MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
Ni siku nyingi suala la Udini umeli ng'ang'ania Sana kwenye huu mjadala.
Ukichunguza in and out hakuna udini hiyo ni propaganda mpya yakwako (Pro NATO) nje ya uwanja wa vita. Unatumia kichaka cha Udini kuleta hoja dhaifu sana.
NATO wanapigwa sana na inatia huruma kwa vifo vitokanavyo -Mungu awajalie wepesi Raia wanaoteseka huko bila kosa lolote bali makosa ya Zelensky.
Sasa acha kutafuta huruma kupitia udini. Tueleze kwa nini NATO munapigwa na Russia muliodai inatumia old technology weapons? Usisahau yanayo endelea huko Azov
Kwa wengine wote hamna udini, ila kwa nyie wa dini ya waarabu mumeghubikwa na udini na kushikiliwa akili, kisa mliagizwa kuichukia Marekani, hivyo mnamuona Putin kama mume fulani hivi mnadhani kwa yeye kuua watu Ukraine kwamba anaikomoa Marekani.