Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nilikuwa najiuliza, inakuwaje tena wanajeshi wa Ukrain wanazingirwa?

Nilidhani walijifunza kule Mauriupol, lakini wamezingirwa tena huko Zeveredonesk katika kiwanda cha kemikali cha Azot!

Mimi kama upande wao wananikatisha tamaa kwakweli!

Inakuwaje unaona kabisa eneo ulipo limezungukwa robo tatu, lakini wewe unaendelea kuwa katikati tu, kwa nini hawarudi nyuma na kuachia eneo lichukuliwe na Urus kwanza ili wajipange?

Hakika wanajeshi wa Ukrain ni wazalendo sana, wanapigana kwa moyo mmoja. Hebu fikiria Urus anarusha makombora kudhoofisha kwanza, lakini wanajeshi wa Ukrain wanaendelea kupigana tu!

Watanzania tujifunze uzalendo wa vitendo kama wanajeshi wa Ukrain.
Aliekwambia watanzania hawana uzalendo ni nani? Huoni huko ngorongoro wamasai wanatumia mishale dhidi ya polisi wanaotumia bunduki? [emoji3]
 
.
Screenshot_20220615-195129.jpg
 
Ni siku nyingi suala la Udini umeli ng'ang'ania Sana kwenye huu mjadala.
Ukichunguza in and out hakuna udini hiyo ni propaganda mpya yakwako (Pro NATO) nje ya uwanja wa vita. Unatumia kichaka cha Udini kuleta hoja dhaifu sana.

NATO wanapigwa sana na inatia huruma kwa vifo vitokanavyo -Mungu awajalie wepesi Raia wanaoteseka huko bila kosa lolote bali makosa ya Zelensky.

Sasa acha kutafuta huruma kupitia udini. Tueleze kwa nini NATO munapigwa na Russia muliodai inatumia old technology weapons? Usisahau yanayo endelea huko Azov
😂😂😂
Huwa nikiiwambia maximum reply kwa Pro-NATO ni moja, huwa najihisi kama nawaingilia uhuru wenu wa kuzungumza!

Lakini kiukweli kabisa facilitator wa pumba zao kuzidi kumiminika hapa ni sisi wenyewe.

Russia ni Third Country in term of population ya Idadi ya Wakristo Duniani, Wako over 100Millions. Russia ni home of Eastern Orthodox, ambapo yakadiliwa around 77% of Eastern Orthodox duniani kote wapo Russia.

Russia kuna waislam kama 14Million hivi ambao ni just as little as 10% of Total Russian Population. Na katika hao 14M, wengi wapo Chechnya, Ingushetia, Tatarstan, Karachay-Cherkessia, Kabardino-Balkalia, Dagestan na Bashkorstan.

Na ni hii mikoa mi8 tu kati ya 89 iliyopo unayoweza pata Muslim over 5 out of 10 kwenye Population kwingine kote ni wa kutafuta kwa Torch.

Shida ya wakatoliki huwachukulia madheheb mengine ndani ya Ukristo kama sio Wakristo kwasababu wanapingana na Mambo yao.

Sasa kwa hizo data unaendeleaje kujadiliana na huyo kiumbe? Utaihusishaje hii Operation na Udini? Au utawahusishaje Waislam na hiyo Operation? He he he Mnalazimisha sana Nyasi kua Mahindi wadau wangu wa Nyuvu...😂😂😂

Hizo zitaendelea kua nyasi tu na unavyozidi kuzimwagilia ndivyo unavyozidi kutengeneza kichaka mlangoni mwako.

Fyeka mdau, keep them short as much as you can 🥱🚶
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa nikiiwambia maximum reply kwa Pro-NATO ni moja, huwa najihisi kama nawaingilia uhuru wenu wa kuzungumza!

Lakini kiukweli kabisa facilitator wa pumba zao kuzidi kumiminika hapa ni sisi wenyewe.

Russia ni Third Country in term of population ya Idadi ya Wakristo Duniani, Wako over 100Millions. Russia ni home of Eastern Orthodox, ambapo yakadiliwa around 77% of Eastern Orthodox duniani kote wapo Russia.

Russia kuna waislam kama 14Million hivi ambao ni just as little as 10% of Total Russian Population. Na katika hao 14M, wengi wapo Chechnya, Ingushetia, Tatarstan, Karachay-Cherkessia, Kabardino-Balkalia, Dagestan na Bashkorstan.

