concerned it could anger Russian President Vladimir Putin, Bloomberg reported, citing sources.
 
🇩🇪🇷🇺German Economy Minister Robert Habeck advocated the complete nationalization of the former German division of Gazprom, Gazprom Germania GmbH, but Chancellor Olaf Scholz rejected the idea because he was concerned it could anger Russian President Vladimir Putin, Bloomberg reported, citing sources.
A calculated move indeed on the part of the Chancellor.This however shows how important Russia has become in the eyes of the West.The war in Ukraine has uplifted Russia to a superstar status.Well done Russia.
 
Georgia walibahatika kupata Waziri Mkuu anayejielewa
images (17).jpg

🇬🇪The Georgian Prime Minister called the opposition "internal enemies".

Garibashvili said this in response to the reproaches of deputies from the "United National Movement", writes Georgia Media.

"If we had listened to the internal enemies who demanded to involve us in the war, there would have been nothing left for Georgia."

"The European Union trades with Russia for $1 billion every day, and don't we have national interests?!".

"The Georgian people have to endure, suffer, get involved in the war again, and then also lose territories?".


By the way, Russia is the second most important trading partner of Georgia with a turnover of $1.6 billion.
 
Thanks

Wametafuta kisingizio wameshaona kabisa hawawezi mziki wa Russia, Kwa asilimia kubwa ya nchi za EU wanaombea Vita iishe wanaumia Sana kiuchumi, na kitendo cha urusi kupeleka majeshi karibu na marekani kimezidi kuwatisha NATO na kuona ukubwa wa urusi
Russia kapeleka nchi gani
 
Back
Top Bottom