Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

USA Sijui huwa anawaloga kutumia Nini[emoji4]
 
Kama kuna jamii ya warusi hapo Poland tumnyanganye kaeneo
 
Comment za Medvedev Hizi[emoji28]
 
Sahii kabisa,
Zelensky Ni Raisi mpumbavu Sana.
Hii Vita hakukua na ulazima wa kuipigana
 


'Babushka Z'
huyu ni bibi aliye wakabili wanajeshi ma neo Nazi wa Ukraine huko kwenye moja ya miji yenye mapigano ya 'eastern Ukraine' kwa kutumia bendera nyekundu na maneno tuu, ukweli ni kuwa mwishowe wanajeshi wa Ukraine walimuuwa……………………………..umaruufu wa 'Babushka Z' unashika kasi kweli kweli kwenye mitandao huku vyombo vya habari vya ma neo Nazi kama BBC, CNN etc vikipindisha ukweli wa tukio la mauji yake kwa kuwa wauaji ndiyo walio rekodi …!
 
Ni siku nyingi suala la Udini umeli ng'ang'ania Sana kwenye huu mjadala.
Ukichunguza in and out hakuna udini hiyo ni propaganda mpya yakwako (Pro NATO) nje ya uwanja wa vita. Unatumia kichaka cha Udini kuleta hoja dhaifu sana.

NATO wanapigwa sana na inatia huruma kwa vifo vitokanavyo -Mungu awajalie wepesi Raia wanaoteseka huko bila kosa lolote bali makosa ya Zelensky.

Sasa acha kutafuta huruma kupitia udini. Tueleze kwa nini NATO munapigwa na Russia muliodai inatumia old technology weapons? Usisahau yanayo endelea huko Azov
 
Kalibr missiles in the Lviv region destroyed an ammunition depot for foreign weapons transferred to Ukraine by NATO countries, including 155-mm M777 howitzers;

Hii ndio starehe yangu.
 

Acha sindano iendelee kuingia taratibu, Zelensky told Ukraine soldiers in Severodonetsk Azot plant to surrender. And he says Ukrainians military losses are 'painful.
 
RAO President Olga Vasilyeva in an interview with RT - about the educational process in the Russian Federation and the rejection of the Bologna system. The main thing:

- Russia needs to expand the traditional system of a five-year specialty, but we cannot take a tracing paper of 40 years ago and transfer it to the present;

- many goals were not achieved, and the shortcomings of the "bachelor's degree - master's" system are obvious;

- the quality of education in engineering, technical and pedagogical areas suffered most from the four-year education;

- The USE is not the most perfect tool, but it is very difficult to find a worthy alternative;

— opportunities for foreign students to enter Russian universities will remain;

- withdrawal from the Bologna process will not affect the admission of Russian applicants to foreign universities;

- in the coming years, it will be possible to attract more students to graduate school, because it is possible to enter there after a five-year program faster;

— we are interested in the development of our scientific schools, research, because it improves the quality of education and life of our citizens.

More details in our material.

 
Britain is exploring the possibility of supplying Ukraine with Brimstone anti-ship guided missiles.

Reuters writes about this, referring to the statement of the head of the Ministry of Defense of the Kingdom, Ben Wallace.

He also noted that the armament stocks of the Armed Forces of Ukraine are “depleted” and Western countries need to do more in training Ukrainian troops:

"In the field of artillery, they are often outnumbered by a very high ratio."

 
Putin, in a conversation with Xi Jinping, outlined his fundamental assessments of the situation in Ukraine and the tasks of the special military operation, the Kremlin said.

At the same time, the Chinese leader noted the legitimacy of Russia's actions to protect national interests in the face of outside challenges.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…