Na ni hii mikoa mi8 tu kati ya 89 iliyopo unayoweza pata Muslim over 5 out of 10 kwenye Population kwingine kote ni wa kutafuta kwa Torch.

Shida ya wakatoliki huwachukulia madheheb mengine ndani ya Ukristo kama sio Wakristo kwasababu wanapingana na Mambo yao.

Sasa kwa hizo data unaendeleaje kujadiliana na huyo kiumbe? Utaihusishaje hii Operation na Udini? Au utawahusishaje Waislam na hiyo Operation? He he he Mnalazimisha sana Nyasi kua Mahindi wadau wangu wa Nyuvu...[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo zitaendelea kua nyasi tu na unavyozidi kuzimwagilia ndivyo unavyozidi kutengeneza kichaka mlangoni mwako.

Fyeka mdau, keep them short as much as you can 🥱[emoji124]
Hizi ni sababu tosha za kumdharau huyo mtu
 
Tupo wengi ambao sio waislam ila tunatetea haki. Hatuwezi kuwa na mtu mmoja wa kuipangia Dunia nini cha kufanya. Ukraine ameingizwa chaka na Mmarekani na Mmarekani hana cha kumsaidia sasahivi
Haki ya kuvamia nchi nyingine?kama mliweza kuilaani marekani dhidi ya,Iraq,afghan na libya,vipi kwa urusi ukakasi unatokea wapi!udini,ushabiki usio na mizani ndio tatizo kwenu.
 
Shida wanaongozwa na msanii kwenye uwanja wa VITA.mnaona kabisa mashambulizi ni makali na watu wanatengeneza circle nyie bado mnapambana kisa uzalendo.kwa nini msirudi nyuma ili mjipange vizuri muanze moja.
Mm ni pro Russia, kwa kweli hawa jamaa sijui ni mafunzo gani wamepewa na NATO yangu 2014?,yaani cha ajabu huwa Wanazingirwa kwenye viwanda Tu! Yaani ni kama laana flani hivi! Hadi huruma [emoji18][emoji18]
 
Nilikuwa najiuliza, inakuwaje tena wanajeshi wa Ukrain wanazingirwa?

Nilidhani walijifunza kule Mauriupol, lakini wamezingirwa tena huko Zeveredonesk katika kiwanda cha kemikali cha Azot!

Mimi kama upande wao wananikatisha tamaa kwakweli!

Inakuwaje unaona kabisa eneo ulipo limezungukwa robo tatu, lakini wewe unaendelea kuwa katikati tu, kwa nini hawarudi nyuma na kuachia eneo lichukuliwe na Urus kwanza ili wajipange?

Hakika wanajeshi wa Ukrain ni wazalendo sana, wanapigana kwa moyo mmoja. Hebu fikiria Urus anarusha makombora kudhoofisha kwanza, lakini wanajeshi wa Ukrain wanaendelea kupigana tu!

Watanzania tujifunze uzalendo wa vitendo kama wanajeshi wa Ukrain.
Uzalendo unapigania nn?? Na ukifa familia yako atailisha nan, ila kuzingira na mkaingia chemba ni survivle tactic, bila kuingia chember watauwawa, na warusi kuzingira hyo ni tactic pia
 
Latvia nao hawako nyuma, wamewaruhusu Raia wao kusanya kuni kukidhi mahitaji yao.

🇱🇻Permission to collect firewood can now be obtained in Latvia.

However, it may not be enough for everyone, according to @news_lv.

The company Latvijas valsts meži allowed to collect firewood after the completion of logging.

The permit is free, unlike Poland, where 30 zlotys are required per cubic meter.

However, the company has already stated that the demand was too high.
Ahahaah,

Waje huku bongo tunazo nyingi
 
Haki ya kuvamia nchi nyingine?kama mliweza kuilaani marekani dhidi ya,Iraq,afghan na libya,vipi kwa urusi ukakasi unatokea wapi!udini,ushabiki usio na mizani ndio tatizo kwenu.
Huo sasa utakua ni uwendawazimu yani kila taifa kubwa likipiga taifa lingine tulaani tuu bila kuangalia sababu zenye mashiko.

Huyu kunyaland kashawapaka mavi ya udini,m katoliki ila sikua pro Russia kwa kigezo cha udini...hell no.

