NicaraguaRussia kapeleka nchi gani
Kiherehere chake cha kujipendekeza kwa usa wakubwa zakê kina germany walikua wanaenda kwa akiliDaaah hata chizi hawezi kufanya ujinga huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kwanini wanamlaumu mjerumani Kwa kusema hawezi toa silaha yeye mwenyewe hazimtoshi????
"Good Morning" yangu imeisha na mafua bado hayajaisha 😂🤩🤩🤩🤩🤩
Good morning.
Polee baridi ni kaliii Mangi."Good Morning" yangu imeisha na mafua bado hayajaisha 😂
Too bad, USA ameamua kuifanya Europe koloni Lake, sasa wanaanza kutumia kuni kama sisi wa matombo.Latvia nao hawako nyuma, wamewaruhusu Raia wao kusanya kuni kukidhi mahitaji yao.
🇱🇻Permission to collect firewood can now be obtained in Latvia.
However, it may not be enough for everyone, according to @news_lv.
The company Latvijas valsts meži allowed to collect firewood after the completion of logging.
The permit is free, unlike Poland, where 30 zlotys are required per cubic meter.
However, the company has already stated that the demand was too high.
Usisahau kunitag mkuu 🙏Naam lakini ujue kipi mdau, hapo umeenda kutafuta maana ya neno Cabal pekee ila sio siri iliyojificha kwenye hilo neno! Ni kubwa zaidi ya hapo.
You as Christian, nahisi utakuwa unaifaham Ancient jewish mystical tradition inaitwa Kabbalah, wafuasi wa hiyo tradition ndio wanaitwa Kabbalist/Cabalist...
Neno "Cabal fight" hiyo bonge ya Code mdau wangu.
Anyway kukupa pa kuanzia ijue kwanza hiyo jamii ya Kabbalah ikoje... Kutokea hapo nenda unatafuta taratibu.
Oh wait, leo leo nita-Open Group TeleG baadae nitawapa link tuwe tuna-share maarifa mbali mbali nje ya box. Ambayo ninakua nashikwa kigugumizi kuyazungumza huku.
Niko naokota kuni huku nijipashe pashe, Mrusi kazuia Gas yake!Polee baridi ni kaliii Mangi.
Hahaha. Huo mstari wa mwisho ndo unaowauma kuliko chochote asee.NATO hawana budi maana Urusi kawabana kende, imagine mtu anashikilia uwezekano wa kuwasha umeme kwako akikubania Nuclear reactors unabakia gizani[emoji3][emoji3][emoji3] utafanyaje? Wakikaza ubongo tu anawabania material hawatazalisha silaha wala kuwasha umeme USA ni kima tu, kajivua nguo sana kwenye hili la Mgogoro wa Ukraine.
Na mwisho wa siku lazma awauzie kwa rubles tu kudadadeki[emoji3]
😂😂😂😂😂Mi nataka ziwe mmbichi yaani n moshi tuuu zisiwake.Niko naokota kuni huku nijipashe pashe, Mrusi kazuia Gas yake!
😂
Kuku mjanja mtupie mchele ale......NATO mnangojea nn KUMZUIA[emoji23][emoji16][emoji3]
Kihoro tayari.Sasa kama wanajua kwamba Russia inaweza ika-invade nchi yao,kwa nini wanawa-sabotage wazi wazi? Yaani you do not understand what has happened to Western leaders,they are complete loons!WAMEANZA KUHAHA. HATUJASAHAU GENOCIDE YA 1944 - 1946
Polish PM Morawiecki -The Kremlin should know: if Russia ever thinks of invading Poland,then we have 40 million Poles ready to resist it.We are a free and independent country and we will never give it up. Thanks to modern shooting ranges, more people will be able to learn how to handle firearms.
Wakati nilipokuwa nafanya mabishano ya kidini ambayo SIKUONA TIJA tulijifunza kupigania kwenye uwanja wao i.e Kitabu chao ndio utumie zaidi. Hii ndio Marekani hutumia.Akbar akbar takbir
🤣🤣🤣🤣☝️nakuomba tu ujikite kwenye ukunaji wa nazi hii operation tuachie sisi Warusi wa kawe na Rujewa