Dunia hii ina siri nyingi. Mimi huwa ni msomaji mzuri sana wa Biblia. Ndani ya Biblia kuna code nzito zimefungwa. Ni wenye uelewa tu wanaweza ku decode.
Mfano:-
20 Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza;
Luka 17:20
21 wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu.
Luka 17:21
Huh kweli tena na ukitaka kuona Raha ya hizi mambo, soma vitabu vyote. Mie ni Muslim Pure ila sikuishia kuisoma Quran pekee. Nimeisoma hiyo Bible, Vitabu vya Mabudha, Na iman zingine kama Judaism, Buddhism na sasa niko naifatilia Confucianism na wala sitoishia hapo nilijiwekea ahadi kuendelea mbele yani mbele na zaidi.
For that case lugha ya wenzangu (Muslims) in the same belief naifaham, lugha yenu niko aware nayo hadi lugha ya wapagani naifaham, Yes I know them ila nimeamua ku'practice Uislam.
The more you read, the more you widen your knowledge! the more you understand, the more wise you become.
Kwenye kitabu chenu Mithali 21:11 inasema
"Mwenye mzaha aadhibiwapo, mjinga hupata hekima; Na mwenye hekima afundishwapo, hupokea maarifa.”
Hii maana ake ni kua Maarifa huja kwa kujifunza. Ili tuwe na maarifa ni lazima tujifunze; na ili tuwe na matumizi sahihi ya maarifa tuliyonayo lazima tuwe na hekima.
Another verse in Quran, Surah ya Al Zumar kama sikosei verse number 9, It say
"Are those equal, who know and those who know not...?" Of course jibu ni Hapana, so there we go... Tunakuja jua kua
knowledge is blessing.
I admire your effort, so as a friend of yours. I would urge you kuendelea kusoma zaidi na zaidi. Na in your journey of acquiring knowledge, be ready to accept challenge on the thing you already know! That way utaweza kujifunza mengi, MENGI MNO.
Nasema hivo coz I knows, Many books, many sources of knowledges tulizonazo hivi leo zina flaws kede kede. Hazipo katika asili yake na waliozichakachua sijui wana malengo yapi 😂.
So Instead of becoming aina flan hai ya kitabu. We should keep exploiting wisdom zipatikanazo ndani ya hivyo vitabu. Not only just katika Faith, but kwenye TAALUMA zote zinazotuhusu either directly or indirectly sie wanadam.
Wasanifu (Architects) knows well kwamba kua best on their works wanatakiwa kua na at least ile basic knowledge ya other fields involved ili kuepusha design ya "shimo la choo kwenye mlango kuingilia"....
🤗🚶