NB
Dini ni taasisi kama zilivyotaasisi nyingine ila zenyewe category yake ni kusambaza habari njema,amani,upendo,kuabudu na matendo mengine yaayoendana na hayo ambayo yanauelekeo mmoja.

Rastafarian-Jah
Muslim-Allah
Christian-Mungu/Yesu

Nikimaanisha njia kila mtu anapita yake ila destination ni moja.

Huu upuuzi ndio tumebaki nao sisi Africans tubadilike waliotuletea huu ustaarabu wako vizuri hawana hizi tabia.

Ukishaona ubongo wako umetawaliwa na udini ujue bado haujaelimika.
 

China pledges support for Russia​

The Chinese and Russian leaders speak by phone and agree on the need for mutual support on security issues

Chinese President Xi Jinping told his Russian counterpart Vladimir Putin in a phone call Wednesday that Beijing will keep backing Moscow on issues of “sovereignty and security”.

“China is willing to continue to offer mutual support to Russia on issues concerning our core interests such as sovereignty and security, intensify strategic coordination between the two countries, and strengthen communication and coordination in major international and regional organizations such as the United Nations, BRICS, and the Shanghai Cooperation Organization,” Xi was quoted as saying by China’s state media outlet CCTV.
In the phone call, which fell on Xi's 69th birthday, the two leaders noted that relations between Russia and China “have reached an unprecedentedly high level and are constantly improving,” the Kremlin press service said.
Putin stressed that Moscow opposes any external forces’ attempts to interfere in China’s internal affairs, such as the situations in Xinjiang, Hong Kong and Taiwan, CCTV reported.

Touching on the conflict in Ukraine, Xi noted, according to Chinese state media, that Beijing has always made independent judgments. He also reportedly called on all parties to the conflict to find a peaceful resolution, with the Chinese leadership ready to play a constructive role in the process.

It was a second phone call between Putin and Xi since Russia launched its offensive against Ukraine on February 24.

Unlike the US, UK, Canada, the EU, Japan, Australia and several other nations, China has not imposed any sanctions on Russia over its military operation in Ukraine. While calling for peace, the Chinese government has said it understands Russia’s security concerns, and has condemned the supply of weapons from the West to Kiev.
In late February, Beijing abstained from voting on a UN Security Council resolution condemning the Kremlin’s actions.

Washington has attempted to pressure Beijing into adopting a position more in line with the Western one, although China has to date refused to take any hostile actions toward Russia, which it calls a “strategic partner.”
 
i
Huwa sipendi kujadiliana na wewe ...lakini Hilo la kusema sijui akina Nani tuwaache waishi watakavyo siwezi kukubaliana nayo...Mungu ameumba mwanamke na mwanaume na kwa wanyama hivyo hivyo yaani jike na dume..

Uliwahi kuona wapi jogoo anammendea au kumfukuza jogoo mwenzake kwa Mambo ya kufanya mapenzi?! Uliwahi kuona wapi dume la ng'ombe linampanda dume jingine?!?! Haiwezekani!!!!
Sasa eti binadamu ndiyo tufanye hivyo zaidi ya wanyama?!
Uyo jamaa mkenya ni mjinga hatarii achana nae tu
 
Mwanzo sikujua mpo kidini kwenye huu ugomvi wa Urusi, ila nikaanza kuona kila mfuasi wa hiyo dini yenu ya waarabu anatokwa povu kwa kutetea Urusi, nikawa nashangaa wapi na wapi maana Urusi ni "makafir" kama ambavyo huwa mnaita asiye wa dini yenu
Sio mtaani, sio kwenye mitandao ya kijamii, sio maofisini, nyote mnafoka kimoja..... ndio nikakumbuka huwa mna kauadui fulani mlishajiwekea dhidi ya Marekani, nikaunganisha dots kwa vile Ukraine anapata support ya Marekani ndio nikajua kwanini mnatamani kuona Ukraine ikifutwa duniani.

Huwa mnajifanya kuichukia Marekani ila wengi wenu hupatamani sana pale. Hata waarabu wenyewe wenye dini yao huenda sana Marekani kujimwayimwayi, ni nyie tu hapo kwa Mtongole mliokaririshwa chuki.
Tuliza Komwe jombaa, Ukikaa wewe upande wa Mashoga inatosha. Usituletee uhanangwa wako humu 🚮
 
Back
Top Bottom