Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yoyote amtegemeaye mwanadamu amelaania.

Zele aliona Marekani kama mungu wake. Lolote aombalo anatimiziwa, ikafikia hatua hata akaanza kuomba kwa silaha kwa kuforce.

Sasa Siku za "Zeleboy" zinahesabika.

Taratiibu Marekani anaanza kumtapika.

Now they begin to throw Zelensky under the bus.[emoji38][emoji38][emoji38]

Hebu soma maneno ya Yusuf Biden hapa[emoji1787][emoji1787][emoji116]

"Ukraine’s president, Volodymyr Zelenskiy, “didn’t want to hear” warnings of the Russian invasion, according to the US president".
Mwisho wa kunukuu.




Screenshot_2022-06-14-23-17-17-052_com.twitter.android.jpeg
 
Sasa wanajeshi wa Russia karibu elfu 27 wameuliwa na majenerali wao zaidi ya 25 wamekwenda na maji unakuja kujenga hoja kwa mwanajeshi 1 aliomba mwenyewe kuisaidia Ukraine? Ivi Putini amewalisha nini nyinyi proPutin? Je unajua yeye ameshawauwa warusi wangapi? maana operation inaingia mwezi wa 5 sasa.,
Ukijua wewe inatosha
VIVA PUT IN VIVA RUSSIA
 
Achana na hawa warusi wengi wao shule hawajaenda wameshikilia elimu ahera ,eti kaweka kabisa kwenye mabano NATO ,yaan NATO ikigundulika kuingia direct Russia ana haki ya kuishtaki NATO ,huyo jamaa alijitolea tuu kama volunteers wengine wanavyojitolea upande wa Russia, NATO ikipata mwanya wa kuingia direct ,tungeanza kuona wakimbizi wa Russia kwa mara ya kwanza .tuombe vita imalizike salama maana ni vita vya wanandugu wawili .
Mkienda nyie inatosha
VIVA PUT IN
VIVA RUSSIA
 
Kaazi kweli kweli shangazi, nikujibu kilokole zaidi. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, Hosea 4 : 6. Sie wazee wa kizazi kinachofata tunaangalia kucha zetu za miguuni rather eneo tutakaloweka mguu kwenye hatua inayofata.

Halafu kingine kipi shangazi, sio kila kitabu ni worth a reading. Nikupe mfano. Vipi ukisoma kile kitabu nilichowahi kukisema kabla cha Winter is Coming. Mle ndani utaokota nini?

Na in case mtu akaamua kukiishi kile kitabu atakuwa mtu wa Aina gani? Huo ni mfano wa kitabu kimoja. Vip0 vingi zaidi ya hivyo katika muktadha tofauti tofauti.

That's why nikasema, nahisi the best way ni kuondoka na busara zilizopo kwenye vitabu rather than blindly be a Man aliyezungumzwa ndani ya kitabu.

As far as I know kila mwandishi ana utashi wake.
Kusoma kitabu sio kufata matakwa au maudhui yake.

Kuna msemo maarufu wa mzee wetu unasema za kuambiwa changanya na zako.

Kitabu kinafungua uelewa wako yaani unakua na maarifa mapana zaidi.

Icho kitabu ulichokizungumzia binafsi sikijui licha ya kukisoma ila game of throne nimeangalia kama nakumbuka ulikihusika hicho kitabu na hiyo series,kwa mfano kupitia pale unajifunza jinsi ya kuishi ukiwa kama mtawala trust no body,kua mdadisi,usikurupuke,andaa kesho yako n.k

Na haya ndio makusudi makuu ya fasihi andishi(vitabu)
1-kuelimisha
2-kuburudisha
Hata kama wameandika propaganda nyingi kiasi gani kwa mtu mwenye maarifa atatoka na elimu au burudani.

Hakuna kitu cha kuofia kwenye vitabu.
 
About 3 thousand British soldiers are fighting in the Armed Forces of Ukraine.

The Independent writes about this, referring to the commander of the Georgian Legion Mamuka Mamulashvili: most of the foreign volunteers passed through his unit.

According to him, there are now about 20,000 foreign mercenaries in Ukraine in total. The exact number of Western fighters in the ranks of the Ukrainian army is unknown.

Earlier, two Britons Sean Pinner and Aiden Eslin, as well as Moroccan Saadoun Brahim, were sentenced to death for mercenarism.

View attachment 2260308
Mercenaries wengi walikuja kwa mbwembwe, wakaishia kupata aibu[emoji4]
JamiiForums1121095992.jpg
 
Magazeti ya udaku , kaa Kwa kutulia ewe timu nduli Putin ,
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Massive missile attack on Ukraine: after the explosions in the Ternopil region, explosions occurred in the Lviv region
A cruise missile just flew over the Khmelnitsky region
Explosions in the Khmelnitsky region[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Kichapo kinaendelea TU[emoji4]
 
nafikiri leo Mrusi atachekelea ila awe tayari maana watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana Mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya Dunia, Hajali kurusha kumbora hata kama ni kwenye uwanja wa mpira wakati watazamaji wamejaa maelfu - Putin ni mtu dhaifu sana - watu dhaifu wenye mamlaka hupenda kuua bila kujali what next.

Kupigana na mrusi uwe tayari, ni kama ugomvi wa kitaa - bisibisi, yai viza, koleo, mundu, upupu, viwembe, nyundo, misumali, mpini nk - yaani chochote kilichombele yake anakitumia.

Hii ni tofauti kubwa na mataifa ya Magharibi kwa mfano US alikwenda IRAQ wakamaliza vita bila kuvunja vunja majumba na kuharibu miundombinu..... US pia akaenda Libya akamaliza vita bila uhalibifu mkubwa wa miundombinu kama huu hapa.

Ni kama Mrusi bado anapigana vita kizamani.


View attachment 2260433

View attachment 2260434
View attachment 2260485View attachment 2260484
Putin angekua muuaji,
Ukraine ingeshageuka mavumbi
 
Uchaguzi ujao wananchi wa poland wanapaswa wamchague mchezaji robert lewandowski awe rais wao. Raisi wa poland amewaomba nchi washirika wamsaidie silaha baada ya silaha zake kuwapa ukraine. Sijui mmenielewa
Hawa Poland kiherehere Sana,
Sijui wanajiamini Nini Hawa mbuzi[emoji34]
 
Yoyote amtegemeaye mwanadamu amelaania.

Zele aliona Marekani kama mungu wake. Lolote aombalo anatimiziwa, ikafikia hatua hata akaanza kuomba kwa silaha kwa kuforce.

Sasa Siku za "Zeleboy" zinahesabika.

Taratiibu Marekani anaanza kumtapika.

Now they begin to throw Zelensky under the bus.[emoji38][emoji38][emoji38]

Hebu soma maneno ya Yusuf Biden hapa[emoji1787][emoji1787][emoji116]

"Ukraine’s president, Volodymyr Zelenskiy, “didn’t want to hear” warnings of the Russian invasion, according to the US president".
Mwisho wa kunukuu.




View attachment 2261070
Hakuna jipya uliloleta, yote zilipendwa.
 
Back
Top Bottom