nafikiri leo Mrusi atachekelea ila awe tayari maana watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana Mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya Dunia, Hajali kurusha kumbora hata kama ni kwenye uwanja wa mpira wakati watazamaji wamejaa maelfu - Putin ni mtu dhaifu sana - watu dhaifu wenye mamlaka hupenda kuua bila kujali what next.
Kupigana na mrusi uwe tayari, ni kama ugomvi wa kitaa - bisibisi, yai viza, koleo, mundu, upupu, viwembe, nyundo, misumali, mpini nk - yaani chochote kilichombele yake anakitumia.
Hii ni tofauti kubwa na mataifa ya Magharibi kwa mfano US alikwenda IRAQ wakamaliza vita bila kuvunja vunja majumba na kuharibu miundombinu..... US pia akaenda Libya akamaliza vita bila uhalibifu mkubwa wa miundombinu kama huu hapa.
Ni kama Mrusi bado anapigana vita kizamani.
View attachment 2260433
View attachment 2260434
View attachment 2260485View attachment 2260484