Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

.
Screenshot_20220614-190238.jpg
Screenshot_20220614-190245.jpg
 


❗️Biden Blames Republicans for Inflation


President Biden ditched the “Putin Price Hike” narrative to blame the GOP for the current 40-year high inflation rate.
 
Shangazi una moto si wa nchi hii...

Umenifanya niwaze sauti yako, JF inabidi waweke Voice Note Option. Hilo shangwe lingesindikizwa kwa sauti lingekuwa ni mouuutooo ha ha h!
Yaaani sanaaaa 😂😂😂😂watesi wa wababu wa mababu zangu na wenyewe wanawababe wao.
Tena wanayopitia sasa ni kiduchu kulingana na mateso waliyotoa kwetu,ila inapunguza machungu.
Kichapo kiendeleee.
 
Hilo neno nimelitafuta na nikajua maana yake. Wazungu wa kimagharibi wapo hivyo wanataka tuwaone sooo special. Kuleta ugomvi tu ambao hauna maana ili watetemekewe.
Naam lakini ujue kipi mdau, hapo umeenda kutafuta maana ya neno Cabal pekee ila sio siri iliyojificha kwenye hilo neno! Ni kubwa zaidi ya hapo.

You as Christian, nahisi utakuwa unaifaham Ancient jewish mystical tradition inaitwa Kabbalah, wafuasi wa hiyo tradition ndio wanaitwa Kabbalist/Cabalist...

Neno "Cabal fight" hiyo bonge ya Code mdau wangu.

Anyway kukupa pa kuanzia ijue kwanza hiyo jamii ya Kabbalah ikoje... Kutokea hapo nenda unatafuta taratibu.

Oh wait, leo leo nita-Open Group TeleG baadae nitawapa link tuwe tuna-share maarifa mbali mbali nje ya box. Ambayo ninakua nashikwa kigugumizi kuyazungumza huku.
 
Medvedev kashusha uzi mrefu ila nimeamua ku'copy hiki kijisehem niwaletee

We will consistently expand cooperation with our friendly countries in Asia, Africa and Latin America. We have something to offer each other.

Now it is necessary to accurately determine the possible volumes of supplies of our energy resources, including from the Arctic, in these areas.

And also to analyze in detail the prices for their products, which would meet national interests.
"We have something to offer each other"

It's our time baby🤩🤩🤩🤩
 
French Foreign Ministry: before joining the EU in Ukraine, hostilities must first cease, and only then it is necessary to discuss the conditions of its membership

Kitu alichotumia mrusi kuangamiza silaha za msaada za marekani Kwa Ukraine, 12,000km/hr kinaweza kwenda chini ya ardhi 136m
View attachment 2260522
Walizoea vita nyepesi.iraq, Afhanistan na Libya.
Safari hii wanashuhudia vita ya wababe.
 
Back
Top Bottom